ni kwanini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

    Mkoa ulikuwa na Airport ikafa Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa Ni mkoa ambao hauna hata stendi Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa Lawama hawawezi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  3. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wamiliki wa lodge na hotels ni wagumu sana kufanya marekebisho ya biashara zao?

    Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana. Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila vitanda na shower zake zilikuwa zishachoka. Nilirudi tena mwaka 2025 na nikakuta shower na vitanda...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Padre aliyeongoza misa kumuaga Jenista Muhagama asikitika 'nilijiuliza ni kwanini kifo chake kitokee wakati huu?'

    Akizungumza wakati wa Misa Takatifu ya kuuaga mwili wa marehemu Jenista Mhagama, Padre Emmanuel Mtambo, Baba Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledóchowska, Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma, leo Desemba 13, 2025, amesema alipokea taarifa za kifo hicho kwa huzuni kubwa...
  5. Trainee

    JamiiForums Tanzania Tangu internet izuiwe, baada ya kuruhusiwa mitandao inatupiga balaa sijui ni kwanini?

    Siku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza)...
  6. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Viongozi ambao inasemekana sio wazawa, ndo wameonesha wana uchungu na NCHI hii kuliko hawa wazawa?

    Wakuu, Amani iwe NANYI. Nimetafakari kwa kina, Sijapata majibu. Kwa nini hawa viongozi wanao semwa sio wazawa hivyo wapishe nafasi zao, Utendaji kazi wao ulionekana hauna mawaa, Hawana skendo za ufisadi, Matumizi mabaya ya madaraka nk. Ni viongozi ambao wamekua wakikubakika katika jamii hata...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu Nchemba, jitokeze utuambie ni kwanini Tanzania imerudishwa kwenye kundi la nchi zenye uchumi duni?

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC). Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji...
  8. Wagumu Tunadumu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini UKIMWI una nyota ya kupata hela?

    UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene ukiifatilia vizuri unagundua tayari imeshawaka Naanza kuamini ukimwi utakuwa na nyota ya hela
  9. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu ni kwanini aliitwa Ice Cube?

    Akiwa Mdogo na Kaka yake, walikuwa Ndani huku wakicheza mchezo wa tiali bado. Ilipofika zamu yake kujificha, O’shea Jackson alifungua Friza na kudumbukia ndani kwa malengo ya kujificha. Kaka yake alimtafuta na kumkosa na kisha akaamua kutoka zake Nje na kwenda kujiunga na watoto wengine ba...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

    Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja. Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, watanzania wale wanojiandaa kupiga kura ni wale ambao hawana cha kupoteza? Na ni kwanini wafanye hivyo?

    Kesho ni tarehe 1 Oktoba 2025 siku ya kwanza ya mwezi wa uchaguzi, mwezi muhimu na wenye kubeba mstakabali wa siasa za Tanzania. Mie nina suali kwa watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kudandia magari ya kukodi na kwenda kushabikia mikutano ya kampeni ya CCM na baada ya hapo kurudi majumbani...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tunaagiza kuku kutoka Brazil wakati ardhi tunayo?

    Ghana is setting its sights on becoming the largest chicken producer in Africa within the next three years. Local farmers will be supported with day-old chicks, affordable feed, and modern processing facilities to scale up production nationwide. The goal is to drastically reduce reliance on...
  13. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

    Salam bandugu Je umeshakutana na hii? Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela, au ile, una 2000 hapo ya...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Jinbril halikumwamini Mtume aliposema hajui Kusoma na kuendelea Kumkaba Nusura ya Kumuua?

    Ni kwanini Jinbril halikumwamini Mtume aliposema hajui Kusoma na kuendelea Kumkaba Nusura ya Kumwua? Natafakari sana jambo hili sipati majibu. Hili Jin Bril kwa nini halikuwa linamwamini mtume aliposema hajui kusoma wala kuandika? Why? Angekuwa ni malaika Gabriel angejua tu kuwa huyu jamaa...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

    Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanin wapinzani dhaifu kiuchumi hususani Chadema masalia wanaumizwa sana na hali ya CCM kua na wanachama matajiri wa hoja, mali na fedha?

    Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu? My friends, ladies and gentleman, Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
  17. A glass of water

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini ipo hivi, yaani unakuta hii inajulikana kabisa kwamba ipo hivi alafu inakua vile au mawazo yangu ni tofauti sana?

    Kipindi kile nilipenda sana somo la geographia, yaani baada ya kujua kusoma bwinde uko kijijini basi mwalimu yule aliefundisha somo la maarifa ya jamii hakika alinivutia sana. Yule mwamba alikua na story nyingi sana katika kusoma. Mara Dunia ina mabara saba, mara mto mrefu kuliko yote Dunian...
  18. mangikule

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua ni kwanini Samia anasisitiza awamu nyingine kwa tofauti na wenzake?

    Wadau Ninaomba tujadiliane hapa! Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili! Tumejifunza hata kama Magu asingefariki kiutamaduni wa Chama huyu hakutakiwa kurudi kugombea! Tulianza...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Vilabu vingi vya Tanzania vinapenda sana Kuchukua Makocha wa kujirudia rudia hasa walipoita Yanga na Simba?

    Sasa nyie Majirani zangu KMC FC huyo Kocha mnayemtambulisha leo hii Marcio Maximo ana jipya gani hasa la Kimpira?
  20. Blood of Jesus

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini hawezi kufanikiwa?

    Rejea swali hilo hapo juu. Ninaongea haya nikitokea katika utumishi wa Mungu. Tunzeni hili mtakuja kulithibitisha soon. Ni kwanini hata angetumia mbinu na njia gani kamwe hatofanikiwa? 1. Kukosa kibali(kwa Mungu na kwa wanadamu) Hana kibali ndio maana ametumia na anatumia nguvu nyingi sana...
Back
Top Bottom