Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na sura yangu inaonekana sio kwamba sionekani sura na...
Nimeshangaa kusikia NIDA inayohusika na vitambulisho inaanzisha msako wa stetionary ambao wanatengeneza vitambulisho copy.
Swali ambalo la kujiuliza hawa mnaokwenda kuwasaka hata mfumo wa server kuwa wata generate numba zenu hakuna?.
Watu wengi wanapoteza vitambulisho,kuharibika je ...
Habari Wana jF nipo hapa nahitaji msaada na muongozo kwa anaefahamu nilijiandikisha NIDA ila kwa kipindi naandikisha nilifatilia nikawa napigwa kalenda ila baada ya kuhama mkoa nikajiandikisha tena upya na no nikapata pamoja na kitambulisho.
SASA nimerudish mkoani kwangu napewa kitambulisho...
Nilitaka kusajili laini leo, zaidi ya mara 3
Naambiwa taarifa zangu hazipo NIDA,
Hawa NIDA 😰😰 kwahiyo me nitoke kigoma nikafate kitambulisho Temeke daah
Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa.
Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
Wamesema mwisho wa matumizi ya namba may mosi, tunachakarika kuchukua vitambulisho na bado hawatupi, leo ni siku ya pili nashinda gongo la mboto kuanzia asubuhi mpaka jioni kitambulisho hakionekani
Kuna mwengine hapa anataka kumchukulia mdogo wake aliyehamia kanda ya ziwa anaambiwa hadi...
Nimejisajili ofisi za NIDA, Arusha, na ninayo soft copy ya kadi ya NIDA. Nilifuatilia hard copy mara kadha lakini sikufanikiwa. Sasa, tangu karibu miaka mitano nimehamia Dsm. Mi ni daktari na siwezi kuacha wagonjwa wangu nilifuatilie hilo kadi huko Arusha.
Nifanyeje? Ahsante
Nianze kwa kusema hivi; mwaka 2018 nilikuwa mkoani Tabora nikifanya kazi kwenye kampuni moja na ndiko nilikojiandikisha kupata NIDA. Baada ya mwaka mmoja nikarejea Dar pasipo kupata Kadi yangu, nikawa mjini kwa mda wote huo hadi 2023 niliporudi Tabora kwa masuala yangu na mara hii nilibahatika...
Wanaume wanne wawili raia wa Ubelgiji, mmoja wa Vietnam na Mkenya mmoja wanashikiliwa nchini Kenya kwa tuhuma za kumiliki na kufanya biashara ya kusafirisha Malkia wa Siafu walio hai.
Washtakiwa hao wamekiri makosa yao mbele ya Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku katika Mahakama ya Uwanja wa Ndege...
Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!!
Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!!
Hivi nida ni...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imepanga kusitisha matumizi ya namba za vitambulisho vya taifa kuanzia tarehe 1 Mei mwaka huu kwa wananchi waliotumiwa ujumbe wa kuchukua vitambulisho vyao lakini hawakufanya hivyo.
Akizungumza leo kutoka ofisini kwake, Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James...
Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi
Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru
Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.
Mungu atamlipia Manara
Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
Wakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35.
Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani?
Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa.
Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania.
Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
Nimejiandikisha nida toka 2022 kama sikosei, nilipata Namba ndani ya mwezi ila sasa hivi ni miaka mitatu sina kitambulisho
Ukiangalia online unakuta kipo kimeshachapwa tayari, walipeleka serikali za mitaa (Moya ya uamuzi wa hovyo zaidi) sababu nilienda mara ya kwanza wakasema sio vyote...
Nimeshangazwa sana nilipojaribu kuangalia line za mitandao mingine zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA kwa kubonyeza *106# kisha nikachagua kuangalia line zote zilizosajiliwa kwa NIDA yangu, ndipo niliposhtuka kuona kuna namba nyingi ikiwemo ya airtel, ambayo baada ya kujaribu kumpigia...
Kumekuwa na michezo ya kusajili line bila idhini ya mwenye kitambulisho, umeenda kusajili laini unaambiwa rudia tena kuweka vidole kumbe nyuma ya pazia kuna namba imesajiliwa bila idhini yako, wehalifu wengine wanaweza kutunza alama za vidole kusajili bila wewe kuweka vidole.
Namba hizi...
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa ( NIDA) wametoa msaada wa mahitaji maalumu ikiwemo vyakula kwenye kituo cha watoto Kurasini jijini Dar es salaam lengo likiwa ni kusherehekea kuelekea sikukuu ya Eid al-Fitrna Pasaka.
Akizungumza leo Machi 29, kwa niaba ya Mkurugenzi wa NIDA, Mkuu wa Kitengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.