Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma?
Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na...
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja.
Mwenyewe...
Dunia inabadilika na sisi tunapaswa kubadilika, nishati asilia zinaongoza kwa kutoa gesi chafu zinazosababisha engezeko la joto duniani! Kama mpaka muda huu hujawahi kumiliki chombo chochote kile cha usafiri kinachotumia nishati asilia inawezekana usimiliki kabisa ndani ya miaka michache ijayo...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.
Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi...
Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona.
Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.