Aisee sio kwa vichwa vya ng'ombe hivi

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili
👇 👇 👇

1625992219120.png
 
Wenzenu wanatokwa na mapovu huku
 
Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili
👇 👇 👇

View attachment 1849426
Hebu weka vichwa vya Kenya tuone
 
Baada ya Watanzania kutudanganya kwa miaka nyingi kwamba wao wamenunua bullet train kama zile Shikansen za Japan, sisi Wakenya tulinyamaza tu kwa sababu tulijua kwamba hamna pesa wala uwezo wa kununua treni yenye kichwa mchongo. Sasa tulieni msibiri vichwa vya ngombe vyenu viwasili

View attachment 1849426
Tony tulia..uone..nani kasema hivyo ndo vinavyokuja..hio si picha ya gazeti..plua kumbuka hio ni locomotive sio EMU
 
kuna kitu huwa kinanichekesha sana..
watanzania wenyewe tunakandia vya kwetu na kuvitoa kasoro!!
lakini mkenya akitoa kasoro vitu vya tanzania tunamuijia juu km moto wa ges..

hii inanikumbusha wasomali..
wao kila siku wanapigana wao kwa wao lakini siku akitokea mvamizi kutoka nchi nyingine wao huungana na kumpiga.

wakishampiga mvamizi akakimbia waarudi kuanza kupasuana wao.
 
Tuweke mapicha ya vitu walivyoahidi humu...kuna yule Gwajima aliahidi ataleta zake pia

hqdefault.jpg

hqdefault.jpg

hqdefault.jpg

hqdefault.jpg
Uongo kama huu hapa unauma sana 👇 👇

1625995274245.png

Aliyewadanganya malazy kwamba wataletewa kichwa mchongo kama huu anastahili kukamatwa na kufunguliwa mashtaka mara moja.
 
Back
Top Bottom