nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Supu ya nguruwe

    Hivi sehemu nyingi utakuta supu Mbuzi/Ng'ombe, kuku, samaki na pweza hata wanapouza kitimoto, sijawahi kuona supu yake inauzwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafuga nguruwe na ni mchafu wa kuzaliwa

    Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio source ya shida yangu kwa sasa. Jirani yangu kahamia almost mwaka sasa, aisee huyu mbena ni shida ...
  3. JamiiForums Tanzania Kimasihara sana!. Hatimae ninafikisha nguruwe 50 ndani ya miezi 18

    Yes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa. ANGALIZO Lengo la uzi huu mbali na kushare uzoefu , ni kuwatia moyo wale ambao huenda wana ndoto ya kufanya hii kitu ila wanasita kwa sababu mbali mbali. Inawezekana kabisa. HAYA twende sasa. Mwaka jana ,2025...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananchi wa Ruiru Wakataa Kuku na Nguruwe, Wamtaka MCA Alete Barabara na Miundombinu

    Hali ilizidi kuwa ya mvutano katika eneo la Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya wakazi kumkabili MCA wao wakikataa kupokea kuku na nguruwe waliokuwa wakigawiwa kupitia programu ya kaunti. Katika video inayosambaa mtandaoni, wananchi wanasikika wakisema kuwa hawahitaji miradi ya kugawa mifugo huku...
  5. JamiiForums Tanzania Nguruwe wa kufugwa na nyama wapo

    Je! Unahitaji nguruwe wa nyama ?? Je! Unahitaji watoto wa nguruwe wa chin ya miez 3 ?? Kalibu LUNO Pig Farm tupo nao kwa bei sawa na afya na uzito wa nguruwe . Location ; MPUNGUZI,DODOMA Follow the NGURUWE DODOMA channel on WhatsApp: NGURUWE DODOMA Mawasiliano 0796007039
  6. JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  7. JamiiForums Tanzania Usifuge Nguruwe bila Kusoma Uzi huu

    Wafugaji wengi hununua nguruwe bila mpango, wakidhani wote ni sawa โ€” matokeo yake hujikuta wakifanya kazi kubwa bila faida ya kutosha. Kitaalamu, tofauti ya breed ndiyo huamua: ๐Ÿ‘‰ kasi ya ukuaji ๐Ÿ‘‰ gharama ya chakula ๐Ÿ‘‰ ubora wa nyama ๐Ÿ‘‰ na mwisho wakeโ€ฆ faida au hasara Kama unataka ufugaji wa...
  8. JamiiForums Tanzania CHINA: Inaripotiwa kuwa waislamu wanalazimishwa kula nguruwe na kunywa pombe katika kambi za kudhibiti watu wasiotaka kufata mifumo ya uchina

  9. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anakula Pweza, Bata, Nguruwe au Ngamia?

    Hivi inakuwaje mtu mwenye akili timamu anakula Pweza, Bata, Nguruwe au Ngamia? Ni ulafi, uroho au nini shida?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Said Issa Mohammed: Heche tuheshimiane, siwezi kula nguruwe mimi

    Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa โ€˜akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati, homa ya nguruwe inafirisi wafugaji

    Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi โ€“ mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi. Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures)...
  12. JamiiForums Tanzania Nilikua sijui tofauti ya kufuga nguruwe wa mbegu na wa nyama

    โ€œNilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza โ€” hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama ๐Ÿฅฉ na kufuga kwa ajili ya uzalishaji ๐Ÿ–๐Ÿ“ˆ. Hilo limenifurahisha sana na nitaenda kulifanyia kazi mara moja. Nilikuwa nafuga bila malengo mahsusi, lakini sasa nimepata mwanga ๐Ÿ’ก. Nina...
  13. JamiiForums Tanzania Waislamu wanaruhusiwa (HALAL) kula FISI NA MIJUSI. Lakini Nguruwe ni kharamu

    Waislamu tunaruhusiwa kula FISI na MIJUSI hao ni HALAL kabisa Hadithi inayoelezea hivyo ni riwaya ya Sayyidina Jabir ibn Abdullah (RA) kuhusu uwindaji na kula fisi, na ipo katika makusanyo ya hadithi ya Kiislamu. Muhtasari wa tukio Sayyidina Ibn Ammar (RA) alimwuliza Jabir ibn Abdullah (RA)...
  14. JamiiForums Tanzania Mtu anamshangaa muislamu mwenzake anayekula nguruwe wakati yeye anakula kisamvu cha kopo.

    Nguruwe na kisamvu cha kopo vyote haramu ila angalau nguruwe amehalalishwa kuliwa kwa kiasi kidogo kama hapo ulipo umekosa kabisa chakula na nguruwe ndo nyama pekee iliyopo inalusiwa kula kidogo ila usishibe ila kisamvu cha kopo hakirusiwa kuliwa na umuoni mtume.
  15. JamiiForums Tanzania HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA ๐Ÿ™Œ๐Ÿฅบ

    Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini. Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi. Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
  16. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ– Nguruwe mmoja anaweza kuuzwa hadi Tsh 1,000,000?๐Ÿ‘‰ Unakubali au Unakataa?

    Hiki ni kipande kidogo (teaser) cha Episode ya Kwanza ya podcast yetu mpya SHAMBA TALKS ๐ŸŽ™๏ธ. Baada ya kusikiliza madai kutoka kwa wafugaji, sasa tunaingia upande wa kitaalamuโ€” โœ”๏ธ Je, kibiashara inawezekana kweli? โœ”๏ธ Ni aina gani ya nguruwe? โœ”๏ธ Ni ufugaji wa namna gani unaofikisha thamani hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Stephano Musomba: Wale Waliolenga Risasi ni Kina Hao, Mwanadamu sio Nguruwe Kwamba Unamuua Ili Upate Kitoweo

    "Katika misa hii tunawaombea waliouawa. Tunasema waliuawa kwa sababu watu hawa hawakuumwa, walipigwa risasi. Tunawaombea waliojeruhi Mungu awape wepesi waweze kupona lakini pia tunaombea haki na amani katika nchi yetu" "Wale waliolenga risasi ni nani hao? Waliouawa sisi ni ndugu zao, tunalia...
  18. JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa mfugaji wa nguruwe kibiashara!?

    ๐ŸŒ Rubaba Media โ€“ Tukiinua Ufugaji na Kilimo Tanzania ๐ŸŒฑ๐Ÿ– Kwa muda mrefu, Rubaba Media tumekuwa tukipokea jumbe kutoka kwa watu wa aina mbalimbali โ€“ wanafunzi, wafanyakazi, wafugaji wapya na hata wale wa muda mrefu. Wengi wao wanatamani kuingia kwenye ufugaji wa nguruwe kibiashara, lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Nguruwe si mchafu Bali mfugaji ndo mchafu

    Unavyoliweka zizi ndivyo mdudu ucheza! Nguruwe ni msafi sana isipokuwa mfugaji ndo mjinga, unaweza sema ngoja niachane na nguruwe ni mchafu, kumbe uchafu wa nguruwe uko kwako Britanicca
  20. M

    JamiiForums Tanzania Upandishaji wa ng'ombe na nguruwe kwa njia ya mrija

    ๐ŸŒŸ WAKATI NI SASA! ๐ŸŒŸ Upandishaji kwa Chupa (AI) kwa Ngโ€™ombe na Nguruwe โ€“ Teknolojia ya Kisasa kwa Mafanikio ya Mifugo Yako! ๐Ÿ„๐Ÿ– Unataka Ngโ€™ombe au Nguruwe Wenye Maziwa Mengi, Uzito Mkubwa, na Uwezo Bora wa Kuzaa? Tunakuletea huduma ya kitaalamu ya AI (Artificial Insemination) kwa kutumia mbegu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ