ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jitu la-Mtumba

    JamiiForums Tanzania Biashara ni ngumu jamani!

    Habarini wana jukwaa,najua ni usiku wengine tupo tunakunywa mbili tatu na huku kukiwa na hali ya hewa murua sana nyanda za juu kusini kama mjuavyo. Siyo kila anayekesha bar anasherekea m, wengine tunatumia muda kuwaza jinsi mambo yanavyokuwa magumu kwenye mitikasi yetu. Biashara ngumu jamani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni shughuli pevu kuwakwepa Israel kwenye teknolojia. Tazama jinsi bendera ya Israel ilivyofichwa kwenye CHATGPT

    Hata wewe unaweza kuproove. 1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com 2. Download logo ya chatgpt 3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate ) 4. Logo ya kulia ipindue juu kwenda chini (Flip Vertical) Muonekano mpya 5. unganisha...
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kwenye mapenzi Tafuta mtu mwenye unafuu wa tabia zinazoweza kuvumilika ngumu kupata mkamilifu

    Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama kuwatetea Simba na coach Fadlu

    Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga, Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga Gamondi kamfunga Ramovic kamfunga Milouf Hamdi kamfunga Roman Folz kamfunga Tuliaminishwa 1. Usajili huu kuafanya...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu

  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania List ya kazi ambazo ukifanya yakupasa uwe na roho ngumu

    1.Debt collector 2.Sales officer 3.Loan officer 4.Daktari 5.Nurse 6.Dereva 7.Polisi 8.Mgambo 9.Mtendaji wa mtaa 10.Mjumbe wa nyumba 10. 11.Mama lishe 12.Muuza genge 13.Mganga wa jadi 14.Mchungaji 15.chinga 16.Mangi shop 17. 18. 19. 20.
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Trump anachofanya kuweka ngumu kupata visa ya Marekani na kuwasaka waamiaji haramu kupitia ICE yuko sahihi

    Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Unaweza sema mwamba anasikitikia kazi ilivyo ngumu lakini anawaza ni style gani atayomkunja bebi akishapata posho jioni

    🤣
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

    Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto nyingi. Ikumbukwe Dr Aaron Mujajati ndo yule aliyesema kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi kuonyesha...
  10. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Jumapili ngumu maishani

    Naam katika maisha kuna kupanda na kushuka. Sasa moja na mbili kwa wenye kuutambua mguu wa Yesu pamoja na makandokando yetu huwa tunazingatia ibada. Kwa imani yangu binafsi kanisa ni kwa ajili ya watu aina yangu ambao si watakatifu. Naamka alfajiri kujiandaa kwenda ''Church'' ,,,kila nguo...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT' Liverpool 1-0 Arsenal, Liverpool ya moto, Ushindi wa tatu mfululizo EPL

    Timu ya LiverpoolFC imeitandika Arsenal kwa Goli 1-0 katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kwenye Uwanja wa Anfield, leo Agosti 31, 2025. Goli pekee likifungwa na Dominik Szoboszlai raia wa Hungary katika dakika ya 83. Hivyo, Liverpool imefikisha alama 9 baada ya kushinda mechi 3...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania ACT -Wazalendo kwa Mpina walikumbatia mzinga wa nyuki wakidhani ni gogo la mbao ngumu.

    Sijui ni kwanini wapinzani hawakomi, kila uchaguzi wananaswa kwa mtego uleule wa CCM unaotegwa kwa aina ileile na kunaswa palepale chini ya mkanda. Orodha ya mitego ni ndefu sana (Marando, Mrema, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Lowassa, Sumaye, Lamwai, Mpina, Membe). Iko hiviii!! Kule CCM huwezi...
  13. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania EV zina gharama ndogo za uendeshaji kuliko magari ya ICE. Sema ngumu sana kumshawishi Mtanzania

    Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa. Najua kwa...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.

    Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na kununua sarafu za kigeni. Mfano Kubadilisha Dola za Marekani (USD) kuwa Euro (EUR) au Shilingi za Tanzania...
  16. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Kumbe Sponsors bado wapo, nilidhani hali ngumu wametulia na wazee wenzao

    Kabla sijawapa hii story nina lalamiko langu serikali iangalie hili suala, nasafiri sana na SGR Dar-Dom ila tangu nimeanza hizo safari sijawahi kukaa siti moja na mrembo yoyote Yaan kwenye waiting room utawaona kama wote mkiingia kwenye train unakutana na mijibaba tu na yenyewe kwa kutongoza...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje Kula Kitimoto mkakifurahia na Ndizi mzuzu ngumu?

    Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa). Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni. Mandizi...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tuna safari ndefu ngumu na ya hatari watanganyika kujinasua toka kwenye makucha ya wana mtandao

    Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
Back
Top Bottom