Ndo ukajipiga picha umeficha macho unaona aibu ukaposti?. Anakushinda mpakan soulmate wangu Lamomy kwenye kukaza?I mean personal.
View attachment 3330304
“..we ni shoga”
“..hamna mwanaume hapa”
“.. one man down”
But the truth prevail
Wampe nini?Jamani waja wa JF mfanye mumtulize huyu kiumbe, kwani hamuelewi tyuuh nini anataka?
Mtoto kautakaaa, nyie mna mbania kwanini?
Mumpe hiyo kitu, atulizanee. 😂😂😂😂😂
Unatafuta nini kwani?We inakuhusu nini nikificha sura? Kwani ni yako?
Waja wa JF, Mmeona anachotaka huyu mtu? Wenye hii kitu fanyeni kumpea bhana, atulizane.
Hiki nini unaweka humu mabilinganya peleka kule Jukwaa la Mapishi
🍑🍑🍑
Wampe nini?Waja wa JF, Mmeona anachotaka huyu mtu? Wenye hii kitu fanyeni kumpea bhana, atulizane.
zerominus10 umeona anachotaka kupewa huyu mtu?
Huoni hapo ameonesha anachotaka kupewa? LolWampe nini?