ng'ombe

Ng'ombe
Ng'ombe ni wanyama wakubwa wanaokula nyasi. Ni wanyama wanaofugwa kwa wingi sana kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi au pia kwa kuvuta plau au gari la kukokotwa.

Kwa asili kuna aina mbili za ng'ombe-kaya: ng'ombe wa Ulaya na ng'ombe wa Uhindi ambazo ni nususpishi za B. primigenius (B. p. taurus na B. p. indicus mtawalia, ingawa mara nyingi nususpishi hizo zinaainishwa kama spishi za B. taurus na B. indicus). Zinatoka kwa nususpishi za zamani B. p. primigenius na B. p. namadicus.

Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
  1. I

    JamiiForums Tanzania Nini huathiri ukuaji bora wa ng'ombe wa nyama? Nini kifanyike?

    Habarini ndugu wa JF, Tupeane mawazo hapa kwenye hii mada tafadhali. Kwann jamii zetu nyingi zinashindwa kuzalisha ng'ombe nyama wa kutosha? Je, tuchukue hatua gani maana ng'ombe nyama wanalipa bana kama ukifankiwa kuwakuza.
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Ukanda wa Pwani na manyasi yote haya mnashindwa kufuga ng'ombe?

    Ukanda wa Pwani na manyasi yote haya mnashindwa kufuga ng'ombe? Hii kanda sijui ina matatizo gani Nazungumzia Mikoa ya Pwani Tanga na huu ukanda wa Pwani wote Huu ukanda umebarikiwa sana kuwa na nyasi na majani ya kutosha mwaka nzima lakini cha ajabu wakazi wa huku hawafugi ng'ombe wala...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa mifugo nisaidie kuhusu tatizo la ng'ombe

    Ngombe wangu anakohoa kwa muda mrefu sasa. Nilimtibu kwa penstrep àkawa Kama amepona. Sasa vimerudi. Tena nywele za mgongoni zimesimama. Ni tatizo gani na matibabu yake Ni Nini. Msaada tafadhali
  4. B

    JamiiForums Tanzania Video ya ng'ombe, Pundamilia na Binadamu Ngorongoro itufundishe Maasai wana haki ya kuishi

    Maulid Kitenge na Mzee wa Kaliua mmefanya Kubwa sana kutetea uhai wa watoto wa Kimasai. Natambua Binadamu wabinafsi awatawaelewa na Binadamu wanafiki watawaambia na kuwadanganya kwamba Masai anatakiwa kuishi na wanyama Ngorongoro kama kivutio Cha utalii na kwamba Masai ni Moja ya factor...
  5. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

    Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau. Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
  6. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe aliyemuua mwenye ng'ombe

    Watu wa Kaya hii wana utaratibu wao, mpangaji hana sauti kwa mwenye nyumba katu, hawezi hata kupiga mluzi nje ya nyumba mbele ya mwenye nyumba, kwanini asione aibu kumpigia kelele mwenye nyumba? Alipotia nia mwendazake aliwaomba wenye nyumba wampangishe kwa miaka kumi kisha atawarudishia nyumba...
  7. GAGL

    JamiiForums Tanzania Majani ya kulishia ng'ombe

    Nataka kufanya kilimo cha majani au chakula cha kulishia ng'ombe. Mbali na mahindi, naomba kujuzwa, ni majani gani naweza kulima kwa ajili ya kuyafanya malisho ya ng'ombe kipindi cha ukame?
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Wamuua binti kwa kipigo wakimlazimisha kuolewa ili wapate ng'ombe

    JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiopenda Unafiki na Ng'ombe Kunenepeshwa Siku ya Mnada na kutaka Congo DR na Madagascar watufunge tujuane tafadhali

    Wala nisiwafiche baada ya kuona Watu wa Yanga SC ( tena kutokea GSM ) ambao KEROZENE siwapendi na nawachukia ndiyo wamepewa Kipaumbele kwa Maandalizi ya Taifa Stars nimeuza Siri zote za Kambi ya Taifa Stars na Alhamisi Tanzania ikishinda ni Sare ila Kufungwa ni kama Israeli na Roho ya Binadamu...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kupanda kwa bei ya Nyama kunatokana na upungufu wa Ng'ombe

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni kutokana na upungufu wa upatikanaji wa ng’ombe na ongezeko la mahitaji ya viwanda vya kuchakata nyama. Hata hivyo wafanyabiashara wa mifugo na wauza mabucha wamesema kuwa...
  11. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Anaejua kiwanda cha kununua pembe za ng'ombe kiko wapi msaada tafadhali

    Nauliza hivi malighafi zitokanazo na mazao ya ng'ombe zinauzwa wapi? Na ni kiwanda gani kinanunua kama pembe,meno,ngozi na uume? Vitu hivyo huko China ni dili sana je kwa Tanzania soko liko wapi?
  12. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Mifumo ya Uzalishaji/Utawala na Jamii Zetu kwa Mfano wa Ng'ombe

    Ujamaa (socialism): Una ng'ombe wawili, na unampa jirani yako mmoja. Ukomunisti (communism): Una ng'ombe wawili, serikali inachukua wote wawili na inakupa maziwa. Ufashisti (facism): Una ng'ombe wawili, serikali inachukua wote wawili na kukuuzia maziwa. Unazi (nazism): Una ng'ombe wawili...
  13. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe 25 wafa baada ya kupata chanjo dhidi ya homa ya mapafu

    Dar es Salaam. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameagiza kusakwa na kukamatwa kwa wataalamu wa mifugo, waliotoa chanjo ya homa ya mapafu kwa mifugo katika Kijiji cha Mlazo, wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano, Septemba Mosi 2021 na Wizara ya Mifugo na...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Baba akamatwa akitaka kumuozesha bintiye

    Mkazi wa kijiji cha Emuguri, kata ya Njoro Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro(jina lake linahifadhiwa) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa madai ya kutaka kumuozesha binti yake wa miaka 11 kwa mahari ya ng'ombe watatu. Tukio hilo lilitokea Agosti 7, mwaka huu katika kijiji hicho...
  16. Second Lieutenant

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
  17. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee sio kwa vichwa vya ng'ombe hivi

    Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili 👇 👇 👇
  18. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya ng'ombe toka Kenya sasa Wakenya wanaleta ng'amia

    MY TAKE Hawa wapumbavu wakiachwa watasababisha migogoro kati ya Wakulima na Wafugaji imagine ngamia 89 wanaswagwa kwa njia za vichochoro! Hii si mgogoro unatafutwa kwa mazao ya wakulima? Ni vizuri uhamiaji wameingilia kati, wacha mahakama iamue hili!
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe na Wazee wa Mwanza kama Shukrani ya Kutambua mchango wake kwa mapambano ya Demokrasia ya Tanzania

    Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela. Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni...
  20. The only

    JamiiForums Tanzania Ewe Mama Ng'ombe za Nyakanazi za mnada hewa zilizo chato zirudishiwe wenyewe

    Mkuu! Nakusihi ewe Tumaini letu uchunguze hili kupitia vyombo vyako urudishe tabasamu la wafugaji wa ngombe za nyakanazi. Mkuu zilikamatwa ngombe nyingi ambazo ziliingia eneo la maliasili (Japo wao wanakataa) Maafisa wakazikamata inasemekana kwa maagizo toka juu zikapigwa faini kubwa sana...
Back
Top Bottom