Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,519
21,441
Shalom wapendwa,

Leo nimekumbuka kisa hiki, kilichonitokea mwenyewe nikiwa katika harakati Mkoa wa Njombe. Narudia tena hii sio stori ya kufikirika imenitokea mwenyewe.

Uchawi hauna faida yoyote ni ujinga uliokomaa, ni utumwa. Walio wachawi wanamani kutoka ila there is no way out there. Ninamiliki maduka ya dawa za binadamu yaliyopo maeneo ya vijijini huko, kazi yangu hua ni kuzunguka na kutafuta watu wa kuuza tu na kufunga mahesabu mwisho wa mwezi.

Siku Moja kuna dada wa ADDO aliyekuwa akiuza moja kati ya maduka alipata dharura na kwakua nilikuwa na nafasi nilimruhusu aende nami nikaenda kumpokea kuuza dawa Ili clients wasikose huduma mpaka atakaporejea. Sasa hapo ndipo tatizo lilipoanzia.

Hiyo siku nimeamka vizuri kabisa nikashinda vema jioni imefika nikafunga hesabu na kulikua na pesa kwenye draw nilizibeba na kwenda nazo nyumbani kwa sababu za kiusalama, nikaacha kiasi kadhaa pia kwenye draw. Baada ya kufikia nyumbani nikaweka pesa vizuri nikawasha data niperuzi kidogo Kisha nikalala.

Naamka asubuhi nimelala nje😂😂😂 kwenye shimo Moja lilikua jirani na nyumba. Kitu kilichonishangaza nililala na boksa nikaamka nje nikiwa na nguo zangu nilizovaa jana😨

Kitendo cha kutaka kurudi ndani nakuta mlango umefungwa kwa ndani, nikawa najiuliza nilitokea wapi? Nikajaribu kupush mlango ukafunguka kuingia ndani nakuta panya sita kitandani wametulia wananiangalia tu😂😂😂 nikarusha kiatu wakapanda darini na kupotea ghafla kukawa kimya.

Impact za tukio lile, pesa nilizorudi nazo jana hakukua na hata kumi iliyokuepo😬 (zilipotea)

Sikuweza kukaa tena kule, nikafunga duka mpaka yule dada aliporudi kusongesa gurudumu. Kwa Sasa nikienda huwa silali kabisa hata iwe late kiasi gani nitarudi mjini.

Kama hujapita Njombe hujaona uchawi bado.
 
Naamka asubuhi nimelala nje kwenye shimo Moja lilikua jirani na nyumba. Kitu kilichonishangaza nililala na boksa nikaamka nje nikiwa na nguo zangu nilizovaa jana

Kitendo cha kutaka kurudi ndani nakuta mlango umefungwa kwa ndani, nikawa najiuliza nilitokea wapi? Nikajaribu kupush mlango ukafunguka kuingia ndani nakuta panya sita kitandani wametulia wananiangalia tu nikarusha kiatu wakapanda darini na kupotea ghafla kukawa kimya.

Impact za tukio lile, pesa nilizorudi nazo jana hakukua na hata kumi iliyokuepo (zilipotea)

Sikuweza kukaa tena kule, nikafunga duka mpaka yule dada aliporudi kusongesa gurudumu. Kwa Sasa nikienda huwa silali kabisa hata iwe late kiasi gani nitarudi mjini.

Kama hujapita Njombe hujaona uchawi bado.
Daaaaah kwaiyo wakakulaza yaan mchawi hana maana pole saana mkuu
 
Shalom wapendwa,

Leo nimekumbuka kisa hiki, kilichonitokea mwenyewe nikiwa katika harakati Mkoa wa Njombe. Narudia tena hii sio stori ya kufikirika imenitokea mwenyewe.

Uchawi hauna faida yoyote ni ujinga uliokomaa, ni utumwa. Walio wachawi wanamani kutoka ila there is no way out there. Ninamiliki maduka ya dawa za binadamu yaliyopo maeneo ya vijijini huko, kazi yangu hua ni kuzunguka na kutafuta watu wa kuuza tu na kufunga mahesabu mwisho wa mwezi.

Siku Moja kuna dada wa ADDO aliyekuwa akiuza moja kati ya maduka alipata dharura na kwakua nilikuwa na nafasi nilimruhusu aende nami nikaenda kumpokea kuuza dawa Ili clients wasikose huduma mpaka atakaporejea. Sasa hapo ndipo tatizo lilipoanzia.

Hiyo siku nimeamka vizuri kabisa nikashinda vema jioni imefika nikafunga hesabu na kulikua na pesa kwenye draw nilizibeba na kwenda nazo nyumbani kwa sababu za kiusalama, nikaacha kiasi kadhaa pia kwenye draw. Baada ya kufikia nyumbani nikaweka pesa vizuri nikawasha data niperuzi kidogo Kisha nikalala.

Naamka asubuhi nimelala nje😂😂😂 kwenye shimo Moja lilikua jirani na nyumba. Kitu kilichonishangaza nililala na boksa nikaamka nje nikiwa na nguo zangu nilizovaa jana😨

Kitendo cha kutaka kurudi ndani nakuta mlango umefungwa kwa ndani, nikawa najiuliza nilitokea wapi? Nikajaribu kupush mlango ukafunguka kuingia ndani nakuta panya sita kitandani wametulia wananiangalia tu😂😂😂 nikarusha kiatu wakapanda darini na kupotea ghafla kukawa kimya.

Impact za tukio lile, pesa nilizorudi nazo jana hakukua na hata kumi iliyokuepo😬 (zilipotea)

Sikuweza kukaa tena kule, nikafunga duka mpaka yule dada aliporudi kusongesa gurudumu. Kwa Sasa nikienda huwa silali kabisa hata iwe late kiasi gani nitarudi mjini.

Kama hujapita Njombe hujaona uchawi bado.
OK. Umemaliza? Una kisa kingine? Leta vitu jombii.

uhalisia ni kuwa hukuwa umeingia ndani. Ulilewa sana. Ukawa hujielewi ukawaza umeenda ndani hukwenda ndani. Na pesa ulizochukua Dukani kwako ukaendea Bar. Ukapiga sana maji. Ukarudi na Mang'amung'amu. Ukalala nje. Asubuhi kuamka ukaendelea kufikiria ulilazwa nje na wachawi. Kumbe mchawi wewe mwenyewe tu. Pombe siyo chai.
 
Sikutumia pombe siku hio nimetoa dukani straight nikaingia kulala
 
Unatumia kilevi gani? Ulikuwa umelala,wezi wamekuibia hela,usingizi wako ulikuwa mzito,wamekubeba,wamekupeleka nje. Wastaarabu,wamekuvalisha nguo. Wamerudi wamefunga mlango.
Very simple,my dear Watson.
😂😂😂😂Wastaarabu gani wanivalishe nguo afu washindwe kunisanua kwamba oya umelala nje?
 
Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....
1: bro wangu alipangiwa kazi huko Mwanza wilaya ya Magu ndani ndani huko, amekaa kidogo sijui aliwakosea nini wanakijiji siku moja anasema kalala ndani fresh asubuhi kajikuta nje ilibidi ahame.
2: binamu yangu tukiwa msibani kijijini usiku kalala ndani kesho yake anasimulia alijikuta nje kalala pembeni ya kaburi (pale pale nyumbani kuna makaburi ya wanafamilia)

Tunaosimuliwa ni ngumu kuamini, labda na sie siku moja tulazwe nje.
 
Ex RC, Ally Happi alikaribishiwa rasmi mkoani Iringa kwa kulazwa makaburini Makanyagio.
 
Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....
1: bro wangu alipangiwa kazi huko Mwanza wilaya ya Magu ndani ndani huko, amekaa kidogo sijui aliwakosea nini wanakijiji siku moja anasema kalala ndani fresh asubuhi kajikuta nje ilibidi ahame.
2: binamu yangu tukiwa msibani kijijini usiku kalala ndani kesho yake anasimulia alijikuta nje kalala pembeni ya kaburi (pale pale nyumbani kuna makaburi ya wanafamilia)

Tunaosimuliwa ni ngumu kuamini, labda na sie siku moja tulazwe nje.
Hata Mimi sio mfuasi wa hizi mambo ila yalinikuta
 
Back
Top Bottom