Toka jana, waandishi na watangazaji wengi nchini Burundi, wamekwama jijini Bujumbura. Lengo lao lilikuwa kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi.
Chama tawala cha CNDD-FDD, kiligawa nchi na kupata majimbo 5 ya uchaguzi. Waandishi hao na watangazaji, kwa mjibu wa taratibu za chama tawala, CNDD-FDD...