Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
Kwanza kabisa nipeni kiti nikae nifute machozi mkulima mimi! Hivi hawa madalali kwa nini wana nguvu kiasi hiki? Kwa nini wanaruhusiwa kuwepo licha ya unyonyaji wanaotufanyia wakulima? Ni huzuni sana, kilimo kimezungukwa na utapeli ambao unakaliwa kimya, wakulima tunaumia
Mkulima nahangaika...
Tanzania bora ukamatwe na Polisi sio LATRA. Kwanza hawahongeki, hawazoeleki, hawaonei wala hawana huruma.
Hata haya mambo ya Foleni wakiachiwa kazi LATRA, mambo yatanyoka.
Afisa huyo wa LATRA akikukamata, atakusalimia kisha atakuomba kukukagua.
Mfano kwa wanaobeba abiria, atakagua...
Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii
1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
Mmoja anatumia nguvu mia akili kisoda mwingine anatumia nguvu kisoda akili mia
Israel na Marekani anatumia akili kubwa na nguvu kidogo matokeo makubwa.
Mpaka sasa vifo vingi ni Iran lakini mashambulizi mengi ni Iran pia ni kama anajipiga mwenyewe hivi yaani anaua mbu kwa nyundo kubwa kidoleni...
NGUVU HIYO KUBWA YA KIROHO ILIYO NYUMA YAKE NDIYO INAYOMSUKUMA.
1)Kupenda kusimamia HAKI na UKWELI ,kiu ya kuona utawala wa HAKI na USAWA kwa misingi ya sheria na katiba.
2)Kupenda kuona masikini na wanyonge wanasaidiwa kupata HAKI zao,nimepata shuhuda za watu aliowasaidia msaada wa kisheria...
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
Nguvu iliyotumika kudhibiti Waandamanaji Oktoba 29, 2025 ilikuwa kubwa kuliko uhalisia
Katika historia ya Tanzania, suala la matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji imekuwa ni suala geni na lenye gumzo kubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi.
Jamii ya kidemokrasia, maandamano ni moja ya njia...
Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
cc
D2
C2
B2
A2
🔥 POWERFUL MESSAGE: WHAT HAPPENS WHEN YOU PRAY CONSISTENTLY AT MIDNIGHT 🔥
Beloved,
There is something about midnight.
It is not just a time on the clock — it is a spiritual gateway.
It is the crossing between yesterday and tomorrow.
It is the hour when destinies shift quietly...
Wakizungumza Jumapili Februari 22, 2026 katika ibada ya kanisa la PCEA Utawala jijini Nairobi, Viongozi wa Upinzani Kenya Wamedai kuwa serikali kupitia polisi na magenge ya vijana imekuwa ikivuruga mikutano ya kisiasa ya Upinzani, ambapo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i alihoji...
Mama Samia aliharibu baada ya kupuuzwa nguvu ya kupendwa na Watanzania. Mwaka 2021-2022 Mama Samia alikuwa anapendwa sio tu Tanzania lakini hata Duniani. Tuliona mialiko mingi sana kutoka nchi mbalimbali hii ilitokana na ukweli kwamba watu kwa ujumla wao wanapenda mtu ambaye ni wa watu mcheshi...
Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana .
Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi maisha magumu mno ila wananchi wenyewe wapo kama kuku, dk mbili mbele wameshasahau..
Sababu ya pili...
Naona hata yeye ameshajua kuwa ana wakati mgumu.
Juzi amesikiika akiongea kwa unyonge kuwa mimi nitaondoka na watakuja wengine.
Hakuna haja ya kutumia nguvu na kumpeleka Icc kama Rodrigo Durtete mumchukue taratibu msije mkatuletea matatizo mengine
Hii dhana umekuwepo kwa Watu wengi sana, wapo wanaoamini kuwa Mwanaume akifunga uzazi basi inamaanisha nguvu zake za kiume nazo zinapungua.
Wataalam wa Afya hawa hapa wanasema dhana hiyo siyo ya kweli.
Wataalam wanasema “Njia ya kufunga uzazi kwa mwanaume (Vasectomy) haithiri nguvu za kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.