nimegundua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Katika hili Sakata nimegundua Hiphop kwa wa Tanzania siyo Uhalisia, haina issue na pia Waimbaji ni wanafiki

    Zamani nlikuwa namwona Fiq Q ni mmoja ya wasanii wanaojielewa....nlidhani kichwani ana akili. Fid Q kama upo humu. Kwa kweli nlikuwa namkubali sana.. Ila hili sakata la Steve Nyenyere limenishtua ni kunifanya nigundue kumbe hamna kitu kichwani. Yaani kwa Mistari ya Fid Q ilivyo ya kigumu ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kama Mwanadamu Idi Amin alikuwa na Mapungufu yake ila nimegundua Afrika ya leo iliwahitaji akina Amin wengi ili kupiga hatua

    Marehemu Idi Amin Dada.... 1. Alichukia Upuuzi (Upumbavu) 2. Alichukia Uonevu na Dharau 3. Aliwapenda sana Wananchi wake 4. Hakuwa Mnafiki na wa Kujipendekeza 5. Hakuwa Muoga kuipigania nchi yake 6. Hakuwa Fisadi (Mwizi) hata kidogo 7. Alikuwa Mbabe ili Kulinda nchi yake Sasa wakati...
  3. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

    It's simple wanawake wanapenda mwanamme mpole na mwenye vurugu. Nimemaliza.
  4. VinJoe

    JamiiForums Tanzania Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Jambo la kwanza na kubwa kabisa betting is addictive very addictive hutaamini itakavyo kukamata na kuingia kwenye mishipa ya damu yaani kuna wakati kukaa bila kua na ka mkeka unakokasubiria ka tick ✅ basi unahisi kama kuna kitu hakiko sawa hivi. Jambo lingine ni kwamba utakua na matumizi yasio...
  5. I

    JamiiForums Tanzania NIMEGUNDUA: Mtoto wa Kitanzania hawezi akanyooka kimaadili kwa kumuhutubia tu kwa maneno

    Nina watoto wangu wawili mmoja ana umri miaka 17 mwengine miaka 15. Watoto hawa nimekua nikitumia nguvu nyingi sana kuzungumza nao, kuwa karibu nao na kuwaelekeza katika maadili sahihi na tabia njema za maisha bila mafanikio yeyote. Wananisikiliza kwa makini lakini baada ya hapo ni kama vile...
  6. bafetimbi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya utafiti wa siku nyingi hatimaye nimegundua hili...

    Wasalaam ndugu zangu. Baada ya kuingia chimbo la takriban miezi kadhaa nikifanya tafiti mbalimbali, ghafla nikajikuta navutiwa sana na utafiti juu ya hili jambo. Ni jambo moja nyeti sana ambalo watu wengi hawajalitilia maanani, si wanaume wala wanawake. Kwa kifupi wote hawajagundua juu ya jambo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujizuia kumpenda Rais Samia, nimegundua kuwa ni mtu wa mila za asili ya babu zetu aliyejificha, Atatuvusha

    Wakati nasoma chachi histori mle ndani nilikuta vitu vya kushangaza na ilichukua miaka mingi kuelewa, zamani nyuma ya kalne ya 16 kule ulaya kulikuwa hakuna uhuru wa kuabudu, napo sikuelewa uhuru upi wa kuabudu kwani tayari Yulopa zilikuwa nchi za kikrito. Lakini baadaye nilielewa kuwa haya...
  8. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Nimegundua unaweza kuwa na Elimu kubwa ukawa na IQ ndogo

    Najaribu kutafakari yanayoendelea sasa mjadala kuhusu chanjo ya COVID na jinsi baadhi ya watu, viongozi wa dini na wanasiasa wanavyolichukulia jambo hili kwa wepesi na kuhoji uhalali wake ilhali wao wenyewe walishachanjwa toka utotoni. Je, wasingechanjwa wangekuwa hai leo? Utamtumainije Mungu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimegundua haya Mawili tu yangefanyika katika Vichwa vya Watanzania wote wala hizi 'Kelele' za 'Chura' tusingezisikia kabisa

    1. Nguvu yao kubwa Watanzania kupenda ( kushadadia ) sana Umbea na Mambo ya Kingumbaru ( Kijinga ) na Kipopoma ( Kipumbavu ) wangeiwekeza zaidi katika Kupenda kulipa Kodi Vizazi kwa Vizazi wala lawama hizi zisingekuwepo. 2. Ule muda mrefu ambao Watanzania waliutumia Kumjadili sana Diamond na...
  10. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kusheherekea birthday ni upumbavu

    Wakuu, Hapo mwanzo na hata nilipokuwa mdogo, nilikuwa nikipenda sana kushehereka birthday kila ninapotimiza miaka fulani, (siku ya kuzaliwa) Lakini kadri umri unavyokwemda unakuja kugundua ni upumbavu na kupoteza muda, haswa sisi wanaume tuachane na haya mambo ya watoto, kama mimi nimeacha...
Back
Top Bottom