nguvu

  1. M

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Girlfriend/ Fiancee; Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake Hatari kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana vitombi au...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Girlfriend Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana walaini kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ujue ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Kuna matatizo mengi ya tendo la ndoa ambayo yanaathiri wanawake kwa wanaume. Kwa wanaume inawezekana ikawa ni kukosa hamu ya tendo, upungufu wa nguvu za kiume au kuwahi kufika kileleni. Leo nataka kuzungumzia ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume matatizo mengine nitazungumza katika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Papa aliweza kuwapatanisha Salva Kill na Riek Machar. Je, ana nguvu kuliko Jumuiya za Kimataifa?

    Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa...
  5. JamiiForums Tanzania Wakoloni walitutawala kwa kutumia akili zao na nguvu zetu, jambo ambalo limetushinda ni kutumia nguvu na akili zetu

    Wajerumani walianzisha miradi mikubwa mfano mashamba ya mkonge na viwanda vya katani pia ukuleles bandarini kwa kutumia pesa ya serikali. Walianzisha kodi ya kichwa, hivyo kila raia mwenye umri wa miaka 18 -50 ilimpasa kufanya kazi ili alipe kodi. Waliweka bidhaa madukani wakiwa na uhakika wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar wana masaibu mengi yanayopelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Tusiwacheke..
  7. JamiiForums Tanzania Pesa 8 zenye nguvu Afrika

    Nguvu ya pesa hutambulika kwa vitu vingi ikiwemo upatikanaji na uzalishaji wake ( supply and demand ), nguvu za soko ndani ya nchi, mfumko wa bei na soko la ubadilishwaji pesa. Dola ya marekani huchukuliwa kuwa pesa yenye nguvu zaidi duniani hivyo katika upimaji wa pesa nyingine, tunaitumia...
  8. JamiiForums Tanzania CCM wenzangu: Ni kitu gani kinachotushinda kufanya siasa za kisayansi na za kisasa zaidi? Mbona tunafanya siasa za ki polisi polisi zaidi?

    Hili swali naelekeza kwa wana CCM wenzangu? CCM ina hazina kubwa sana ya watu wenye upeo mkubwa sana. Ina wasomi wazuri sana kwa kila nyanja. Sasa, najiuliza. Nini kinatushinda katika kufanya siasa za kisasa zaidi badala ya siasa za ki polisi polisi? Hawa wapinzani mbona wepesi sana, wala...
  9. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumsaidia shemejio dawa za kuongeza nguvu za kiume?

    Kama kichwa kinavyoeleza. Nazungumzia Shemeji wa kiume au baba yako wa kambo aliyemuoa mama yako mzazi. Au mshikaji wako anayetoka na dada yako ukamsaidia viagra au vumbi la congo. Na wewe una dawa ya ukweli ya nguvu za kiume na unajua mtu akipiga hiyo dawa mwanamke ataona cha moto. Je...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Winston Churchill alivyoweza kutumia nguvu ya utulivu kuwa na ufanisi na uzalishaji mkubwa kuliko mtu yeyote yule

    Kwenye juma la 47 la mwaka 2019 tumejifunza kutoka kwenye kitabu kinachoitwa STILLNESS IS THE KEY kilichoandikwa na Ryan Holiday. Kupitia kitabu hicho mwandishi ametuonesha jinsi ambavyo nguvu ya utulivu inaweza kutusaidia kuwa na maisha bora sana. Ametupa mbinu za kuweza kujijengea utulivu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo nguvu kubwa iliyopo ndani yako ambayo ukiijua na kuanza kuitumia utakuwa na maisha bora sana

    “Matatizo yote ya binadamu chanzo chake ni mtu kushindwa kukaa peke yake kwenye chumba bila ya kuwa na kitu cha kufanya.” Hii ni kauli ambayo ilitolewa na mwanahisabati, mwanafalsafa na mwandishi Blaise Pascal mwaka 1654. Unaweza kusema kauli hiyo ni ya zamani na haina ukweli kwenye zama...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini uganga na uchawi wake siku hizi hauna nguvu kama.ilivyo kuwa zamani.

    Kwenye kamusi yangu, neno mganga linatokana na neno "kuganga" yaani.kubahatisha..Kwa hiyo mganga NI mtu.anae bahatisha.bahatisha tu yani Hana uhakika na.kile anacho kifanya. So unapokuwa na tatizo serious halafu ukaenda kwa.mganga ili akusaidie Basi jua unapeleka shida yako kwa.mtu ambae Hana...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe nguvu ya Mhe. Lowasa ni kubwa na ndio ilikibeba CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2015

    Habari za jioni wazee wa kuwaza na kuwazua. Katika harakati za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vijana wa Mhe. Lowasa wanatamba kuwa wale wapigakura Mil. 6 wote walipelekwa na Mhe. Lowasa Chadema. Na siku aliporudi CCM alirudi nao woteee hata Rostam alidiriki kusema Magufuli aachwe achape kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Ndugu zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu. Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za kiume. Kwa kweli ni tatizo lililonisumbua kwa muda mrefu. Sikuwa naweza hata kusimamisha kwa dakika...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyesema Waziri Ummy kafungua duka la dawa za nguvu za kiume akamatwa

    Serikali imewataka wananchi kuepuka matumizi ya dawa zinazotangazwa kupitia mitandao ya kijamii kwa kuwa hazijadhibitishwa ubora wake na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA). Akizungumza Jijini Dodoma mara baada ya kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Waziri wa...
  16. JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa na nguvu za kiume

    Basi bwana kama unataka kurudia nguvu zako kama barobaro wa miaka 20 na kidogo chukua hii mayai 7 ya kuku wa kienyeji plus habbat sauwda ya unga vijiko 7 vya chakula UTAKULA huu mchanganyiko mpaka uishe Utakuja kunishukuru baadae.... Ukifanya hivi mkeo atakuuliza mme wangu umezaliwa upya nini
  17. JamiiForums Tanzania Edward Sokoine na Sheria ya Nguvu Kazi

    Habari zenu, Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni. Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…