njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, njia za treni zinanasa magari kwa sumaku?

    Watu wengi wamekuwa wakihoji swala Magari kunasa katika njia ya Treni, na Madereva Kuyatelekeza Magari yao na kukimbia. Sumaku ya Treni Haiwezi kusababisha gari kukwama Katika Njia ya treni, Kwasababu hakuna Nguvu ya Sumaku inayoweza Zima, Nasa gari isipokuwa SumakuUmeme(Electromagnetic) ya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Thamani ya Kazi na Uwekezaji: Njia Bora ya Kupata Fedha Zaidi

    THAMANI YA KAZI NA UWEKEZAJI: NJIA BORA YA KUPATA FEDHA ZAIDI Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya money(dot)com UTANGULIZI Thamani ni dhana muhimu sana katika maisha yetu. Inahusiana na jinsi tunavyothamini na kupima mambo na watu katika maisha yetu. Katika Makala hii, nitazungumzia...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa

    MAISHA NI SAFARI YA KUJITAFUTIA MAFANIKIO: NJIA ZA KUJIIMARISHA NA KUFANIKIWA Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Karibu katika Makala hii, ambayo itajadili kwa kina ujumbe wa "Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa". Katika makala hii, tutajadili umuhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako

    Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako Kupata jina sahihi la biashara ni hatua muhimu katika kujenga kitambulisho chako cha biashara na kuwasiliana na wateja wako. Hapa kuna njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako: 1. Jifunze kuhusu biashara yako: Anza kwa kuelewa vizuri...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Amerika katika njia panda. Atatoboa dhoruba hii?

    Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika, ukomo wa deni la taifa ni kitendawili.... Electrol collage! Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Mabula umesema vema kuhusu uwanja wa ndege Mwanza na barabara kuu njia nne

    Mimi nianze kwa kumpongeza mbuge wa nyamagana na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza bw adam malima kwa kusemea kwa nguvu kubwa ukamilishaji wa uwanja wa ndege wa mwanza, jengo la abiria na miundo mbinu yake. Suala la uwanja wa ndege ni la muda mrefu sana kila mara hupigwa chenga,hata bajeti ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Mabula aomba barabara ya Kenyatta ianze kujengwa njia nne kuungana na daraja la Busisi

  9. JamiiForums Tanzania Vyama shindani vyenye nia ya kushika dola unganeni sasa, 2025 njia nyeupe

    Kwa ufupi, Kiongozi wasasa wa nchi hakubaliki popote Tanzania Bara, hakubaliki kwa makundi yote hasa wananchi wa kawaida(common people). Anapondwa mno kwa kushindwa kuwa dereva Bora na mwenye msimamo. Wananchi wameshindwa kujua hasa falsafa yake ni ipi? Wameshindwa kujua mwelekeo wa nchi ni...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

    Nina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA, kwakuwa kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata tenda ktk taasisi binafsi hata zile za serikali, Naomba walau npate elimu kutoka kwa wajuvi wa mambo.
  11. JamiiForums Tanzania Tutumie njia hii kutumia muda vizuri

    I wanna say ni kwamba kama una wanawake wengi lets say 4+ Unaweza unda group la WhatsApp ili uwe unawatumia Taarifa kwa Pamoja ili kuokoa Muda. Badala ya kupoteza Muda kuchart na kila mtu u may send a single messages to wish them Goodnight or Good morning at once.
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zashauriwa kushirikisha Serikali za Mtaa ili kuzuia uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele

    Kikao kilichoandaliwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kikishirikisha Wadau mbalimbali kujadili kuhusu udhibiti wa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele kimetoa maombi na maoendekezo tofauti kuhusu mchakato wa kupunguza uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maoni: Serikali itumie njia hii kudhibiti ukwepaji kodi.

    Kwanza, Ninampongeza Waziri mkuu kwa kutatua mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo uliodumu kwa siku 3 mfufulizo. Katikati ya mgomo huo mpaka kutatuliwa kwake tumeona na kusikia mengi hususani madhila waliyokuwa wanakutana nayo wafanyabiashara kutoka kwenye vikosi kazi vya kodi. Pamoja na mambo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana wafanyabiashara wa Kariakoo na nchi nzima, mmetuonesha njia Watanzania

    Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa (professionalism) kwa jinsi mlivyowasilisha na kudai ufumbuzi wa kero zenu mbele ya serikali. Mmekuwa wazi...
  15. JamiiForums Tanzania Njia ya uzazi kutokufunguka wakati wa kujifungua

    Kufitika au kupungua kwa mlango wa uzazi (Cervical effacement) huwenda sambamba na kupanuka au kufunguka kwa njia ya uzazi (Cervical dilation): Kupanuka kwa mlango wa uzazi ni wakati njia inapofunguka inapimwa kwa sentimita. Ikiwa njia imefunguka kabisa kikamilifu inatakiwa kupanuka kwa...
  16. JamiiForums Tanzania China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

    Jeshi la China linasema liko tayari kuharibu harakati za aina yoyote za uhuru wa Taiwan, huku Marekani ikijiandaa kuharakisha uuzaji wa silaha za kujihami kwa demokrasia ya kisiwa kinachojitawala. Msemaji wa Wizara ya Ulinzi, Kanali Tan Kefei anasema ongezeko la hivi karibuni la mabadilishano...
  17. JamiiForums Tanzania Je, nitumie njia gani ili niachane na mchepuko wa mwanajeshi bila matatizo yoyote?

    Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana. This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndio maana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo. Mimi...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Vikwazo na Njia za Kuboresha Kilimo Tanzania

    Utangulizi Sekta ya kilimo ni uhai wa Taifa. Ni sekta muhimu sana nchini Tanzania, ambayo inachangia sehemu kubwa ya pato la taifa, ajira kwa wananchi wengi na usalama wa chakula. Hata hivyo, kama ilivyo kwa nchi nyingine, sekta hii inakabiliwa na changamoto nyingi ambazo zinahitaji...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Habari, Watanzania wengi ni watu wenye vipato vyenye kukidhi mahitaji madogo madogo ya kila siku. Kwa kuzingatia hilo kumekuwa na harakati mbalimbali za kupambana na hali duni za maisha kwaajili ya kutafuta kipato cha uhakika kitakacho wafanya waishi maisha mazuri. Zifuatazo ni njia duni...
  20. JamiiForums Tanzania Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa

    Wakuuu za sahizi Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa kitu ambacho sijafurahishwa nacho Nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua dawa au njia ya asili ya kuyapunguza mashavu yangu anisaidie Siyapendi kwa kweli 😢😢😢😢😢😢 Nawasilisha Edit:: mimi ni me nasemea mashavu ya usoni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…