Nida Kibaha maili Moja kuna moja ya mtumshi wenu pale hafai

Nida Kibaha maili Moja kuna moja ya mtumshi wenu pale hafai

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Kuna mfanyakazi mmoja mapokezi mofisi za NIDA Kibaha maili Moja mama mmoja mweupe amejichubua anakaaga nje mapokezi maili Moja mkoani ofisi za nida anajifanya kama ofisi yake binafsi anawatreatna kuwafokea wananchi kama watoto imekosa utu kabisa aisee yaani kakaa mapokeziofidi za NIDA tu ananyodo je angekua rais sijui ingekuaje
 
NIDA kila pahala ni shida
Iringa pale siasa ni Kilimo wapo dadaaz sijui mamaz wale aise usiombe ukutane nao
 
Ukirudi mpige picha yake, unitumie. Nikumpatia Bibi yangu huyo mama sura itaonekana kama kinyesi kwa mwajiri wake.
 
NIDA kila pahala ni shida
Iringa pale siasa ni Kilimo wapo dadaaz sijui mamaz wale aise usiombe ukutane nao
Siyo kote mkuu!!!
kuna mdada yuko mombasa (g/mboto)
Mungu ambariki mnoo!!!!
Ni ustadhat, mweupe and mkarimu
Sjui kama bado yupo ila Mungu ambariki kokote alipo
 
Kiasili wanawake hawana quality za kuongoza....yapo mengi sana yapo nje ya uwezo wao....
 
Siku hizi taasisi nyingi za kiserikali wanafanya mambo kimwinyi tangu afariki Magufuri.
Ni hatari sana ananyodo sio mchezo sema watanzania Wanyonge sana yule mama anawapelekesha nilipita Jana na Leo pale aisee natamani mimi ningekua nahitaji huduma pale ningeshamtukana
 
Back
Top Bottom