ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

    Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza, Dola ya Kirumi Dola ya Kimarekani Vyombo vya dola Kushika dola Kingereza cha "dola" ni nini?
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Je, wajua asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili yake

    JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi. Kizimkazi jina linamanisha katika kujenga Msikiti walikuwepo Kiongozi wao alikuwa ni mtu anajitahdi kwa kazi wale wenyeji pale waka...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

    Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza...
  4. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Merit Scholarship ni nini?

    Hello JF members, Nimefanikiwa kuchaguliwa na moja ya vyuo vikubwa hapa nchini kujiunga na mwaka wa masomo 2024/2025 ngazi ya Cheti. Sasa kwenye account yangu ya maombi katika chuo hicho nimewekewa na option ya "merit scholarship" nikiaswa kuomba. Sasa nimefika hapa mbele yenu kwa wajuvi wa...
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Utani wa Simba na Yanga pembeni, bus la SIMBA kuingia kinyume nyume leo kwenye mechi ya kirafiki ilikua ni nini?

    Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hiki ni nini wana Yanga ?

    Hii ni kanuni ipi ?
  7. Tempest

    JamiiForums Tanzania Presha kwa Mjamzito na sababu yake huwa ni nini

    Habari Kuna jirani yetu mtaani hii mara ya 3 kila ikifika wiki 1 kabla ya kujifungua anapata presha kubwa kiasi cha kwamba inabidi mtoto atolewe kwa upasuaji na mara zote mtoto ana survive siku 1 tu kisha anafariki Mwaka huu walienda hospital kubwa kidogo kufanyiwa monitoring lakini issue...
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Sare za mahafali elimu ya juu, kofia na gauni jeusi, kurusha juu kofia siku ya mahafali,( tossing graduation hats) asili yake ni nini?

    Habari za Leo wanaJF. Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie platform hii kuwajuza. Karibuni sana
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini hasa CHADEMA?

    kulikoni hasa, hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake, basi haupiti muda mrefu, lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ? kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nisijifanye najua naomba kuziza, Kizimkazi ni nini??

    Wakuu kila nikiangalia runinga naskia kizimkazi kumenoga ni nini hicho ?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection?

    Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection? Ili kuelewa maana ya Infection na kwanini mara kwa mara unaambiwa una Infection ukienda hospitali, ni muhimu kwanza kufahamu japo kidogo jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi huu ni umaskini au ni nini, mbona sielewi?

    Kujazana kiasi hiki kunaonyesha hawa wahindi ni masikini au ndo nini? Maana kwa kujazana huku, hiyo Train lazima iende mwendo wa kinyonga kwa usalama wa abiria! Sasa maana halisi ya kupanda chombo cha moto ni nini? Je wana haraka gani mpaka kuhatarisha maisha kiasi hiki? Ebu niambie!
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Bachelor ukirudi ghetto ni nini kinakupa Company?

    Ambao hamjaooa huwa mnafanya nini kuondoa upweke uwapo ghetto? Tiririka tupate maujuzi nasisi.... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni nini kitatokea?

  15. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga timu mnayo kweli lakini kwanini mnaingiza mabasi uwanjani bila wachezaji na mnapitia milango isiyo rasmi, shida ni nini?

    Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani. Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa. Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
  16. Said kinyombe

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya certified true copy

    Kwa mara nyingine tena ni mimi na mambo ya Ajira portal msinichoke. Wakuu ivi certified true copy ukiachana na kiwe na muhuri wa wakili, je inaweza kuwa hata black and white au ni lazima iwe colored. Ni mimi kijana wenu nawasilisha
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amtahadharisha Rais Samia, amtaka aache mambo ya ajabu baada ya Polisi kuzuia vijana wa BAVICHA

    Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya mapolisi yalimshinda Magufuli, & wewe yatakushinda. Fungua barabara vijana waende Mbeya! Kwa vijana...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Yanga Sports tatizo ni nini mpaka sasa?

    🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu? Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi. Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba. Na Walianza kuuza...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Upi utofauti wa hawa mamba wawili?

  20. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa yanga humu jf hawajui utani wa jadi ni nini wanaomba nipigwe ban na wanatukana

    Habari ndugu zangu Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora usicomment
Back
Top Bottom