Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana.
Nimejifunza
Jinsi wanavyofanya kazi,
Jinsi wanavyotafuta Clients
Wanavotangaza huduma zao
wanavyowasilisha offer zao.
Meetings zao nyingi sana
Wanavyofanya project management wakiwa na team na hawajuani.
Wanafanya hivi 👇👇
1. Cold...
Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
Champion popote ulipo Amani iwe nawe.
Level ya mwisho ya Maumivu kwa mwanadamu ni pale unapo achilia kicheko ili kuziba mwanya wa maumivu(demage) na si kuhuzunika.
Kupitia maumivu nimeyatambua haya:
1: Ukiwa hapa Duniani, Ukiwa umepigika jua hiyo ndo jehanamu yako, achana na story za kuna...
Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa, unakuta mtu anakukubalia kishingo upande alafu alnarudisha masheji.
Ndio maana watu walisema mapenzi...
Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.
Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...
Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa...
Naelewa tabu zimekuwa nyingi,
ILA,
Kwa hio Mungu ametuma manabii wenye miujiza mikuu waende Dar tu?
Kwa hio kutanguliza sadaka kabla hamjaombewa bado hamjaona kuwa ni shughuli ya kiuchumi ndio anafanya? Toa pesa, Pata huduma
"Mungu wa mahala hapa ndio wa kweli" "Mungu wa nabii so and so" ...
Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5
Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011
Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.
Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.
Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao...
Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu jehanamu hasa kujua iko wapi nikitumia google photo map walau kupata direction yake.
Asee kumbe hata google map haifui dafu ikanibidi nitumie tu knowlege aliyoitumia Christopher Columbus kuigundua Marekani
Imenichukua miaka kumi jana usiku ndio nimekuja...
Amini usiamini hata ng'ombe, paka, kuku na wanyama mbalimbali wafugwao wanao uwezo wa kununa, kucheka na kuongea najua utabisha
Toka 2005 nilijikita kufanya utafiti wa maisha ya wanyama hasa hawa tunaowafuga majumbani mwetu na kilichonishangaza ni kugundua nao wana lugha yao ya kibonyoli"...
Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa
Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
Mwanamke anataka Status ya mahusiano yenu iulizwe kwa minajili ya jinsi mahusiano yenu yanavyo muaffect yeye bila kujali wewe.
Wanawake wamekuwa more selfish, na zaidi institutions hizi zinazidi kumuweka mwanaume katika pressure kubwa sana zidi ya mwanaume
Unaweza kuta Ustawi wa jamii...
Huyu kocha hata Mimi nikikaa pale naweza fundisha huu mpira unaochezwa, match karibu 7 za Simba wanashinda kwa kubahatisha na kwa msaada wa marefa,
Kinachonishangaza ni hizo sub zake zisizoeleweka, nimeshangaa Leo anamtoa Mpanzu aliekua na shoot on target 5 anamuingiza Mutale mchezaji ambae...
Haya ni maoni yangu binafsi,
Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
Wakuu,
Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali.
Zamani nilikuwa sijui maana ya bendera hizi na nilikuwa nadhani kwamba pengine bendera huwakilisha aina ya...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kurejesha mikopo waliyopata kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili wanafunzi wengine wasio na uwezo pia wanufaike.
Hotuba ya Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo...
Kuna thread nimeitoa muda kidogo umepita unasomeka "hii imeniuma sana na itamuuma kila mtanzania"
Ndugu zangu nimegundua kitu kikubwa sana leo.
Tatizo kubwa la sisi wa Tanzania tulio wengi tuna roho mbaya, hatuthaminiani, hatupendi haki, tunatanguliza maslahi yetu na familia zetu.
Ukipitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.