Nimekuja nipokeeni

Umekuja una kiroba cha unga!? Una kuku wa kienyeji, sio mnakuja kuja kwa watu tu halafu mko mikono mitupu.. Na unakaa siku ngapi? Mjini tunaenda kwa bajeti, kiroba changu cha unga kilo 25 kinapaswa kimalize mwezi..

Ukitaka kukaa saana uje mwezi unao nitakuwa nimekuweka kwenye mahesabu ya mkaa, gesi, ngano, mchele, unga, sabuni, mafuta, umeme, maji n.k
 
  • Thanks
Reactions: ABJ

Hahahaha mgeni njoo mwenyeji apone...
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom