nimepata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Sio mbaya ya supu nimepata

    Kuelekea kufungua ligi mkamaria nimeanza kama hivi nasemaje ama zangu ama za sporty bet msimu huu
  2. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Leo nimepata tiba ya mning'inio (hang anxiety) hasa kwa walevi...

    Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania wanaoshtua yaani kutumia kilevi ( pombe) ili kuchangamka Na kuongeza confidence, nilikuwa nikitumia pombe kwa kiasi kikubwa kesho yake Basi naamka Na huzuni au mapigo ya moyo muda mwingine yanakuwa yanapiga kwa Kasi sana..ukiniona huwezi kujua kama...
  3. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

    Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema. Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto. Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimepata mashaka makubwa sana dhidi ya ueledi wa Admin alie unganisha Uzi wangu na Uzi wa Kula PAPUCHI kimasihara.

    Uzi wangu ulikuwa na title " KWA MWENYE UZEOFU NA UWEZO WA KITANDANI WA WANAWAKE WA KIMATUMBI KUTOKA KILWA" Ndani ya Uzi nimesema kuwa nimepata demu single mother wa kimatumbi, weekend hii nimepanga kwenda Somanga KUKUTANA nae. Nikauliza kama kuna mtu aliwahi kutoka na mmatumbi anijuze kuhusu...
  5. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Nimepata ajali nikakumbuka ningekuwa na bima ingenisaidia

    Ukweli mchungu gharama za maisha ni kubwa kwa sasa na kibaya zaidi ni hizi gharama nyeti za afya ni ghali sana kwa sasa nimejikuta nawaza hivi ningekuwa na Bima si ningeokoa hela ila ndio hivyo sina imenibidi nizame mfukoni kugharamia matubabu. Roho inaniuma sana kwa hizi gharama ikiwa huna...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nimepata dili la kupeleka korosho India kilo 500, wajuzi nipeni ujanja

    Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla? Tax itakuwa bei gani? Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli. Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata partial heart attack leo , nimludie prof Janabi kwanza

    nilikuwa naoga ile maji yamenigusa tu . Nilihisi moyo upo mbio , ni mepata fatigue , nguvu sina , palpitations moja Kali . Chest pain , wenge kubwa sana Aisee nikafunga shower nikapoa kwanza . Worse nipo late 20s . Sina hata mke wala mtoto Beer, liquor , kitimtoto , chips kuku Zege ...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaomba ushauri amepata content

    Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe...
  9. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

    123
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimepata site ya umeme Kondoa, nina imani huku haitakuwa kama ilivyotokea Sumbawanga

    Heshima kwenu! Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga. Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi ndiyo basi tena walibakia huko baada ya kazi hawajarudi hadi leo na hawataki kabisa kusikia habari za...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta. Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho. 中文版 2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
  13. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda. Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa. Sasa changamoto anataka kila...
  14. TAI DUME

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Wadau Niliahidi hapa kwenye huu uzi wa Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa kwamba ikitokea nimepata sehemu ya kupiga kazi ningewajuza. Nachukiua nafasi hii kuwafahamisha kwamba nimefanikiwa/bahatika/barikiwa kupata kazi kutokana na connection ya mdau mmoja aliyepitia...
  15. john issa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

    Naomba nitoe shukrani zangu za dhati JamiiForums kunipatia mchumba, Pia, sio kwamba wewe hustahili kuwa mke wangu kama sijakupa kipaumbele, la hasha ni vile nilikuwa nataka mmoja tu! Wengine tunaweza kushirikiana katika biashara zingine, tu na zikaenda kwa uzuri. Mazao, ng'ombe, cosmetics...
  16. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya nitafanikiwa kwenda Advance?

    Jamani nimepata division III ya point 24 nilikuwa nauliza je, kitafanikiwa kwenda kidato cha tano ( A level)? Matokeo yang ni haya. Civics C, English C, Biology C, Kiswahili C, History C, Geography D, Math F.
  17. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Nimepata Kibali rasmi cha Kumjengea sanamu ya ukumbusho Aden Rage

    Najua Wenye vijicho,Visebengo,Visebusebu,Viherehere na Visununu mtavuta sana midomo na kusonya sana kwa hatua hii adhimu ambayo nimekuwa nikiiomba na kuipigania kwa muda mrefu! Huyu mzee wetu alifanya kazi kubwa mno na iliyotukuka, huyu mzee atakumbukwa kwa mengi mazuri ikiwemo kutuheshimisha...
  18. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Nimepata manzi mtandaoni single mother anaishi ughaibuni, ananishawishi nihame bongo nifanyeje?

    Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza...
  19. Cheusi Mangala

    JamiiForums Tanzania Nimepata Kazi Zanzibar. Zipi changamoto na faida wa kuishi huko?

    Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu. Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao. Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Habari wakuu, Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA...
Back
Top Bottom