njombe

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mtoto adaiwa kumuua mama yake mzazi kisa mali

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake wa kumzaa kutokana na kile kinachodaiwa ni migogoro ya kifamilia iliyotokana na kugombania mali. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Julai 27, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

    Watu wawili wamefariki dunia mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa katika chumba cha kulala kwa ajili ya kupunguza baridi. Hayo yalibainishwa leo Jumatano Julai 21, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wanafunzi watoro walipishwa Tsh. 5,000 kwa kila siku wasiyofika shuleni

    Wakazi wa kata ya Mavanga iliyopo wiliya ya Ludewa mkoani Njombe wamewalalamikia walimu wakuu pamoja na Afisa elimu wa kata hiyo kwa kuwalazimisha kulipia fedha kwa mtoto atakayeshindwa kufika shuleni pamoja na kuwalipa walimu wa kujitolea. Wakitoa malalamiko hayo mbele ya mbunge wa jimbo la...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wahitimu wa vyuo walazimika kuolewa ili kuepuka ugumu wa maisha

    WANAWAKE waliohitimu vyuo vikuu nchini wamesema wanalazimika kuingia kwenye ndoa ili kujikwamua na ugumu wa maisha wanapofika mtaani baada ya kukosekana kwa ajira licha ya kuwa na elimu ya juu. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wadau mjini Njombe wakati wakitoa maoni yao juu ya mwenendo wa elimu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nahitaji kufungua duka mkoa wa Njombe

    Habari wapendwa, Samahani naombeni kufahamu kama nitaweza kufungua duka la mifugo mkoani Njombe wilaya yeyote ile ila napenda zaidi iwe katika mkoa wa Njombe: 1. Je, Kuna wafugaji wa kutosha mkoani hapo? 2. Idadi kibwa ya vyakula wanatengeneza wenyewe au wanatumia vya kiwandani? 3. Kuna...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

    Lipo Kijiji cha mfriga Kata ya mfriga Tarafa ya lupembe Mkoa wa njombe Ukubwa ni eka 30 Bei ya kila eka ni tsh 100000 Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0784340024 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Yaani tunataka kweli kurudi kule kule? ---- Update: 1 JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake...
  8. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

    Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam. Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na...
  9. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 7 New Form Four And Above Government Jobs At TANROADS (NJOMBE), June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE:
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

    Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima. Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

    Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa anacheza na wenzake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amesema mwanafunzi huyo alikwenda shambani na wazazi wake na wadogo zake watatu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha parachichi Rungwe(Tukuyu) vs Njombe

    Nataka nifanye kilimo cha parachichi, nimeambiwa zinalimwa Njombe na mkoani Mbeya has a wilaya ya Rungwe, swali langu ni wapi rahisi kupata shamba kati ya sehemu hizo, changamoto za maeneo hayo ni zipi na wapi soko ni zuri kati ya maeneo hayo.
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Bavicha Njombe, Goerge Sanga yuko Mahabusu kwa miezi mitano sasa kutokana na visasi vya uchaguzi

    Huyu kijana aliponzwa na ndoto yake ya kugombea Udiwani , kosa lake hilo la kutumia haki yake ya kikatiba la kugombea udiwani limemsababishia kutengenezewa kesi ya Mauaji , ambapo baada ya kukamatwa kama maagizo yalivyoelekeza mgombea udiwani wa ccm kwa kasi ya radi akashinda bila ya kupingwa ...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wilayani Ludewa mkoani Njombe walalamikia ubovu wa mradi wa umeme madope hydro power

    Wananchi wa Kata sita zinazopitiwa na Mradi wa Umeme wa Madope Hydro uliojengwa kwenye Kata ya Lugarawa Wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe wameulalamikia mradi huo kwa kushindwa kuwasaidia tangu uanzishwe mwaka 2016. Baadhi yao akiwemo Bw, Bosco Mgina na Sabinus Haule wakazi wa Kijiji na Kta ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Njombe nako kama Dar kunaeleweka

    Mabibi na mabwana ilikuwa Dar sasa wanawake na wanaume wa huko Njombe nao wameona isiwe taabu: Kwa mabarakoa hayo bila shaka hizo siyo jitihada ya kujikinga dhidi ya TB mikutanoni. Pana watu kwenye mamlaka ambao kwa hakika wasipo angalia watambue kuwa si muda mrefu umebakia watapwelewa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashamba kwa ajili ya kilimo katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Songwe

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea. Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana...
  17. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kama unafahamu mkoa wa Njombe kiundani

    Habari wajumbe natumaini nii wazima wa afya. Nikienda kwenye mada moja kwa moja nilikuwa napenda kuuliza kuhusu mkoa wa Njombe maana mimi sijawahi kufika wala kupawaa ila kwa siku ya leo nimepokea simu na swali nikaitikia sema nikashindwa toa jibu. MASWALI YENYEWE NI: 1. Kweli Njombe ina ardhi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa wizi wa magari wanaswa Njombe

    Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa wizi wa magari nchini ambao wamekutwa na magari Saba yanayosadikiwa kuibwa katika mikoa ya Dar es salaam, Mbeya na Singida. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Njombe, – Hamis Issah amesema wezi hao wamekuwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe

    Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6. Pongezi kwa jeshi la polisi.
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
Back
Top Bottom