Habari!
Mimi ni mwajiriwa wa serikali ofisi X kwa kada ya ulinzi.
Nina miaka 7 sasa tangu niajiriwe. Nimejenga nyumba ya kawaida sana. Na nina second hand car, namaanisha namiliki gari ya kuungaunga. Ninapenda sana magari.
Nimechoka kulinda. Yaani nimechoka sana maana ni kazi ambayo hata mke...
Binti kisu kisu kweli.
Ilikuwa tuupige ' ubeche' wa Harusi miaka minne iliyopita baada tu ya mchumba wake kuhitimu Chuo lakini baada ya kushauriwa mshkaji alilielewa somo na kukubali kuahirisha Ndoa kwa makusudi ya binti kwenda kumalizana na masomo ili akirudi wanaoana.
Mshkaji aliingia...
Habari wana jf,
Natuamina wote mko poa humu ndan.
Mi nikijana wa miaka 33 sasa nmekua na mahusiano na mdada mmoja wa kichaga from marangu yapata miez karibia 6 sasa, mwanzon mpaka juz tulikua vizuri tu nampenda na yeye kwa upande wake naona anaonyesha upendo na kunijali kwan kila nikimhitaj...
Hatua stahiki zinahitajika hapa kama si mwendelezo wa kujisahau:
Ya Mwigulu, Nape na walamba asali wengine tumeyaona. Kama vile haitoshi tena tunastaajabu ya Waziri Masauni.
Asali mlambe nyie na kukiuka haki zetu juu?
Hivi mnawajibika kwa nani enyi miungu watu?
Umofia kwenu wakuu
Ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto...
Natamani siku zisonge na miaka iendelee kwa kasi hii hii ili UMASIKINI uzeeke na UTAJIRI uchipue na kukua kama mti wa MBUYU
Sina mradi wala wazo lolote, sina lengo wala ndoto yeyote naona maisha yanasonga kama ilivyo desturi yake Mara Giza wakati wa usiku Mara mwanga gafla siku nyingine...
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa...
Husika na mada hapo juu. Mimi ni mhitimu wa diploma ya elimu since 2017. Mwaka 2019 nikaaply degree na nilichaguliwa lkn sikwenda baada ya kuwaza sana nikaona nifanye mishe kwanza kwa hela kidogo nliyonayo badala ya kupoteza 3 yrs chuo alaf nianze kuhangaika na ajira, nikiwaza kwamba nitaenda...
NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -*
( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE)
Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya vyumba 5)
BEI ELEEZI NI 120M (million 120 za kitanzania) "Ila mazungumzo ya kina yapo..Karibu...
Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi.
Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
Ni dhahiri kuwa Uraisi sio kazi ndogo mara kadhaa Rais Samia amenukuliwa akiongea kwa upole na unyenyekevu(sijui kama unatoka moyoni) katika medani za kisiasa.
Mara ya mwisho aliwaasa wateule wake kuchapa kazi na kuwa hatatumia nguvu kuwasukuma
bali atatumia wino kuwanyoosha(akili).
Katika...
Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.
Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.
Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.
Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano.
Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education.
Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.