nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania NIDA kutaka kusitisha matumizi ya namba za utambulisho haitasaidia, tumieni njia mbadala ya usambazaji, wananchi hawajakaidi kuvichukua

    Hili la kutaka kufungia namba za utambulisho wazee mnazingua, wananchi hawajagoma kuchukua vitambulisho vyao. *** Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA leo imetangaza kuwa itasitisha matumizi ya namba za utambulisho za wananchi ambao hawatachukua vitambulisho vyao baada ya kutumiwa ujumbe mfupi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania NIDA kusitisha matumizi ya namba kwa wasiofuata vitambulisho vyao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao. Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo ya ajabu ya taasisi zetu - NIDA

    Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi, wapi sikufanikiwa kukipata, Dar ni kubwa mihangaiko ni mingi, nawashauri nida pale ambapo mtu alipeleka...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aweka Wazi Programu na Kampeni 10 Zitakazoendeshwa na Wizara ya Vyombo vya Usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Wahariri na Waandishi wa Habari kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Vyombo vya Usalama katika utekelezaji wa mikakati ya mawasiliano na programu kumi zilizopangwa kutekelezwa katika kipindi cha miaka miwili...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini TRC wanasisitiza NIDA kukata tiketi za SGR?

    Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho tena cha Nida naomba kufahamishwa,na je ingetokea nini kama tungekuwa tunakatiwa ticket bila hiyo...
  6. NIDA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  8. Red shadow

    JamiiForums Tanzania REVIEW YA MOVIE: Kung fu panda 4

    Chameleone: Giving to gain I believe thats how things work
  9. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha NIDA ni muhimu sana, nenda kachukue kitambulisho chako

    📖Mhadhara (72)✍️ Ni siku nyingi sana sikutembelea ofisi ya NHIF. Lakini jana nilikwenda kwenye ofisi ya NHIF kuchukua kadi ya Bima ya afya ya mtegemezi, nikaambiwa kuwa sasahivi mambo yamebadilika. Kwa sasa mtu mzima hapewi kadi ya Bima ya afya bali atatumia NIDA (NAMBA YA NIDA) kutibiwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nakala ya kitambulisho cha Taifa (NIDA)

    Habari zenu ndugu wana JF, nilikua naomba msaada wa yeyote anaeweza kunisaidia kupata nakala ya kitambulisho cha taifa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Namuomba Bashungwa asome hapa kuhusu kero za vitambulisho vya NIDA!!

    Nimemsikililiza waziri Bashungwa alipokuwa anatoa maelekezo kuhusu vitambulisho vya NIDA. Kwa bahati mbaya hawa mawaziri wetu hawajishughulishi sana kutafuta majibu ya kero halisi za wananchi wa kawaida kabisa. Kuna changamoto nyingi sana kwenye michakato ya vitambulisho vya NIDA 1. Ni...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
  14. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Pengine watu wengi hukosa haki zao kwasababu ya changamoto za majina ya NIDA

    📖Mhadhara (68)✍️ Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo akiwa na mwenzake walikuwa wanazungumza jambo. Kwenye mazungumzo yao dada mwenye duka anamshauri...
  15. Mkenda01

    JamiiForums Tanzania Mzee Ayo afariki dunia baada ya kutapeliwa pesa mtandaoni. Umuhimu wa NIDA na alama za vidole kwenye usajili wa kadi za simu ni upi?

    Habari wana JF Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti utapeli kwa njia ya mtandao. Nimeleta hoja hii kwani ni miaka sasa tangu swala la kujisajili kwa...
  16. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna nyingine ya kupata namba ya NIDA bila ya kwenda ofisini kwao?

    Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao? NIDA Tanzania
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kufanya marekebisho ya Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

    Naomba msaada ndugu zangu nimekuwa nikihitaji Kufanya marekebisho ya namba ya NIDA tangu mwaka Jana mwezi Novemba, katika ofisi Moja Bariadi requirements zote nilikamilisha mpaka malipo ya replacement lakini mpaka sasa nimekuwa nikifika ofisini kwao wanadai mtandao unasumbua mara usajili...
  18. Tesco Tesco

    JamiiForums Tanzania Kama unamiliki kitambulisho cha NIDA utakubaliana na mimi kwenye mambo yafuatayo

    Nafikir kama unaimiliki namba ya Nida au kitambulisho Cha NIDA hasa wale walioandikishwa wakati zoezi la utoaji wa NIDA linaanza utakubaliana na mimi mambo yafuatayo: 1.picha zetu sio halisia 2.kadi Zina makosa mengi Kama A .majina yamekosewa Sana B.Tarehe za kuzaliwa zimekosewa pia...
  19. Mr Titus

    JamiiForums Tanzania SI KWELI RITA na NIDA wanarekebisha taarifa kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa kwa kutuma taarifa kwenye Whats App

    Nisaidie kupata hii habari kama ni kweli
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO NIDA kuna changamoto kuangalia namba ya NIN mtandaoni

    Kuna shida ya kuangalia online namba ya NIDA hawaleti namba inasababisha changamoto. Tafadhali IT wa NIDA rekebisheni hili
Back
Top Bottom