Nchi hii imekuwa na shida sana tunasifia watu kwa jinsi wanavyofanya ziara au kuongea majukwaani, hizi siyo njia sahihi. Tunatakiwa kuwapima kwa matunda.
sasa nasikia kila kona watu wanamsifia Bashe ni bora tuweke vigezo sahihi vya kumtazama na hivyo vigezo ni kupima ameleta mabadiriko gani katika exports za mazao yetu kupeleka nje au amepunguza kwa njia gani imports za mazao kutoka nje.
Tupate takwimu za alipoingia exports za mazao yetu zilikuwaje na kila mwaka tupime, tuangalie korosho, pamba, kahawa n.k tumeongeza vipi exports.
Tutazame mazao ya chakula kama mahindi, mchele, maharage, choroko, pilipili n.k tumeongeza vipi na kama tumepunguza takwimu ziseme.
Tutazame imports kama mafuta ya kula, ngano, n.k je ameweza kupunguza.
Tusipende kumsifu mtu kwa hotuba bali tutazame matunda kama yapo na wale wanaotaka kutushawishi watuletee takwimu.
Tunaweza pia kutazama jinsi atakavyobadilisha kilimo labda kiwe cha kisasa, kama uingizaji wa mashine za ku process mazao ya chakula kama zitaongezeka nako