Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,328
- 4,281
Huwa kuna stori nyingi ambazo sio halisia au tuseme wanaosimulia wanaongeza chumvi nyingi lakini inapokuja kwenye uhalisia mambo yanakuwa tofauti kwa muhusika.
Embu tukumbushane wakuu tuliyopitia kwenye biashara na kilimo katika harakati za kujikwamua kiuchumi.
Kuna wale waliambiwa ukilima matikiti na mananasi Bagamoyo na Kibaha watakuwa matajiri haraka.
Vipi kwa wale waliambiwa wakienda Kariakoo kufanya biashara watatajirika haraka.
Hii itatusaidia kupima au kufanya uchunguzi hata baada ya kusimuliwa na hasa hawa motivational speakers.