Mafanikio ya mwanaume hayahitaji nguvu za kiume

Captain said

New Member
Joined
Mar 20, 2025
Posts
2
Reaction score
4
Inaweza kuwa ngumu sana kuamini na kuilewa hii kwa wanaume, ila leo tumia macho yako kusoma thread hii......

Tumezaliwa katika kizazi ambacho kilichojitenga na maadili mema ya kijamii ambapo mambo mabaya, ushetani, uongo yamegeuzwa kuwa haki na dunia huyaabudu hayo, nije kwenye point.....: mafanikio ya kijana wa kiume yanahitaji sacrifice kubwa ni sawa na kukatwa miguu miwili kwasababu maisha yametutawala kwa kiasi kikubwa na mahitaji yamekuwa mengi per person's lifestyle,

Japo tafiti zinaonyesha kuwa 65% ya rasilimali ya mwanaume hutumika kumgharamia mwanamke au mwanaume hutumia katika kumvutia mwanamke ili ainase saini yake. Na ni hasara kubwa sana kwa kijana wa kileo kwani kuna saa ambalo atakaa na kujutia upotezaji aliofanya kwasababu ya mwanamke ambae anayesubiri na kutamani kuingia kwenye (ajira ya maisha kwa mwanamke) au ndoa na mwanaume aliyefanikiwa na kuwasahau wale wengi aliowasababishia njaa, ukame, na disappointed.

"Mafanikio ya wanaume yanahitaji uwiano sahihi na matumizi ya kichwa kimoja" (WANAWAKE NI JANGA)
written by Captain
 
Japo tafiti zinaonyesha kuwa 65% ya rasilimali ya mwanaume hutumika kumgharamia mwanamke au mwanaume hutumia katika kumvutia mwanamke ili ainase saini yake.🥺🥺🥺🤔
Kuna walakini hapo
 
Back
Top Bottom