Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Unforgettable

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
5,271
11,769
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
 
Huu ni mlolongo, ukiona kuchepuka kwako unaumia na kuhisi hatia Basi ujue unampenda mumeo, acha kuchepuka maana kuchepuka kunamaanisha kupata ulichokosa ndani sasa kama unaumia haina maana sasa, mpuuze huenda akajishtukia ila ikishindikana kabisa heri ukaachana nae maana maisha aina hiyo hayafai, mtauana.
 
Yeye anachepuka kwa starehe zake, wewe unachepuka kwa ajili ya kuumiza mtu, ninachoona utazidi kujiumiza kwasababu itafika muda utajilaumu kwa haya unafanya.

Ni bora mtengane kila mtu achukue 50 zake kuliko kujilazimisha kufanya mambo usiyopenda kisa tu fulani asikie maumivu hapa unapiga ukuta ngumi.
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
R.I.P in advance
 
Akichepuka unaumia
Ukichepuka unaumia

Hakuna kitu kibaya kama kufanya jambo kwa lengo la kumkomesha mtu halafu ukaja gundua unayemkomesha hajali kitu... Inakuwa ni kama unatwanga maji kwenye kinu, unapoteza nguvu na muda wako bure.

Cha kufanya ni kuwa mvumilivu na kuongea na mume kuhusu kuumizwa na anayofanya, haijalishi ni mara ngapi unamwambia na anarudia... Mkumbushe

Kama utaona unashindwa kuvumilia unaweza kuamua kuvunja ndoa

Pole
 
Kama unaumia sana we piga moyo konde ila kama unaweza kujichetua kidogo ukawa mtu wa kutoka akitoka unaruka majoka na wenye nazo siku akijua ataumia na wewe ndio gari litakuwa limewaka basi inakuwa ni tit for tat
 
Kwani hao ndugu zako wanabakwa? Acha ukingo tuliza mbususu nyumbani mwisho utaliwa kaduara kama hakajaliwa ukizani unamkomoa mumeo lakini inaonekana hata wewe ni mzoefu na kahaba uliyekubuhu.Malipo hapa duniani kuwa mpole dawa iingie
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Mmh! Kufanya kitu ili mtu mwingine aumie ni upuuzi wa levo ya digrii.

Kama huwezi kuvumilia huo umalaya wake dai talaka acha màmbo ya kung'ang'ania kujiua, wanaume tuko wengi tu mjini hapa.
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Kumbe yule Kingsmann ni mumeo wa mchongo aliyekuwa akikupetipeti muda wote hapa JF?

Naanza kuamini jinsi gani fake IDs zinaweza kutumika kwa Mtu mmoja kuwa Me na Ke kwa wakati mmoja hapa JF
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekua nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikua na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Hili tatizo ni kama la jamaa mmoja ninayemjua na mke wake. Jamaa ni kiwembe kweli kweli. Ametembea na ndugu za mke wake, ametembea na house girls, majirani marafiki wa mkewe, ma-bar maids, yaani ni kumbakumba. Imefika mahali na mkewe naye ameamua kugawa kama pipi.

Wakiishi kidogo pamoja wanapigana wanatengana. Baada ya muda tena wanarudiana, wanazaa. Mtoto akiwa na miezi sita wanagombana kila mtu anakwenda kuishi kivyake, mke anagawa kama hana akili na mume naye anasomba kila kinachofika mbele yake.

Ushauri wangu kwako: Usilipize kisasi kwa kujirahisisha. Utakuwa unajidhalilisha wewe mwenyewe. Trust me. Mimi ni mwanamme na najua jinsi wanaume wanavyodharau wanawake wanaojirahisha. Cha kufanya ni wewe kuondoka na kuendelea na maisha yako.

Ukiondoka utakuwa umemuuza sana. Sasa hivi haoni umuhimu wako kwa sababu uko naye. Akiona umeondoka na kuishi peke yako automatically atajua kuwa utakuwa una contact na wanaume wengine na wivu utamshika.
 
Back
Top Bottom