Maoni
Tanzania iko kwenye njia panda ya kuogofya
Kuna dalili za kutia doa ahadi za Rais Samia – baada ya kuingiamadarakani, kuwa atahakikisha Tanzania inaheshimu misingi yahaki na kuimarisha demokrasia. Hata hivyo,bado hajachelewa kutimiza aliyoahidi, licha ya nchi kugubikwa na matukio...
NJIAPANDA: Mke wangu alileta mchepuko wake kwangu wiki mbili wakitafuta mtoto, sasa anakaribia kujifungua!
Sina kawaida ya kushika simu ya mke wangu kwani nilikuwa namuamini kiasi kwamba sijawahi hata kufikiria kama atakuja kunisaliti. Nimeoa na ndoa yangu ina miaka 3 sasa, na Mungu ametujalia...
Wananchi tuko kwenye mtanziko kilichopo hasa ni nini. Twende na kipi, Serikali imetumia pesa nyingi kutunga sheria mpya ya uchaguzi, mikutano ya Mabaraza ya vyama na kadhalika. Lakini sasa tunaambiwa kuwa ushindi utapatikana nje ya sanduku.
Sasa kipi ni kipi hasa,Kauli ya kukanusha ya Makalla...
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.
Jamaa...
1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi.
2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa.
3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
Kama kuna kitu huwa sipendi nikiwa na mwanamke ni pale anaanza kunipa umbea. Hii inatokea sana baada ya game nono (CHAPUTA hamtojua hili)
Sasa bwana, usiku wa juzi kwenye kutuliza kichwa huyo akaja na story, mie nikawa namuitikia tu kutokumkatisha (hapa ndo nilifanya kosa maana huwa namkatisha...
"Kuna huyu binti tulipendana sana, kutokana na mambo ya kazi muda mwingi yeye ndio huanza kunicheki iwe kwa kupiga au sms, sasa ghafla kaanza kulalamika kwamba kwanini kuwasiliana mpaka anitafute yeye, kulingana na kazi yake simu anaweka mbali so napopiga muda yuko bize hapokei hivyo nikamwambia...
Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui ni uchawi ama kiini macho sijui niseme lipi ndugu zanguni.
Ila hivi sasa miezi zaidi ya 5 nimekuwa...
Kuna ndugu yangu mmoja anamchumba sasa kumfuatilia anajiuliza mambo mengi kweli.
Mara nyingi tunaamini kuhusu Tabia kurithi kutoka kwa Baba na mama.
Sasa katika ndoa kuna mambo mengi hasa utakuta mama anachepuka na kuzaa na ME mwingine na mtoto kumpa mume wake bila kujua au mume akajua baadae...
Habarini za usiku wapendwa
Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia.
Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
Nina rafiki yangu yeye amekuja kuniomba ushauri, iko hivi;
Yeye (rafiki yangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote.
Anasema Mungu si Athumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa...
*Wadai kuna 'njama za kuchelewesha Katiba Mpya'
MAZUNGUMZO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, yaliyochukua takribani mwaka mmoja, yakijaribu kutafuta muafaka wa kitaifa hususan kwenye suala la katiba mpya, sasa yanaelekea kuwa...
Habari zenu
Bila kupoteza muda Mimi naishi jijini Arusha, nimetokea kuwa katika Mahusiano na kadada kamoja hapa hapa Arusha. Mahusiano bado hayajawa deep kwani tuna muda mchache kama miezi minne. Kikubwa kilichonivutia Kwa huyu dada ni kwamba ni mpole, mkarimu pia ana hofu Sana na Mungu(huyu...
NJIA PANDA
Njia panda ni mahali ambapo njia zaidi ya moja hukutana, lakini njia panda nzuri zaidi kwenye kazi hizi ni ile ya njia nne inayoweka alama ya ❌
Matumizi ya njia panda inaweza kuwa kwa madhumuni tofauti, hasa kuleta kitu kuelekea kwako au kutuma kitu kwa mtu mwengine
Unaweza kutumia...
Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika,
ukomo wa deni la taifa ni kitendawili....
Electrol collage!
Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
Wanajamvi, salaam!
Iko hivi nina mdogo wangu (rafiki) naishi nae kwakua anaumwa, tunaheshimiana sana. Tunaishi kisela kila mmoja anaweza kuleta demu wake maghetoni.
Dogo ana mademu watatu ambao najua yupo active nao na wote wanakujaga maghetoni kwa wakati tofauti, sasa kumbe ana wa nne ambaye...
MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI.
INTRODUCTION:
Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa...
Na nikiri NAPENDA HELA SAA.
Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu.
Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara...
Jamani za leo?
Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.
Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .
1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.