Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.
Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa...