nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. Akina dada, vita vya nje ni vikali sana kuliko vita vya ndani ya ndoa

    1.Oooh Mimi siezi eka kikojoleo Cha mume wangu kwa mdomo,,my furendi nje huko wanamumunya hicho kikojoleo mpaka mumeo asikia ganzi kwa uume,,yaaani roho bariidiii kama Ambae ameekwa donge la barafu,,mpaka aguna peke yake,,akifika kwako akuona kama Jini vile juu alofanyiwa huko ameridhika hata...
  2. Ukitoa rangi, ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ambao hautozeeka haraka wala kupitwa na wakati

    Ndugu zangu . Kama kichwa cha habari kinavyosema Ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ukitoa rangi.
  3. P

    Msaada: Kupiga simu nje ya nchi

    Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..). MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi...
  4. Al Jazeera: Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran. Asema ni kweli walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Wanajipanga upya

    Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
  5. Wazir wa Mambo ya Nje wa Iran akiri vinu vyao viriharibiwa vibaya. Ila anasema watarudi tena kurutubisha

    Wakati sisi Wairan wa Samvula Chole, Manzese Majimatitu, Tandale kwa Tumbo, Manzese kwa Mfuga Mbwa, Buguruni kwa Mnyamani na Buguruni kwa Mnyamani tunasema Irani haikuumiziwa Vinu vyake vya kirutubisha Nyuklia. Waziri akiri viliharibiwa vibaya. Na anasema hawajakoma. Watarudi tena kuanza...
  6. Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka $700m au TZS1.82 Trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14 Trilioni ongezeko ni TZS8.32 Trilioni

    Rais Samia ameongeza mapato ya utalii wa kimataifa kutoka $700m au TZS1.82trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14trilioni Tofauti ni Trilioni 8.32 na utalii wa ndani umeingiza TZS210bn. Mwaka 2024 umeshuhudia mafanikio makubwa katika sekta ya utalii nchini Tanzania, yakijieleza kupitia ukuaji wa...
  7. Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa

    Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa
  8. Usahili wa Kuandika, Wizara ya Mambo ya Nje

    Mambo vipi wakuu!? Kwa yeyote ambae ameshawahi kufanya usahili wa kuandika Wizara ya Mambo ya Nje (Foreign Service Officer), maswali yao huwa yanatoka maeneo gani??
  9. Muhammad Ali: Safari ya Mshindi Aliyepigana Ndani na Nje ya Ulingo – Hadithi ya Ujasiri, Imani na Urithi Usiofutika

    Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa mtoto alikumbana na changamoto za ubaguzi wa rangi. Ali alikuwa na roho ya kupambana tangu utoto wake...
  10. GE2025 Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?

    Wanabodi, Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la tatu, tunajua amesema ukweli nusu!, ndio maana bado yuko mguu mmoja ndani, akisema atabaki kuwa...
  11. W

    Ushauri kuhusu kuweka milango ya nje ya chuma

    Wadau nimeona kuweka mlango wa mbao na grill kwa milango ya nje kwenye nyumba ya kuishi haipendezi kama kuweka milango ya chuma hasa ya Uturuki na China. Naona kujua ni milango ipi imara ya chuma na naweza kuipata wapi. Ahsante.
  12. CCM Kuna mpasuko mkubwa sana ndani, sasa mpasuko umeanza kionekana kwa nje

    CCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule Mbozi) amekuwa akiwatesa wapinzani wake wa ndani ya Chama na wale wa nje ya CCM. Tumeona...
  13. Nahitaji Scholarship ya kusoma SHAHADA YA SHERIA (LL.B) Nje ya Nchi -Naomba Ushauri wa Wadau

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. Nina...
  14. Tanzania imetolewa kwenye taarifa ya habari ya nje

    https://www.facebook.com/share/r/1BykRQbp9J/ Dah hadi huku wamejuaje?? Kumbe fisiem imeingia madarakani tokea 1977 hadi naleo .
  15. Ni muda wa TCRA kulazimisha (apple na google) waruhusu malipo nje ya app store (Marekani wameweza)

    Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania tuna njia zetu bora sana za malipo za mitandao ya simu, ni muda mwafaka sasa wa TCRA kufikiria hili...
  16. Trump: Elon Musk ametoka nje ya reli Trump: Elon Musk ametoka nje ya reli

    Rais wa Marekani Donald Trump amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo. Trump amemtaja bilionea huyo na mfanyabiashara wa makampuni ya SpaceX na Tesla kuwa ni mtu aliyetoka kwenye reli...
  17. M

    Kiwanda kipya Cha CEMENT kigoma chaanza kuuza cement kwa Tanzania na nje ya nchi congo,burud

    Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
  18. M

    MKOPO KWA WAFANYABIASHARA WANAAGIZA MIZIGO NJE YA NCHI NA ULIPAJI WA USHURU BANDARINI 0(KOPA MPAKA SHILINGI MILION 500)

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada, Ukiwa wewe mfanyabiashara na unahitaji kununua mzigo Toka nje ya nchi lakini kiasi Cha pesa hakitosh au mzigo wako umekwama bandarini sababu umeshindwa kulipia ushuru basi karibu ofisin kwetu tukusaidi,e MIKOPO yetu huanzia...
  19. J

    Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
  20. A

    KERO Chuo cha CBE (Dar) hakijibu emails na simu hazipokeleki ukiwa nje ya nchi

    Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu katika chuo cha elimu na biashara campus ya Dar-es-salaam Diploma ya INFORMATION TECHNOLOGY. Nimesoma cheti nikamaliza nikaendelea diploma ila cha ajabu sana ni kwamba kwenye mfumo inaonesha mimi bado nasoma cheti na matokeo yangu ya muhula wa pili cheti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…