Juzi, nilipita sehemu. Nilikuta watu wazima tena wanaojiita wenye akili na busara wakishindana kumpaka kiti moto lipstick nikashangaa.
SIkkujua akili, busara na maana yake ni nini. Nilijiuliza. Kwanini wasimtafunilie mbali badala ya kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa. Nilijiuliza. Je, hii ni...