nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Haitatokea tena kupata Chama cha upinzani chenye nguvu kama NCCR Mageuzi chini ya Lyatonga Mrema

    Nasema kweli hata kama watu wachukie na wanune. Kile kilikuwa ni chama kilichojua kila mikakati ya kisiasa. Iwe ni propaganda au ishu ya ukweli. Chama kile hakikuwa na ukabila wala ukanda, kilijaa kila kabila na wasomi kedekede.Alikuwemo Mabere Marando, Marehemu Dk Sengondo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

    Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete. Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mitandao: Kuanzia wiki inayonza kesho tunaweza kushuhudia kushuka kwa idadi ya waumini ktk nyumba za Ibada na mikusanyiko mingine ya kidini

    Hivi ndivyo navyoweza kusema/kutabiri kutokana na ukosoaji mkubwa unaoendele kufuatia hotuba ya Mheshimiwa sana aliyoitoa leo hii. Watu wanakosoa na hapo hapo wanatoa elimu(tahadhari) kwa umma wakitumia mifano hai ya yanayoendfelea katika nchi za wenzetu hivyo wanasaidia sana kuonya na kuamsha...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Mbu akitua kwenye korodani, hukufanya ujifunze kutumia akili kumwondoa kuliko kutumia nguvu!

    Ubarikiwe sana Baba Askofu Bagonza. Wewe ni dokta (PhD) wa ukweli... hakuna wa kufanana nawe kwenye tasnia yote ya kichungaji and beyond!
  5. JamiiForums Tanzania Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

    #Updates #Kutoka_Hospital Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan. Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu. Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma. Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC

    Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba Leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC
  8. JamiiForums Tanzania Jicho langu: Ni Nguvu ya umma dhidi ya Nguvu za Chama

    Poleni Sana ndugu zangu dhidi ya yote ya yaliyotokea Jana pale Kwa Hakimu Mkazi Kisutu.Niliamua kukaa kimya kusikiliza na kusubiri Nini kitajiri katika siku ile ngumu kwa wanachama wa CHADEMA na Familia ya Dr.Vicent Mashinji.hakika ilikuwa siku ngumu Sana Hadi baadhi Yao niliona wakiaga kabisa...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote ya kutumia nguvu

    Kutokana na ugumu wa maisha natafuta kazi yoyote. Kama kuna mwenye connection na miradi ya barabara, maji nk, aniunganishe nipo tayari kuchimba hata mitaro. Nipo Arusha.
  10. JamiiForums Tanzania Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

  11. JamiiForums Tanzania Taoism: Falsafa ya kale ya China inayokupa nguvu ya kufanya bila kutenda

    Sisi binadamu huwa tunapenda kutumia nguvu kwenye kila jambo, kitu ambacho hakitupi matokeo mazuri mara zote. Lakini kupitia falsafa mbalimbali, tunajifunza hekima ambayo tukiweza kuitumia, tunaweza kufanya makubwa bila ya kutumia nguvu sana. Moja ya falsafa inayoweza kutupa nguvu ya aina hii...
  12. JamiiForums Tanzania Onyo: Wanasiasa kuwa makini, ukidharauliwa hapa JF tambua kwamba umedharauliwa mitaani na dunia nzima. JF ina nguvu sana

    Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi . Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania Nguvu ya uumbaji ilishafanya kazi yake nzuri ya uumbaji, ni binadamu ndiye aliye uwanjani sasa

    Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa sana kuliko viumbe wengine wengi Duniani. Binadamu leo anaweza kuumba ayatakayo ikiwa tu atauelewa ilimwengu wa ndani unavyofanya kazi yake. Kwanza kabisa tunapaswa kujua hakuna kitu chochote alichokiumba mwanadamu ambacho hakijaanzia ndani yake. Leo...
  14. JamiiForums Tanzania Nguvu ya usumaku ya Ncha ya Kaskazini ya Dunia na utulivu wa usingizi wa Binadamu

    Dunia ina mengi yaliyogunduliwa na mengine wanaendelea kugundulika na kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia mengi zaidi yanapata majibu na ufafanuzi. Leo natamani kuliweka suala hili la utulivu wa usingizi na nguvu ya uvutani ya Dunia jambo ambalo limepewa majibu mbalimbali...
  15. JamiiForums Tanzania Iraq: Maelfu waandamana kushinikiza vikosi vya Marekani kuondolewa nchini humo

    A massive demonstration –called for by a prominent Shia cleric– has flooded the streets of the Iraq's capital Baghdad, with thousands voicing their anger at the US military presence there. Early on Friday morning, throngs of protesters – men and women, young and old – began amassing at...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

    Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais...
  17. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa TBC kutangaza dawa za kuongeza nguvu za kiume zisizothibitishwa

    Hii nimeisikia jana tu tena kwa bahati mbaya sana nikiwa kwenye gari na kwa vile kulikuwa na foleni nikaona ni vema nipate matokeo ya mechi kati ya Yanga na Kagera , nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na Tangazo la dawa za nguvu za kiume kutoka Kigogo Mbuyuni ! wanaosikiliza matangazo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Trump anaamini katika Mabavu na Vitisho na Vita dhidi ya IRAN. Ben Sanders anaamini katika Serious negotiations na IRAN anamuonya TRUMP asitumie nguvu

    Bernsanders anaamini Vita na Iran vikianza si vya kuisha Leo vitachukua miongo kadhaa anashauri kuwepo na mazungumzo imara kuleta mahusiano mema na IRAN mashariki ya kati. Trump yeye haamini katika mazungumzo anatumia Vitisho na anawaonya IRAN watakiona cha mtema kuni. Nani zaidi?
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ni ya 73 kwa Passport zenye nguvu duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Henley Index imetaja Japan kuwa na passport yenye nguvu Zaidi duniani kwa kuwa ina nchi 191 ambayo inaweza kwenda, Tanzania inaweza kwenda nchi (destinations) 70 imekuwa nafasi ya 73. Afghanstan imekuwa ya mwisho kwa kuwa na passport mbovu ambayo ina destinations 26...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

    Kikao cha Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania cha kujadili tuhuma zinazomkabili Meya wa jiji hilo, Isaya Mwita kimesimama kwa muda baada ya jina la mjumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) kusainiwa wakati hayupo ukumbini. Kikao hicho kinafanyikia ukumbi wa Karimejee jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…