Edward Sokoine na Sheria ya Nguvu Kazi

Habari zenu,
Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni.
Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
Nenda Radio Tanzania utaipata,(TBC)
Ila jiandae kujibu maswali mhimu,unaitaka ya nini?Wewe ni nani or ushughulika na nini ,nk
 
Ninakumbuka Waarabu wenye maduka huku kwetu wote walipewa mashamba. Asubuhi walimu kwanza madukavwafungue saa nne.
 
Mimi nataka ile aliyogomea chakula cha mchana pale Dodoma kwasababu wanafunzi (wakina Marando) walimsubiri kwenye maandamano siku nzima bila kula akaamuru wapewe chakula chake na kuwaonya viongozi kutowanyanyasa wanafunzi, kisha akasepa.

MSIMAMO 100%
 
Back
Top Bottom