Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 308
- 715
Mwanamke anataka Status ya mahusiano yenu iulizwe kwa minajili ya jinsi mahusiano yenu yanavyo muaffect yeye bila kujali wewe.
Wanawake wamekuwa more selfish, na zaidi institutions hizi zinazidi kumuweka mwanaume katika pressure kubwa sana zidi ya mwanaume
Unaweza kuta Ustawi wa jamii wanakusumbua kuwa ni jukumu lako kulea mtoto na mwanamke uliozaa nae utafikiri ulimbaka huyu mwanamke wakati alijua anachokifanya.
Utafanya mengi kwa hawa ladies kwa maana unajali furaha yao, lakini shukrani yao kwako ni "kudemand more and more kutoka kwako". Atakupa leo good sex alafu mkimaliza tu anakuambia "bebi kesho unipe hela ya kusuka, nimepungukiwa 40,000".