nimefanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kigger

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kufungua online radio

    Habari wanaJF, naamini ni wazima Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk Maana pesa...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

    Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada. Ni wakati sahihi wa...
  3. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

    Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI. Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo. Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania...
  5. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kufunga ndoa nichangieni wana jf

    Amani ya bwana iwafikie popote ulipo, tumekuwa pamoja hapa jf toka 2016 mpaka Leo, ndugu yenu nimefanikiwa kupata jiko jipya sasa tuinuaneni kwa kunichangia kijiko, sahani, bakuli, sufuria ili tuanze maisha salama na shemeji yenu anawasalamia sana.... shem wenu anawaomba mu mnunuliwe iPhone 13...
  6. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Nilijua hajui ila nimefanikiwa kupindua meza

    Habarini za muda huu wanajamii forum pole na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa. Iko hivi hizi siku za hv karibuni nimeona mabadiliko makubwa kwa mwandani wangu wa muda mrefu, moja amekuwa mkimya sana na kukosa ile nuru na uchangamfu ambao alikuwa nao sikuzote, pili pindi niwapo mbali amekuwa...
  7. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupambana na kunguni na kuwapunguza kwa kiasi kikubwa sana

    Kunguni wanakera sana, unakosa usingizi wakati mwingine unadhalilika! Basi bwana kuna hii dawa inaitwa diazinone, niliitumia mwaka 2015 na nikafanikiwa kuwaangamiza hawa wadudu korofi. Ghafla tena naitwa nyumbani kwamba wadudu wanasumbua, njoo utupe msaada, nikaenda kweli nikakuta wamejaa...
Back
Top Bottom