Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,815
- 10,716
Hakika inasikitisha sana matukio ya Mauaji yanaongezeka kwa kasi haswa Mkoani Njombe
Njombe-Mauaji✅Iringa-Ubakaji ✅Tabora-Mauaji✅Waachane na shule sasa wajenge jela tu Mana huko ndio Kuna watu serious wanaohitaji kufunzwa.