njiani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  2. bro alex

    JamiiForums Tanzania Mji wa Dodoma haujaisha, Kigamboni pameishia njiani na hela za wastafu tumerukia chrome city

    Wajuzi wa hili jambo njooni mtufafanulie. Kwishaaaaaaa
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Wasalimieni wajumbe wakiwa njiani kuelekea kupiga kura, waambieni tuletee fulani

    Umemsalimia mjumbe wako asubuhi ya leo? Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM itahakikisha inateua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wapiga kura, akiwataka wajumbe wa vikao vya kura za maoni kusikiliza maoni ya wananchi wanapoenda kupiga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania RC Mboni: Tunamshukuru Rais Samia kutujengea hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa TZS10bn wagonjwa wengi wa rufaa kwenda Mwanza Bugando walifia njiani

    == Akiongea na Wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anasema, Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya...
  5. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Tunasitisha Vita ila Kuna Mabomu Tuliyatuma Yako njiani ngoja yafike Kwanza

    watajuta kutuchokoza. Angeendelea kupiga mpaka waondoke GAZA hao Wayahudi.
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Trump: Ndege zetu za B-2 zipo njiani kurudi Marekani baada ya kukamilisha Mission

    Marekani imeishambulia maeneo ya nyuklia ya Iran kwa makombora ya B-2 , amesema afisa wa Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump anasema Marekani imekamilisha mashambulizi kwenye maeneo matatu ya nyuklia nchini Iran, ikiwa ni pamoja na Fordo, Natanz na Esfahan. Fordo 'imeenda', aliandika...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania 'Tuko njiani kupata ushindi' - Netanyahu

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema "tuko njiani kupata ushindi". Akitembelea kambi ya anga ya Israel, alirejelea madai ambayo tumesikia kutoka Israel leo - kwamba "inadhibiti anga ya Tehran". "Tuko njiani kufikia malengo yetu mawili: kuondoa tishio la nyuklia na kukomesha tishio...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mwisho kwa CCM: Achaneni na Tundu Lissu, mnavyozidi kudeal nae ndo mnavyozidi kuharakisha anguko lenu, East Africa Spring iko njiani.

    Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha Watendaji na Viongozi wanapokiuka Katiba na Sheria. Kwa alipo Tundu Lissu sasa, lolote mtakalojaribu...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini season kukatishwa njiani

    Kuna shida gani hapa kwanini haziishi na pesa nyingi imetumika ona mfano hizi The Equalizer Into the badlands Revolution Poppss house Lopez The strain Na nyingine nyingi Hii into the badlands haieleweki kabisa mwishoni nini kinatafutwa alafu watu waliokufa wanaonekana tena INAMANA jamaa...
  10. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kwanini hayati Magufuli alipenda kuendesha kesi akiwa njiani kwenye misafara yake?

    Wakuu salama… Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana. Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato. Angeweza kufika Singida na kusimama barabarani bila kujali anasababisha foleni kwa walipa kodi wanaotumia...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TRC yaomba radhi baada ya Treni ya SGR kukwama njiani Januari 8, 2025

    Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika kituo cha Ihumwa Dodoma majira ya saa 5:38 usiku. Tunajua kuwa safari...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea dakika ya tisini: "Maoni ya wanachama yasiposikilizwa, CHADEMA njiani kulia na kusaga meno!"

    Haya si maneno yangu: Yaliwakuta NCCR ya Marando, yakawakuta CUF ya Lipumba na sasa siyo siri, bundi katua chama pendwa. Kwamba ilihitaji kufunga kumwombea mwenyekiti hekima ya mfalme Suleiman aache kuvutaniana mtoto? Looh! Kwani yakitokea huko kwingine nani hakuyaona? Kama ilivyo kwa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Albert Chalamila: Gari lililobeba mitambo maalum liko njiani kwa ajili ya Uokoaji Kariakoo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari gari maalum lililobeba greda na mitambo mingine linakaribia kufika Kariakoo kwa ajili ya kusaidia uokoaji wa Watu waliofukiwa na kifusi baada ya ghorofa kuporomoka ambapo amewataka Watanzania kutolaumiana kwa sasa bali kuweka nguvu...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania 2 Samweli 2:26: Samia na Free Man Mbowe: "Msigombane Njiani" katika Muktadha wa Kisasa,

    Katika historia ya siasa za Tanzania, viongozi wawili, Samia Suluhu Hassan na Freem Mbowe, wamekuwa katika mazingira ya kisiasa yenye changamoto na mabadiliko. Mstari wa Biblia, 2 Samweli 2:26, unaongelea umuhimu wa umoja na ushirikiano, ambapo Abner anasema, "Msigombane njiani." Huu ni mwito wa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama jana tu Gari limeanza Kufanyiwa Majaribio kama litafaa Mashindanoni mwaka 2025 limeleta shida Njiani je, likirekebishwa litaweza Kutuvusha vyema?

    Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo. Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba aliyeitwa Tundu Lisu na Mhe. Rais Samia.

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mdau – Mpanda: Watoza Ushuru Stesheni ya Mpanda wanapiga dili sababu mizigo ya treni haikaguliwi njiani

    Picha kwa Hisani ya TRC Jamani nawapongeza kwa kupaza sauti na kwa taarifa mnazozitoa Jamii Forums, nyie ndio Chombo pekee cha Watanzania ambacho mnatupa nafasi ya kueleza kero zetu kwa uwazi bila konakona. Naomba nitoe dukuduku langu, Serikali iangalie eneo la Stesheni ya Mpanda, Katavi...
  20. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na vyakula nya njiani wakati wa safari

    Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha , mara chipsi Alipofika Kateshi akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Akaomba na...
Back
Top Bottom