nimegundua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katotochamwisho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu ananiroga akishirikiana na wazazi wake

    Wakuu habari ninaomba mawazo na mchango nini nifanye nimegundua mke wangu ananiroga na hii akishirikiana na wazazi wake. Nimegunduaje nilidukua simu yake na kuona taarifa zote pale alipotoka nyumbani nami kua na wasi wasi kama hio safari si ya usalama kwangu maana ilikua inalazimishwa na wazazi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Umughaka ni pachawangu

    Baada yakusoma maandiko mbalimbali ya umughaka humu jukwaani,na kuvitazama kwa umakini visa vyake,nimegundua tunafanana kwa vingi 1. Ulofa Mimi ni lofa sometimes hasa kwenye kudai hela,naweza tapeliwa hela yangu kirahisiraisi nanikachukulia poa,hali hii inafanya nionekane lofa sana,ingawq...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nimegundua demokrasia haikuundwa kwa ajili ya Mwafrika

    Mtu mweusi ni mkaidi sana. Mpe uhuru, ajipatie nafasi ya kubania wengine uhuru. Mpe mamlaka, ajipatie nafasi ya kutajirika haraka. Mwafrika katika harakati analalamika kuhusu njaa na tabu, akipata ugali, anawaita wenye njaa ni washamba na wavivu. Mwafrika hugeuza cheo kuwa kampuni, Mwafrika...
  4. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

    Aiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu. Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kusudi lililo nileta duniani. Nimeanza kuliishi kusudi hilo na linanilipa

    Naanza kwa kuwatukanizia wale wote walio ni laghai nilipokuwa mtoto mdogo kwa kuniambia eti : 1. Nimerithi dhambi ya asili kutoka kwa mtu anaitwa Adam. 2. Eti nimeletwa duniani kufanya mitihani ( majaribu). 3. Kwamba eti alie niumba aliniumba ili nimuabudu.. ........ 1. Sina dhambi ya...
  6. Tanzanian Dream

    JamiiForums Tanzania Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

    Habari wana jf. Kwenye harakati za utaftaji kuna mapito mengi Sana mtu anapitia mpaka anatoboa,Kuna watu wamepitia msoto mkali,wamekutana na changamoto sio za nchi hii,Kuna wakati unajiona unastahili kabisa kukata tamaa ila Kuna sauti ndogo ndani yako inakuambia "never give up" na hasa ukiskia...
  7. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

    nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti. nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata, je ni sahihi...
  8. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upendo una viwango, nimegundua mzazi wangu ananipenda kwa kiasi kidogo sana

    Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ? Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu kila wakati na kukutumikisha kama mtumwa, siku ukizipata anajileta kama mzazi sasa na yeye anaanza...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutafakari sana nimegundua haya kuhusu ulokole

    Kila siku najiuliza kuwa hawa wanaojiita walokole huwa wanamaanisha kweli au la? Ukweli ni kwamba hakuna mwenya akili timamu anaweza kuwa mlokole ndo mana haiwezekani rais aje kutokea huko. Always atakuw ama muislam au mkatoliki. Kiukweli ni kwamba makanisa ya hawa jamaa wanaojiita walokole ni...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wale watu ambao hawanywi pombe ndio wanafiki, wachawi na wambea

    Iko hivi, nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa. Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka kimaisha nikaona ngoja niwacheck jamaa zangu(bila kujali ni mlevi au mtakatifu kama wanavyojiita)...
  11. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Nimegundua matajiri wengi hapa Tanzania hawajasoma

    Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

    Mambo yanaenda kasi sana. Ujuzi ndio kila kitu. 1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
  13. Chance ndoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi. Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani. Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na...
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

    Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa. Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana. Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
  15. REALITY

    JamiiForums Tanzania Nimegundua haya

    Habari wakuu 1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate 2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii 3. Hakuna motoni wala mbinguni 4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia 5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka...
  16. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Kwa Takribani miaka 40 Sasa Nimegundua Ukiwa na MTAJI au UZOEFU, Utaishi Uchumi wakati au wa juu

    Habari zenu woote Naamini niko jukwa sahihi kushare uzoefu wangu kwenye biashara. Sasa leo napenda kushare nanyi uzoefu wangu kwa kuangalia circle yangu, nimegundua ngazi 3 kiuchumi: 1. Uchumi wa chini: Kundi bila Mtaji Wala Uzoefu. Hawa wanastrugle kila iitwayo leo kufanya kazi apate pesa ya...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe

    Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala. Usimzindue. Ile pesa nilimtumia alipoipata akasema hatoweza kuja. Nikamwambia its ok hamna shida pole pia...
  18. cleokippo

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana, last two weeks nilienda kuangalia salio la acc yangu crdb bank, nikakuta sehemu flan ya pesa imepungua nikakaa kimya Leo hii tena tar 14 nikasema niangalie tena salio nikakuta pia sehemu ya pesa imepungua, uzalendo ukanishinda ikabid niwapigie huduma...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumbe Mimi tayari naishi Akhera / Mbinguni

    Habarini wana JF nadhani wengi mtakuwa mmerudi toka France, Dubai, Usa, Uk, Canada, Sweden, Norway n.k kwenye Mapumziko. Nashukuru mimi ndo nimerudi majuzi nlikuwa hizo nchi pia. Nikapigiwa simu kuwa kuna mfanyakazi mwenzetu kafiwa na jirani yake wanataka wasafirishe maiti kwenda Bukoba kwa...
  20. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

    Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi. Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama...
Back
Top Bottom