nimekuja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimekuja Pwani huku, Niombeeni Ndugu Yenu

    Kwema humu wadau? Nina siku saba tangu nije huku Pwani kwa masuala binafsi.. Aisee niombeeni nikumbuke kurudi Nyumbani.
  2. Nimekuja kwa Mara ya mwisho kutafuta mke

    Wakuu bado Nahitaji mke. Niliwahi kuleta Uzi humu 👇🏾👇🏾 https://www.jamiiforums.com/threads/nahitaji-mke-wa-kuoa.2087011/
  3. I

    Naomba Msaada wa Kibarua

    Hodi na Salamu Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Elimu yangu ni ya Secondary. Nimekuja kwenu Kuomba Connection ya Kibarua cha kulipwa kwa siku, Nimeandamwa na msururu wa Madeni ya Kodi na kwa mangi. Nipo tayari kufanya Majukumu yoyote ilimradi yasikiuke Utu na sheria za nchi. Mungu...
  4. Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

    Wakuu habari za Jumapili? Kwangu si njema hata kidogo ila nina Imani Kila mmoja ni buheri wa afya. Nisiwachoshe sana ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu yaliyonikuta japo imekuwa ghafla sana kinyume na mategemeo yangu Ni hivi, mwaka 2019 baada ya kuona mahusiano niliyokuwa...
  5. Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

    Wakuu, Sijui ni stress za maisha au ni nini? Toka nimefika Arusha, kila bar ninayoenda naona wanawake pombe yao kubwa ni konyagi na K-Vant. What is wrong with these beautiful ladies?
  6. Nimekuja kugundua kwamba vita dhidi ya Uganda ilitengenezwa na Israel ili kumuondoa adui yao Idd Amin

    1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui chanzo kamili cha 1+1 kilichoanzisha vita ila ni wazi kabisa mtu aliefaidika kwa kupinduliwa Idd Amin...
  7. B

    SoC02 Kiswahili kitumike kama lugha rasmi ya kujifunza na kufundishia

    By Erick Mange Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla. Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili? Sipati majibu.. kuna...
  8. Hatimaye nimekuja kubaini Tanzania ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli

    Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani. Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CCM na...
  9. Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

    Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache. Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako...
  10. W

    Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  11. Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania

    Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji...
  12. Nimekuja nipokeeni

    Hellow,hellow! Nimekuja,nipokeeni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…