Wasalaamu Wapendwa.
Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb).
Wakati nawasiliana nao na kuwaambia nitumie namba ya NIDA,sms ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa, naomba watu wa TCRA...
Samahani NIDA mimi nilikojiandikisha kabla sijapata kitambulisho cha NIDA nilihama niko MBEYA wilaya ya CHUNYA na nilijiandikisha Dares salaam wilaya ya KIGAMBONI kipindi ofisi za NIDA zikiwa POSTA.Je nawezaje kupata kitambulisho changu cha NIDA nikiwa huku huku mbeya
Habari wadau Kwa watalaamu na wazoefu wa vitengo vya NIDA ufafanuzi kwa namba za NIDA zilizofungiwa hivi karibuni kwa sababu ya mtu kutokwenda kufata kitambulisho chake alipojiandikisha kutokana na sababu mbalimbali kama kuhamishwa kikazi,umbali wa eneo kitambulisho kilipo nk sasa ni hatua gani...
Salaam,
Mimi Namba yangu ya NIDA imepishana jina la mwisho (Ukoo) na jina la kwenye vyeti vya taaluma. Niijarbu kwenda ofisi za NIDA kufatilia utaratibu wa kubadilisha Majina ili yaendane nlipewa utaratibu wa kufuata.
Lakini changamoto ikawa kwenye gharama yaan kila hatua kuna gharama, nida...
Ni kwamba huenda wewe yamekukumba hapo ulipo na wala haujui kama yamekukumba huenda unadhani upo salama kumbe haupo salama mpaka siku ukitaka service ambayo Taasisi itatakiwa kuvuta information zako NIDA ndio hapo utakutana na ujumbe wa THERE IS A PROBLEM PARSING MESSAGE RECEIVED FROM NIDA; au...
Siku hizi hata ukitaka kurudisha laini haikubali eti kisa sijachukua kitambulisho cha NIDA wakati namba ninayo hii sio sawa kabisa
Binadamu huwa tunahama sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa unakuta nimejiandikisha Songea kisha nikabadili makazi kuja Tanga bado nilazimike kwenda Songea...
Habari za wakati huku wanajamvi wa jamii forum. Natumai mu wazima wa AFYA teletele.
Napenda kutumia fursa hii kuwasilisha dukuduku langu kuhusu masuala ya USAJILI wa huduma mbalimbali katika kizazi hiki. Tunaishukuru serikali imeleta USAJILI kupitia NIDA na kupitia NIDA, watu wafanye USAJILI wa...
Baadhi ya wananchi wamekumbana na changamoto ya kufungiwa namba zao za Nida kwasababu ya kutokuchukua kadi zao za Nida. Tatizo hili limesababishwa na serikali yenyewe kwasababu imekuwa ikitumia muda mrefu kutoa Vitambulisho na wananchi wengi kutokana na harakati za utafutaji wamejikuta wakihama...
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.
Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya...
Wakuu habari 💪
Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮💨
Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵
Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za NIDA
Zilizofungwa?
Wamenifungia kwa sababu ya kitokuchukua kitambulisho
Na ukiangalia mimi niko mbali...
Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
Serikali imebaini na kuzifungia laini za simu 47,728 pamoja na nambari za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) 39,028 baada ya kugundulika kuwa zimehusika katika matukio ya uhalifu wa kimtandao na udanganyifu kwa njia ya mawasiliano.
Hayo yameelezwa leo Ijumaa Mei 16, 2025 na Waziri wa Mawasiliano na...
Hii imenitokea leo, nilienda kubadili laini ya Vodacom ili nipate laini ya 5G, wakala akaniambia niweke finger print, niliweka mara mbili baada ya kusema mara ya kwanza nilikosea. Baada ya kumaliza zoezi hilo na kuondoka pale, nilipokea ujumbe mfupi kutoka Airtel kuwa nimesajili laini mpya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.