Hili ni tatizo kubwa kakini jamii haina taarifa sahihi na hawaelewi si kila kutomfikisha mwanamke kileleni ni tatizo la mwanaume, wanawake wengi wana hili tatizo ambalo halisemwi.
Punyeto yaweza kuwa sababu?
Vikoba na mikopo umiza ya kausha damu na chupi mkononi navyo huchangia kupoteza mzuka.
Na kuna wale wamewahi kufika kileleni, wanajua utamu wa juu kabisa, ila kwa sasa kila wakisex hawafiki kwa sababu mbalimbali, hawa nao wanapoteza hamu kwa vile wanaona hawafaidi tena kama zamani.
😂😂 Hii pointi ya mwisho kwakifupi ni maradhi ya kuambukizwa, yaani mtu alikuwa anafikishwa kileleni, alafu baade anakutana na mtu mwenye upungufu wa nguvu na yeye anajikuta anapata matatizo ya upungufu kwasababu ya kutoridhishwaVikoba na mikopo umiza ya kausha damu na chupi mkononi navyo huchangia kupoteza mzuka.
Na kuna wale wamewahi kufika kileleni, wanajua utamu wa juu kabisa, ila kwa sasa kila wakisex hawafiki kwa sababu mbalimbali, hawa nao wanapoteza hamu kwa vile wanaona hawafaidi tena kama zamani.
Mungu wangu🤦Punyeto Kwa Mwanamke Ni Mojawapo ya sababu kubwa sana za Mwanamke kukosa nguvu za kike