njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini (vijidudu) husambazwa kwa njia ya mikono

    Karibu 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini husambazwa kwa njia ya mikono kwa mujibu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (Centers for Disease Control and Prevention - CDC). Ni kwanini vimelea ni viumbe hatari sana? Kiini ni kiumbe kidogo sana kinachoweza kusababisha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa jiji la Dodoma kuondoa foleni round about darajani njia ya kwenda Mwanza mida ya jioni

    Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Wasifu kwa minajili ya kutunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi kwa Rais Samia Suluhu

    Mheshimiwa Mkuu wa Chuo Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa minajili ya kuifahamisha hadhira hii kwa nini mwisho wa maelezo haya nitakuomba umtunuku Shahada ya...
  4. JamiiForums Tanzania SINEMA FUPI: Kwa Tanzania kuna mwanamke anaweza kujitokeza na kumponya farasi kwa njia hii?

    Katika baadhi ya jamii za Kiafrika, farasi anapougua hadi kukaribia kufa, anatafutwa mwanamke ambaye amemjua na amekuwa na mwanamume mmoja tu katika maisha yake humruka huyo farasi na hupona. Angalia kipande hiki cha sinema hapo chini.
  5. JamiiForums Tanzania Njia alizotumia Msukuma kuingia kwenye Siasa Za Fanana na Za Gwajima, Msukuma upambe kwa Lowasa mpaka unafiki Gwajima Kufufua Amina na Misikule!

    Wana JF Ukimwona kwa macho ya kurukaruka unaweza ukadhani Msukuma na Gwajima ni ndugu lakini hawana ubini kabisa japokuwa wote ni kabila moja la kanda ya ziwa. Katika harakati za kutafuta pesa wamejituma haswa na baada ya kufanikiwa bila kujari viwango vyao vya elimu wakajongea kwenye siasa...
  6. JamiiForums Tanzania Taadhari Kuna Wizi wa pesa katika Baadhi ya benki zetu kupitia huduma za Kibenki kwa njia ya simu. Wateja wa benki tuchukue taadhari. Mamlaka Ziamke!

    Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu. Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha. Tukio lenyewe...
  7. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuhoji kila kitu ni sifa muhimu ya ukuzaji wa ubinadamu na chachu ya maendeleo katika njia tofauti

    Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu. Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika. Baadhi ya maandiko ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kuzibua njia ya ABS Module

    Baada ya kula buyu siku sio nyingi nilifuatilia chanzo na kugundua ABS module imeziba kwenye njia moja na kupelekea gari kutopeleka hydraulic kwenye mguu wa kushoto mbele. Hivyo ililock brakes upande mmoja na hatimae gari ikapiga u turn ya maana. Je, naomba kujua kwamba hiki kidude kinaweza...
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Kibaha -Morogoro kuanza

    Waziri wa Ujenzi Profesa Mbarawa ameyasema hayo akizungumza na wadau wa sekta ya usafirishaji jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo ni Kwambaza barbara hiyo itajengwa kwa utaratibu wa BOT yaani JENGA, ENDESHA, RUDISHA. Ujenzi huo utaanza APRILI 2023. Barabara hiyo ya...
  10. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuleni kilichopo mezani, CCM haiwezi kuwatengenezea njia ya ninyi kushika Dola!

    Nasikia huko Zanzibar kimeumana! Sijajua Othman Masoud na Rais Mwinyi kama wanatazamana usoni kwa sasa. Masoud anaonekana ni mtata sana hata akiwa ofisini sijajua anamshauri vipi Rais Mwinyi. Kilichopo kwa ACT wamshukuru Maalim Seif kwa heshima yake suk imekuwepo. Hiyo haimaanishi CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Changamkieni fursa vijana mliohitimu advance masomo ya Sayansi. Njia ya mafanikio nyeupe

    Uzi tayari.
  12. JamiiForums Tanzania Njia 8 za Kukabiliana na 'Ndugu Lawama'

    Ikiwa unatatizika kupata wakati mzuri na familia yako kwa sababu ya tabia zao zenye kuumiza, usijali, hauko peke yako. Kutoka kwenye migogoro ya kila mwaka hadi migongano ya utu, na famili zisizofurahi kuwa pamoja. Hapa kuna vidokezo 8 vya kustahimili tabia wanafamilia wenye tabia za kukera...
  13. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke watu waliotupokea na kutupa njia za kuishi hapa DSM

    Kwa Mara ya kwanza nilipofika hapa Dsm nilifikia kwa Uncle wangu ni Askari yeye na mke wake. Nakumbuka nilikaa pale wiki tatu tu lakini niliziona Kama Mwaka mzima . Asikuambie Mtu yule uncle wangu ndo alinifundisha kumjua Mungu na kunipeleka Shule Hadi kufika Chuo Mungu Ampe Maisha marefu...
  14. JamiiForums Tanzania Njia Kuu 4 za kutengeneza Pesa

    Kuna njia kuu nne za kutengeneza pesa, kutoa muda wako kwa ajili ya pesa, kutoa taarifa ili kupata pesa, kutoa bidhaa au huduma kwa ajili ya pesa na kuweka kitu au mtu kufanya kazi kwa niaba yako na ukapata pesa. Njia ya kutoa muda wako ili kupata pesa ni njia inayotumika unapoajiriwa, utakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu hapa Komediani anayetoa elimu ya Virusi vya Ebola kwa njia ya mabango barabarani

    Comedian ANTON KAMONGA ambaye amekuwa akisambaza ujumbe wake wa mada mbalimbali kwa njia ya mabango, akionesha mabango yenye kutoa elimu kuhusu Virusi vya Ebola Pia soma: Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake
  16. JamiiForums Tanzania Je, Mungu huwa anaongea na Wanadamu? Je, kwanini haongei na kila mtu?

    Haya maneno Mungu ameniambia, au wakati mwingine nimefunuliwa, yamekuwa maneno ambayo hutumiwa sana na watu kuonyesha wamepata ujumbe kutoka kwa Mungu. Swali langu, kwanini Mungu haongei na kila mtu? Wote tuna mahitaji, iweje aongee na watu wachache tu?
  17. JamiiForums Tanzania Ajali ya Precision Air: Wanasheria wa LEAT wameonesha njia, TLS wamelala kama pono!

    1) NAWASHUKURU SANA Wanasheria wa LEAT (Lawyers' Environmental Action Team) kwa hii Taarifa yao kwa Umma (ya tarehe 07.11.2022) iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa LEAT, Dr. Rugemeleza A. K. Nshala. Hii ni kufuatia Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotumbukia majini jana asubuhi huko...
  18. JamiiForums Tanzania kuna watu wana tabia zinakera bila wao kuzijua, ukiwapa ushauri wanakuona umewadhihaki, njia zipi za kidiplomasia zinafaa kuwaokoa bila kuzaa uadui ?

    sizungumzii wale waliokaza mafuvu wanafanya tabia kwa kujielewa na walishakataa ushauri, hapa ni wale ambao tabia wanazofanya zinakera wengine ila hawana hatia kamili kwenye tabia zao aidha wao hawajui kwamba wanachofanya ni tabia mbaya, wameishi na watu au sehem flan kwa mda mrefu iliyowafanya...
  19. JamiiForums Tanzania Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Nipo kijiji cha Muruvyagira, wilaya ya Ngara njooni mnipige. Mamillioni ya fedha ambayo yamesombwa na yanaendelea kusombwa na haya “makampuni ya kimataifa” kama wajinga wanavyoyaita kwa kujitapa ni ushahidi kuntu kwamba asilimia kubwa ya watanzania tuna uwezo finyu sana wa kupembua na kung’amua...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji nchini na hasa jiji la Dar hakuna njia mbadala kumaliza tatizo hili? Mimi napendekeza hili

    Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama? Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…