Kwa hapa Africa maeneo mengi yenye muonekano mzuri ni maeneo ya mijini. Hapo kwenye miji yetu kidogo utakuta kuna mitaa ya kishua, kuna town centre iliyokaa unyama, yani miji yetu huwa na baadhi ya mitaa mizuri at least, ingawa bado inasumbuliwa na slums pia
Sasa ukija kwenye vijiji vyetu, ni...