Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

mudushi

Senior Member
Oct 19, 2010
151
84
Recovery - Nguvu za Kiume.jpg

Ndugu zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu.

Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za kiume. Kwa kweli ni tatizo lililonisumbua kwa muda mrefu. Sikuwa naweza hata kusimamisha kwa dakika. Kabla ya kuja jamvini nilikuwa nimetembea kwa waganga wengi mnoooo. Nilikula dawa zao za kutosha. Nilienda Mwanza, Arusha, Mbeya, Kenya, DSM, Dom na kwingine kwengi tu. Sikupata hata nafuu kidogo. Nilipokuja humu jamvini nilipata ushauri na hata waganga wengine walinialika nitumie dawa zao kwa kunihakikishia kuwa ni tiba sahihi kwa 100%. Sitawataja kwa sababu ya maadili na kwa kuwa wako kazini na kwa kuwa nimekujatoa ushuhuda. Ukweli ni kuwa nimenunua hizi dawa za hawa waganga nyingine kwa Tshs, USD, rand n.k na nilizitumia kwa uaminifu mkuwa kabisa. Tofauti na nilivofikiri kwa kweli ckupata nafuu hata kidogo.

Kuna jamaa mmoja alinitonya kuwa nenda hispital umwone Dr wa hiyo issue yako. Niliamua kwenda MNH ingawa kwa aibu kubwa mnooo. Wakati najieleza Dr alikatisha maelezo yangu akaniuliza km nna sukari, pumu, k/kikuu nk. Nikamwambia hapana, tatizo langu ni hili hapa. Akaniambia kapime hivi haafu ulete majibu, ckujua ninini. Nilienda kwa vipimo nikachukuliwa damu baada ya muda nikapewa majibu na nikauliza walipima nn. Mtaalamu wa vipimo akaniambia alipima hormones mwilini bac nikarudi kwa dr. Dr baada ya kupitia majibu akaniambia hormones za kiume (testosterone) zimeshuka. Nikamwambia sasa? Akajibu zipandishe. Akaniandikia dawa za miezi mitatu. Kwa kweli nilitumia dawa kuanzia mwezi August 2012 na kufikia september mambo yalianza kubadilika kabisa na mpaka sasa natoa ushuhuda mm ni mwingine kabisa. Sasa nazingatia mlo na mazoezi (gym).

Ushauri wangu kwa wengi wenye hii issue ni kuwa nendeni hospital mkajue ni nni hasa tatizo ndo muanze tiba. Najua Waganga wa humu JF hamtaipenda hii lakini tukubali ukweli, ili watu wasipoteze muda na pesa nyingi km mm nilivofanya.

Mudushi

SHUHUDA ZA WADAU WENGINE WALIOFANIKIWA KUPONA TATIZO HILI
NILIACHA KUJICHUA, NIKABADILI LISHE NA NIKAZINGATIA MAZOEZI. NILIACHA SEX KWA WIKI 3
Habar ndugu zangu shkamooni wakubwa kiukweli mm. Nilikua mmoja kati ya wanachama wa (CHAPUTA) nilishiriki tangia 2010 kipindi nipo form 4 na kueza kuacha rasmi mwezi wa 6 mwishon mwaka huu 2018

Kiukweli nilikua mtumwa kwa kipindi. Chote nilifika kipindi hata Mara 3 kwa siku nafanya nilikua memba wa porn sex zote na ukizingatia wanawake nilikua nao ila nilikua sina hata ham nao na nikimis sex ni lazima nianze puunyeto wakat dem yupo njian ata nikianza nao mm nakua natafuta bao LA pili na mechi wanaisoma

Niliendelea na huu mchezo hadi nilipoamua kusema nauacha hapo sijaona madhara yoyote zaid ya mwili kuchoma kuumwa kichwa mgongo ila hata hivo nilishindwa nikarudia kwasababu ugonjwa huu kwangu sikuweza kupisha nikikaa camp akipita mdada anavutia mm nyeto Instagram gigy kakaa uchi nyeto

Kiufup utumwa huu uliniathir mno nikaamua kuacha tena kwa Mara ya 2 hata week sijafika nikioga sitok nikill mafuta hata mate tu mm najirizisha

Sasa imefik kipindi nimeamua kua na mchumba adi nimeposa na nikaacha wanwake wote still nyeto sikuacha

Sasa hapo nikawa nishaanza kuona athari maana nikionana na mchumba wangu nafika kileleni sekunde tu na siwez simamisha tena na ikisimama ndan ya uke husinyaa aibu ilioje kwa Mara ya kwanza nikasingizia nimechoka Mara nyengine Yale Yale kwaio nikatunga uongo wa kudumu kua naumwa na manyama kwaio akaamini kwasababu magonjwa ya manyam yanajulikana kua misuli ikikaza huwez kusimamisha wachezaj mpira wanayajua hali hii ndo ikasababisha niache puunyeto kwakuogopa aibu na ukiZingatia naingia kwenye ndoa soon

Nikaamua kuacha huu ujinga nikaanza kutafuta Tiba mitandaoni maana ni ngumu kumhadisia MTU ndio nikaona post nyingi zinazohusu nguvu za kiume zinatoka humu jf nikaamua kujiunga na kusoma tiba ata ukiangalia lini nimejiunga utaona kama mwezi

Nilipata madoctor wengi wa maela mengi nikajarib kuongea nao ata punguzo ila ikawa ngumu basi nikaona nifate maelekezo ya baadhi ya page kula matunda mbogamboga na kufanya mazoez ya viungo bila kusahau mazoez ya kengel Yale yakubana mkojo

Huwez amin nikaanza kijiskia tofaut na nilistope sex kama week 3 nafanya mazoez na nilimueleza mchumba wangu kua nafanya mazoez ya manyama. So kaelewa nimeliza juzi baada yakujiona tofaut nikasema. Nisex

Aaaah mungu mkubwa sasa kazi imekua kubwa kwa mchumba haelew zaid ya kusema baby umepona

Saiv ni zaid ya mwanzo nasimamisha bila ya kuchoka uume umerefuka na una nguvu tele nachelewa kukojoa na nainjoy

Jamani puunyeto ni mbaya tuache wanaoendeleza na waloathirika njoo inbox nikupe formula ya matunda na mazoezi no bureeeee asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
NILITUMIA MATIBABU HAYA. SASA NIPO VIZURI

Habarini wana JF wote natumaini muwazima nisiwe nastori nyingi niende mojakwamoja kwenye mada

Naomba kama ulikua muathirika wa Nguvu zakiume kutokana na Punyeto au maradhi yoyote naukapona naomba uweke mrejesho wadawa uliotumia ukapona tatizo hilo

Nikianza na mimi, nilikua mpiga puchu mzuri ila nilikua Niki mix napapuch kwamwenzi Mara mbili

Matibabu yalionisaidia

1)Mbegu za maboga (punje 10×2)
2) Ungawasoya (asubuhi na jioni kijiko kimoja kila nikinywa chai au uji)
3) Matikiti maji nakula pamoja na mbegu zake wiki ×4
4 Mazoezi ya kegel (asubuhi na jioni)

5) Maji Lita Moja kila siku
6)Asali ya nyuki wadogo nachanganya navitunguu maji vilivyo kanguliwa kila siku jioni nakula kijiko kimoja na asubuhi

+++NAKARIBISHA WENGINE WATOE USHUHUDA LENGO KUOKOA NDOA ZAWATU++
PIA SOMA
NILIGUNDUA TIBA NI KUJIAMINI

Naomba nianze kwa kujitambulisha,

Mimi ni kijana mwenye umri zaidi ya miaka 30, fani yangu ni Udaktari. Nimetanguliza hayo ili mnielewe vizuri nitakachoelezea hapa maana ni kitu kilichonisumbua na kukifatilia kwa mda mrefu sana, nitajitahidi kuelezea kwa kifupi kadri niwezavyo.

Kama kawaida, vijana wengi tunazama kwenye ule mchezo wetu pendwa, (CHAPUTA). Nami nilikuwa muathiriwa tangu nilivyoanza kidato cha kwanza. Pia nilikuwa muoga sana kwa wanawake (domo zege) hili ilinisababishia kuwatamani na kumalizia haja zangu bafuni. Mwanamke wa kwanza kukutana naye nilikuwa Chuo, mwaka wa tatu na nilimaliza kabla ya kuingiza.

Sasa hapo ndipo nilipojigundua nina tatzo kubwa hivyo nahitaji msaada, na kwa vile nilikuwa kwenye fani husika nilijitahidi sana kutafuta nondo zinazohusu matatizo hayo. Kwa kufatilia kwangu kipindi hicho na sasa, niligundua mambo mengi sana yanayohusiana na nguvu za kiume, kuna sababu nyingi zinasababisha tatizo hili hivyo mtu kabla hujaanza kutafuta dawa kwanza tafuta sababu, ukishaijua ndipo uifanyie kazi.

Nikipata muda nitaelezea sababu zote hapa ili kila mwenye tatizo ajikague na kujipima mwenyewe maana wengi tunaogopa kwenda Hospital. Kiukweli kabisa, Punyeto haisababishi tatizo la nguvu za kiume. najua kuna watakaopinga maana hata mie nilikuwa mpingaji lakini nitatoa mifano. Unaposema kitu fulani kinaleta madhara fulani basi kila atakaefanya hakikisha anapata madhara hayo.

Kwa mfano unaposema ukijikata na kisu unatoka damu, hapo kila mtu akijikata atatoka damu, ukisema ukilala bila chandarau unapata malaria au mbu anasababisha malaria je ni kweli kila anaelala bila chandarua au uking'atwa na mbu unapata malaria?

Hapo tunajua sio kweli mbu hasababishi malaria hvyo tunasema, plasmodium ndiyo anasababisha malaria maana kila atakayekutwa na kijidudu hiki basi atakuwa na malaria ila sio kila aliyeng'atwa na mbu atumie dawa ya malaria. Kwa mfano huo utakuwa umenielewa.

Nami baada ya kugundua hilo nikajipa moyo, nikaanza kupambana kujua tatizo. Baada ya kuoa, (mke wangu) akawa mwanamke wa pili kukutana naye, na ilichukua wiki kufanikiwa (naye ilikuwa mara ya kwaza) ila sikukata tamaa nikaendelea kujipa moyo huku nikitoa ahadi mbali mbali kwa mke wangu.

(Jaman kumbukeni nafupisha ili story iwe fupi)

JE, SASA NIMEPONA?
Hapa ndipo paliponifanya nifungue ID mpya na kuandika hili, maana kunafaida itapatikana. Baada ya kusoma sana na kujikagua ili tatizo langu linasababishwa na nini nikagundua kuna aina mbili za Homoni zikizidi katika mwili wa mwanaume anauwezekano wa kupata tatizo ili, nikajipanga kwenda kupima ila sikutaka wenzangu wajue, kila ninapopafikiria kwenda naona kama kuna watu wananijua, nitafanyaje?

Miongoni mwa sababu iliyonisukuma kupima homoni ni hapa kazini palikuwa na muhudumu alinivutia sana na alikuwa karibu sana na mimi sasa kila nikiwaza naona nitaumbuka, huyu anaweza kusimulia wenzake maana wanawake wa siku hizi hawana siri (Kumbuka mke wangu alikuwa asharizika na hali yangu kwa muda wa zaidi ya miaka mitano)

Sasa huyu binti nimwite 'Jully' Alikuwa anakuja mara kwa mara Ofisini kwangu hadi tukaomba awe muhudumu katika ofisi yangu na tukakubaliwa kwa muda. (Kabla hawajatushtukia sasa wamemuhamisha) na huyu ndio aliniponya

Ilikuwaje? Endelea...
Siku hiyo baada ya kumaliza wateja wote tukabaki wawili tu, (ilikuwa weekend, nusu siku) bila kutarajia tukajikuta tumeshakumbatiana na kupakatana yaani hadi kulambana huku nikiwa na hofu ya hali ya juu, ghafla nikamwona mtoto anataka kuvua nguo, ikabidi nimzuie kwa kisingizio nilikuwa sijala tangu asubuhi hivyo sitaweza kitu, kwa bahati nzuri naye akanielewa, tukaanza kupanga sehemu ya kukutana.

Yaani siku hiyo nilikuwa na wasiwasi kutwa, sijui hata nile nini cha kuweza kunisaidia, natamani muda usifike, Ghafla napigiwa simu, mimi ndio naenda, mara nishafika yaani nilichelewa zaidi ya masaa mawili nikabidi niende na lolote liwe.

Chumbani sasa...
Nilivyofika kama kawaida tukajikagua Afya zetu ukizingatia wote ni wataalamu wa afya, baada ya hapo ghafla Jully akanirukia baada ya majibu kuwa salama, kama kawaida yangu, nikapampu mara mbili au tatu tayari nishamaliza hoi kitandani nikabaki nikimwangalia atasema nini, nikawa nasubiria maswali huku nikitafuta utetezi wangu

cha ajabu nikamwona anafuraha na tabasamu huku akinambia asante nikatamani nimuulize umeridhizika nikasita, nikazidi kumkazia macho naye anazidi kunionyesha tabasamu.

Baadae tukazama kwenye stori kuhusiana na maisha na kunisimulia historia ya maisha yake tulitumia zaidi ya lisaa, akaanza kunisifia jinsi nilivyo huku akichezea kifua changu, ghafla nikahisi kitu kinanesanesa, nikaanza kushangaa na kutabasamu, akaleta mkono wake, kushika akaona kitu kimetuna, naye akatabasamu na kuja juu fasta. nayo haikuchukua muda nikacheua lakini sio kama mwanzo mara hii alinesanesa muda kidogo na alikuwa na spidi ya ajabu yaani nilijikuta tayari, (Yaani ilikuwa ndiyo mara ya kwanza narudi kufanya ndani ya muda mfupi, ilikuwa hadi nilale kwanza na muda mwingine nashindwa)

Mchezo bado unaendeleaa...
Baada ya hapo nikajiona nimeweza woga ukaisha, tukapumzika akanambia tukaoge tuondoke hapo sasa nikapata ujasiri wa kumuuliza kama ameridhika, akasema ndiyo nikamwambia mie bado nataka tena, (kumbe nilikuwa nazuga) akasema tukaoge anataka kuwahi.

Baada ya kuoga tukapumzika kitandani kama nusu saa huku tukinywa juisi na kuulizana hali ya mchezo, cha ajabu akawa ananisifia na kusema nipo vizuri, yaani nikajikuta nina furaha ya ajabu, huku anaendelea kunisifia na kunipapasa sehemu mbalimbali za mwili wangu.

Yaani sikuamini nilichokuwa najihisi jamaa alisimama ghafla naye hakuchelewesha akaweka maeneo,
Aisee asikwambie mtu yaani nilikamua, kila mkao, naye alikuwa na fujo, kazi kunibadilishia mikunjo tu, hadi tunafika mwisho namsikia akisema asante sana leo nimekojoa, na tulivyomaliza akaenda kuoga fasta nami nikamfata nyuma tulivyomaliza akavaa na kusepa!

Yaani nikawa najiuliza kimetokea nini, hata sielewi ikabidi nimwambie turudie ndani ya siku tatu akakubali. Safari hii nikawa naenda kwa kujiamini, kama kawaida la kwanza fasta, tukatulia, tukala na chakula, (Maana tulikuwa tumebeba kabisa tulipanga kulala hadi asubuhi) tukaenda kitandani imo, safari hii raundi ya pili nikamuona anavyokakamaa na kuning'ang'ania kwa nguvu mno nikajua ndiyo anakojoa na cha tatu hivyo hivyo!

Yaani hadi leo tumeng'ang'aniana maana kila mtu anakiri hajawahi fanya kama tunavyofanyana hivi. Yaani kuna siku naenda hadi raundi tano, hadi ananiomba msamaha, na cha ajabu zaidi, siku hizi hata punyeto siwezi tena, nikifanya nahisi najiumiza tu.

Maswali ninayojiuliza:
Je, huyu ndio kanitibu nguvu za kiume?

Kama kweli mbona ajawatibu hao alieanza nao wakawa kama mimi (kwa maelezo yake ninayoyamini mimi ni mwanamme watatu kwake, wa kwanza aliyezaa naye yupo naye kwa zaidi ya miaka ishirini ila hajawah kumtoa maji,
Wa pili ndiyo ajaweza chochote ye kimoja tu, na hajawahi kurudia hivyo akawa ananishangaa mie nawezaje kurudia.

Hitimisho
Usahihi ni kwamba, kwa maelezo hapo juu na ufuatiliaji nilioufanya, Punyeto haisababishi tatizo la nguvu za kiume ila mtu ukikubuhu kwenye mchezo huo kuna uwezekano ukaathirika kisaikolojia hivyo ikakuletea athari katika kufanya mapenzi na vijana wengi wanaopata shida hii itakuwa imesababishwa na sababu za kisaikolojia na wala sio nyingne

Nani wa kukutibu?
Hapa daktari mkubwa ni wewe mwenyewe na mwenza wako wote mnatakiwa kuonyesha ushirikiano, mwanamke usikate tamaa na kukimbilia kumlaumu mwenzako na wala mwanamme usikate tamaa kwa kujiona umeshindwa na wote kwa pamoja msiwe na haraka ya kutaka kurudia tendo.

Jamani nilikuwa na mengi ya kuelezea zaidi ya hayo ila mie sio mtaalam wa kuandika na naona maelezo mengi zaidi. Mwisho naomba mnishauri nimpe zawadi gani huyu binti kwa kazi nzuri aliyoifanya, Maana nishamnunulia kiwanja, nataka nimjengee nyumba kabisa

Naweka na kaushahidi kidogo
LISHE HII ILINIPA MATOKEO NDANI YA MWEZI MMOJA
Kwa miaka Mingi nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la uume kutokuwa imara wakati wa shughuli na pia kumaliza mapema. Kwa sasa tatizo hilo limeisha kabisa kwani nakaa kifuani mpaka nachoka mwenyewe na mnara unasoma nyuzi tisini.

Nimewahi kwenda hospital moja kubwa hapa mjini nikaambiwa sababu kubwa ni msongo na kutokujiamini lakini sababu ya msongo na kutokujiamini ni kutokuwa rijali.. mwanaume huwezi ukawa usimamishi ukaacha kuwa na msongo na kutokujiamini labda kama umechagua kuwa shoga....najua wanaume mnajua ujasiri wetu upo kwenye urijali mengine mbwembwe tu.

Watu wengi wanatoa sababu ya tatizo hili ni punyeto na sababu nyingine nyingi za kutunga ila sababu kubwa niligundua ni kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye mwili unaosababisha damu kutokufika kwenye uume vizuri.

Nini hasa nimefanya na matokeo yake ni yapi. Nimeanza kutumika asali ya nyuki wakubwa kama dozi asubuhi mchana na jioni pamoja nakula matunda sana sana tikiti maji kila jioni. Kwa hakika nimepata matokeo ndani ya mwezi mmoja.

Kwani kwa sasa nasimamisha vizuri...zile style nilizokuwa nashindwa kufanya KamA Chuma mboga kwa sasa nazimudu na furaha ndani ya maisha yangu imekuja kama mnavyojua ujasiri wa mwanaume upo kwenye urijali wake.

Mbali na hayo nimepunguza ulaji wa vyakula ambavyo ni vya wanga kama mnavyojua msosi unaopatikana kwa wingi bongo asubuhi ni mkate/ chapati/ mihogo/ supu za nyama mchana/ jioni ugali/ wali/ ndizi/ chipsi.

Ratiba yangu ya msosi ni kama ifuatavyo
Asubuhi maziwa +karanga/yai kienyeji la kuchemsha/ mchana/jioni wali/dona/njegere/maharage/maini/samaki/kisamvvu bila kusahau jioni lazima nishushie glass ya maziwa. Milo yote lazima nianze kwa kula asali kidogo ndo niendelea na mlo.

Note hapa sijaanza kufanya mazoezi Kwani mazoezi yana sehemu yake pia kwenye kujenga mwili.

Sehemu ninayoendelea kuboresha ni kuweka tangawizi kwenye maziwa plus kula vitunguu saumu kwani vyote vinasaidia mzunguko wa damu.

Wewe ni unavyokula...badili namna yako ya kula uweze kupona au kuimarika uwezo wako wa kusimamia shoo.

Kitu madaktari wamejisahau kuwashahuri watu wengi ni namna bora ya kula ili kuwa na mzunguko mzuri wa damu.

Bila kusahau matumizi ya kila siku ya asali+kitunguu saumu+tangawizi+karanga+korosho yanaweza kukuponya/kupunguza athari za magonjwa kama sukari presha shinikizo la damu na mengine mengi.

Matumizi ya wanga + na nyama kwa wingi ni hatari sana kwa afya yako.
Note. Mimi sio daktari ila maarifa yanatafutwa kwa kuamua kujifunza kutoma vyanzo tofauti.
NILIPONA KWA DAWA ZA ASILI

Habari ya sahizi wakuu, poleni na mapambano dhidi ya ugonjwa hatari unaozidi kuleta hofu nchini na duniani.

Katika harakati za maisha tunakumbana na changamoto nyingi hususani sisi wanaume. Japo changamoto zinatofautiana lakini kila mtu amekua na namma ambavyo ameweza kuziepuka.

Hapa nazungumzia changamoto tulizowahi kukutana nazo hasa katika swala la sex, hii imekua changamoto kubwa ambayo wanaume wengi huwa inatupaga stress sana hasa inapotokea kupiga shoo mbovu.

Hali hii hupelekea mabaharia wengi kupata stress na hata kujikuta kuanza kutafuta nani ni mchawi

Binafsi iliwahi kunitokea zaidi ya mara tatu kwa nyakati tofauti kupiga shoo mbovu na kuambulia maneno ya dharau. Aisee nilifedheheka sana hivyo ikanibidi nianze kuhangaika huku na huko nikitafuta suluhu maana nilijua kutakua na shida mahali.

Basi bwana katika kuhangaika nikakutanaga na mzee flani kiumri sio mzee ila age ilikua imeenda nikamuelezea akacheka sana akasema basii.

Akanipa mavumba fulani akanambia nichanganye na uji ninywe aisee ndo ikawa mwisho wa dharau kwakwel.

Je, wewe ulivyokutwa na shida kama hiyo (kushindwa kuhimili tendo la sex) ulichukua hatua gani au uliamua kuachana na hizo mambo na kufanya shughuli zingine.

Tuambizane ili wengine wainuke usingizini.
 
Mkuu,

Hilo ni janga kubwa especially for men of 35 yrs and above ila wengi hawawezi kuconfess ukweli wanabaki wanajitutumua mara Konyagi mara mihogo mibichi basi tu ilimradi.

Kwa msaada wa wale wenye aibu ya kuku PM ungewaambia hizo testorene energizer ulizotumia zinaitwaje watu wanusuru ndoa.
 
Mkuu
hilo ni janga kubwa especially for men of 35 yrs and above ila wengi hawawezi kuconfess ukweli wanabaki wanajitutumua mara konyagi mara mihogo mibichi basi tu ilimradi...

Inkoskaz,

Mimi ushauri wangu ni kuwa watu waende hospital wazungumze na MaDr. Then maDr watawaeleza nini cha kufanya labda wakapime au hata ushauri. MaDr ndo watawaandikia dawa. Hapana Inkoskaz cwezi kukuambia utumie dawa gani, siuzi dawa, Dr atakuambia.

Hospital ni nyingi nenda hospital za rufaa km uko mkoani. Ila mimi nilienda Muhimbili.

Mudushi
 
I had the same problem 2 years ago! Testosterone level was low! Daktari anayetibu tatizo hili anaitwa endocrinologist! Anakuwa ni mtaalamu aliyesomea mfumo wa homoni, sababu za kushuka kwa hizi homoni ni nyingi Kama poor diet, ulevi na kadhalika.

Sokwe,

Vipi baada ya matibabu kuna chochote? Je na wewe ulisumbuka km mm? Kikombe cha Babu ulikunywa?

mudushi
 
Wewe mudushi; Hili tatizo lako ulifikisha hata kwa MziziMkavu;???? Na tiba yake haukupata kusikia?

Kama umepata tiba tumshukuru MUNGU!
Mkuu LiverpoolFC Atafikaje kwangu huyu mudushi wakati alikuwa na matatizo ya (hormones mwilini) yeye akawa anakwenda kwa waganga kujitibu nguvu za kiume?.@mudushi Wanaokuja kwangu wanakuwa

wamesha kwenda mpaka hospitali kuangalia na inakuwa huko Hospitali imeshindikana ndio

wanakuja kwangu mimi mtu akini P.M. Au kunitumia Barua ya Email jambo la kwangu huwa namrudisha

Hospitali aende kuangalia je Anayo matatizo mwilini mwake?akisha rudi hospitali na kumuangalia kuwa hana

matatizo ndio mimi huwa ninamtibu Matatizo ya Ukosefu wa nguvu za kiume.

Mambo yanayochangia upungufu wa nguvu za kiume.


Msongo wa mawazo:
Ni dhahiri kuwa akili na tendo la ngono vinategemeana sana. Inajitokeza mara nyingi sana kwa watu wenye matatizo katika biashara, kazini na sehemu nyingine hujikuta hawako katika hali ya kuwa na hamu ya tendo la ndoa mpaka pale watakapotulia. Hii inaweza kuwapata watu wa rika zote na tatizo hili linaweza kuisha haraka kutegemeana na shughuli zao zinavyorudi katika hali ya kawaida

Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu
. Mzunguko wa damu mwilini una maana sana kwani kama damu haizunguki vizuri itachangia uume kutosimama vizuri kwa sababu usimamaji hutegemea kiasi na kasi ya damu inayoingia kwenye mishipa ya sehemu hiyo. Dawa zinazotumika kutibu shinikizo la damu huchangia pia kupungua kwa nguvu za kiume.

Unywaji pombe kupita kiasi:
Pombe inaweza kuathiri mishipa ya damu na mishipa ya fahamu kwa wakati mmoja. Wakati mwingine mtu akilewa sana huathiri ubongo na kukata mawasiliano kisaikologia na hivyo kushindwa kuwa katika hali ya kuwa na hamu ya ngono na hivyo kutosimamisha.

Unene.
Unene huwa unaambatana na mafuta mengi mwilini. Mafuta hayo wakati mwengine huzidi kwenye kuta za ndani za mishipa ya damu na hivyo kupunguza ukubwa wa mrija kiasi kwamba damu inipita kidogo na kwa shida. Hii huchangia kupungua kwa nguvu za kiume kwa sababu kiasi cha damu kinachotakiwa kisimamisha uume kitakuwa kidogo sana. Wakati mwingi uume unaweza kusimama kidogo na kulala kabla shughuli haijakamilika.

Kutokufanya mazoezi:
Tusipofanya mazoiezi pia mzonguko wa damu kutokuwa mzuri na hivyo kutoparuhusu damu ya kutosha kusimamisha uume. Kwa watu wanaotembelea magari na shughuli za kukuaa maofisini mda mrefu na hasa kama hawafanyi mazoezi asubuhi au jioni wako kwenye hatari zaidi kuliko watu wanotembea kwa miguu mwendo mrefu na kufanya kazi ngumu za kuuchosha mwili.

Matatizo ya kisukari:
Kisukari ni ugonjwa unaoathiri mishipa ya fahamu na kufanya mishipa ya damu kutofanya kazi yake viuri ili kuruhusu damu kujaa kwenye uume. Hii himfanya mgonjwa wa kisukari kushindwa kusimamisha hata kama ana hamu ya kufaya tendo hilo.

Umri:
Inaelezwa kuwa kadri umri unavyopanda ndio uwezo wa nguvu za kiume utaendelea kupungua. Baadhi ya watu huanza kuona tatizo hili wanapofikia umri wa miaka 40 na kuendelea na hasa kama maisha yao hayakuwa na mazoezi ya mwili. Sababu nyingine ni kama utumiaji madawa ya kulevya, kuumia katika uti wa

mgogongo, uvutaji sigara nk. Sababu nyingi zinachangia kupungua kwa nguvu za kiume zinaepukika kwa hiyo tunashauriwa kuwasiliana na wataalamu ili kujifunza jinsi ya kujikinga au kutibu matatizo hayo.

MWENYE KUTAKA DAWA YA NGUVU ZA KIUME.

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Maalim Saad Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Ukweli ubaki kuwa ukweli tu kuwa watu wanataka tiba na tiba ipo. Sasa sitaki niingilie BIASHARA yako wala kuizungumzia ila mimi nimeeleza maumivu, uzoefu na karaha nilizopitia. sitaki niwataje waganga wa humu jf waliojitamba kuwa wanaweza kila kitu na kunilisha mivumbi ya miti.

Fikiria hii karaha bac 1. mganga mmoja wa jf alinidirect shinyanga nikafika kumbe kwa sangoma. 2. mwingine akanipeleka mbeya kufika naambiwa nipigwe ramli kwanza. hao waganga wamo humu humu na kazi yao nikusubiria matatizo ya watu. jamani tuhurumiane.

Nawasilisha.

Mkuu LiverpoolFC Atafikaje kwangu huyu mudushi wakati alikuwa na matatizo ya (hormones mwilini) yeye akawa anakwenda kwa waganga kujitibu nguvu za kiume?.@mudushi Wanaokuja kwangu wanakuwa ....
 
LiverpoolFC,

Nakubali kabisa watu wana madawa wala sibishi. Mimi nimeeleza uzoefu wangu na nimeamua kuwashirikisha wadua. Nikiandika hapa kila kitu unaweza amua kupitisha mchango ili angalua kunipa pole kwa jinsi nilivosumbuka. Nnachojua kwa ufupi hakuna dawa sijala ndugu yangu. Nnampnago wa kufanya checkup nione athari za hizi pumba za miti nilizokula.

Kha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa!!
Sasa mbona nimeongea na MziziMkavu na kasema ya kwmb haujawahi kumpa habari yako kama ulivyosema? mudushi; Watu wana madawa wewe!
 
WanaJF,

watu wengi wamekuwa wakiniPM na kuniuliza nilitumia dawa gani na ni dr gani alinitibu. Kwa ufupi ni kuwa twende hospital tujieleze kwa maDR haafu wenyewe ndo wataamua wafanye nini. waweza pewa ushauri, dawa na hata vipimo.

Mimi sina dawa yeyote ya kutibu hii issue zaidi ya kukushauri na kukuhimiza uende hospital. pia waweza enda hospital kubwa sanasana za rufaa. mm nilienda MNh. zaidi labda ntakupa contacts za personal dr wangu.

kila la heri ndugu zangu
 
Mkuu
hilo ni janga kubwa especially for men of 35 yrs and above ila wengi hawawezi kuconfess ukweli wanabaki wanajitutumua mara konyagi mara mihogo mibichi basi tu ilimradi
kwa msaada wa wale wenye aibu ya kuku pm ungewaambia hizo testorene energizer ulizotumia zinaitwaje watu wanusuru ndoa
Mkuu Inkoskaz watatumiaje hizo testorene energizer pasipo na ushauri wa Daktari?
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ubaki kuwa ukweli tu kuwa watu wanataka tiba na tiba ipo. Sasa sitaki niingilie BIASHARA yako wala kuizungumzia ila mimi nimeeleza maumivu, uzoefu na karaha nilizopitia. sitaki niwataje waganga wa humu jf waliojitamba kuwa wanaweza kila kitu na kunilisha mivumbi ya miti.
fikiria hii karaha bac 1. mganga mmoja wa jf alinidirect shinyanga nikafika kumbe kwa sangoma. 2. mwingine akanipeleka mbeya kufika naambiwa nipigwe ramli kwanza. hao waganga wamo humu humu na kazi yao nikusubiria matatizo ya watu. jamani tuhurumiane.

nawasilisha.
Mkuu mudushi Utakwendaje kupigia Ramli wakati wewe umekwenda kwa mganga ili akupe Dawa za Nguvu za kiume?Ilikuwa wewe kabla ya kwenda kwa mganga ungelikwenda hospitali ili Daktari akupime Mwili wako huenda una Ugonjwa wa Kisukari au Maradhi ya Moyo,au Mafuta Mengi Mwilini (High Cholesterol), Uvutaji Sigara, Matumizi ya Madawa ya Kulevya, Matatizo katika Uhusiano, Mawasiliano Duni na Mwenza wako, Matatizo ya Kisaikolojia, Msongo wa Mawazo, Wasiwasi (Anxiety),Unywaji

Pombe,Upungufu wa Homoni aina ya Testerone, Kuongezeka Uzito au uzito Uliopitiliza, Tabia ya Kujichua kwa Muda Mrefu Punyeto (Masturbation)
Na kadhalika hizo ndio sababu kuu za upungufu wa Nguvu za kiume ukiwa huna hayo matatizo basi waweza kwa mganga wa kienyeji akupe Dawa za nguvu za kiume Mkuu.@mudushi chanzo MziziMkavu Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Back
Top Bottom