Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu...
Shalom shalom
Licha ya kuwa na elimu duni wanayotoa pia kupata GPA kubwa na kali imekua anasa kwa vyuo vya serikali Tanzania kuliko hata HAVARD na vyuo vingine vikubwa duniani na sababu kubwa ikiwa sio kwamba wanafundisha sana la hasha bali kuna miungu watu nasio malecturers.
Hata hao...
TANROADS, ni vema mkalidhibiti hili eneo la Ruaha kabla maafa hayajatokea, hasa wakati wa mvua ambazo siku hizi zinzzidi kuwa kubwa kuliko vegezo vilivyotumika ku-design hii barabara. Imetokea India inaweza kutokea pale Ruaha. Msiache mambo kwa kuomba tu rehema za Mungu kwamba haitatokea...
Jinsi Nilivyomsaidia Mteja Wangu Kumsajilia Jina la Biashara
Nilipokutana na mteja wangu kwa mara ya kwanza, alikuwa amechoka na mawazo akijaribu kuanzisha biashara yake. Alikuwa na ndoto, wazo, na hata jina la biashara alilopenda lakini hakuwa na ufahamu kamili wa taratibu rasmi za kulisajili...
Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua.
Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana
Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na...
Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana.
Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa imetepeta na haijafanya lolote la maana katika kuvurumisha mamia ya makombora yake, zitabaki kuwa mbwembwe...
Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo
Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake
Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
Kati ya feature phone na smartphone, smartphone ndiyo rahisi zaidi kuhackiwa, na hii ni kwa sababu zifuatazo:
1. Muunganiko na intaneti
Smartphone inaunganishwa mara kwa mara na intaneti (Wi-Fi, data), na hivyo kuifanya iwe rahisi kushambuliwa kwa njia ya mtandao.
Feature phone nyingi hazina...
.CHAUMMA INA UMA.
Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa.
Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
Karibu napenda kukutia moyo ujenzi sio mgumu .Kama ukikutana na wataalamu sahihi wasio na tamaa wenye utu na wenye ujuzi wa kutosha
Nakukaribisha
Tunaandaa Ramani, TunaJenga , Tunapaua na kujenga Mashimo ya choo yasiyo jaa.
⭕Tuna design Ramani zinazo jitosheleza na za kisasa zenye unafuu wa...
Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya.
Picha hii hapa👇
Huku Tanzania;
Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
Taifa ambalo raia wengi hasa vijana hawana ajira, umaskini ni wa kiwango cha juu huku baadhi wakiwa wamepita mafunzo ya kijeshi na kubaki mitaani, ni Taifa delicate sana.
Kwa msingi huo, kuna hatari kubwa ya vijana wa aina hiyo kukodiwa na kufanya vitendo vya kulipiza kisasi tena kwa malipo ya...
Ukifuatilia familia nyingi ambazo zina utengano mara nyingi utakuta baba ndio katikati ya migogoro. Watu wengi sana huwa wanatengana na baba zao kabisa ila ni nadra kutokea hivyo kwa mama zao hata kama wanatofautiana huwa ni kwa kipindi kifupi tu kisha mahusiano yanarejea ila upande wa baba ni...
Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?
Tuangalie the power of Patnership Katika online business
Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa unaweza kutumia Bwawa kama Battery), kwahio nikichukulia mfano wa kama watu wanaweza kunywa maji Pipa moja...
Kwa manew comers wabongo wapya wapambanaji.
Kazi rahisi kupata nchini Marekani mara nyingi ni kazi za kuingizio (entry-level) ambazo hazihitaji ujuzi maalum au uzoefu mrefu. Hapa ni baadhi ya kazi rahisi kupata:
1. Mhudumu wa Meza (Waiter/Waitress): Kazi ya kuhudumia wateja kwenye migahawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.