Nauza Redmi Note 7 Blue.
Brand New and straight From Xiaomi
Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage)
ROM ni 64GB
RAM 6 GB
6.3'' inch display
Snapdragon 660 Processor
48 MP Camera
Line mbili na inasupport 4G mitandao yote Bongo
Battrey kubwa 4000 Mah (It...
Sanamu ya Kapten John Fane Charles Hamilton, imeondolewa katika mji wa Hamilton, New Zealand, mji uliopewa jina lake kwa heshima aliyopewa
Wanaopinga ubaguzi wa rangi na Maori waliomba sanamu hiyo iondolewe kwa kuwa ni kielelezo cha utamaduni mbaya uliowahi kuwepo duniani
Hamilton alikuwa ni...
Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu.
Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio...
Call/whatsapp 0788622610
Offer offer bei 195,000 tu
Oven mpya ya umeme ya kisasa
Ina plates 2 juu za kupikia chochote
Ina ujazo lita 48
Ina grill pamoja na kuchoma mikate, cake, nyama, kuku etc
Ina timer
Ina warranty mwaka mmoja
Location: DSM
Mabibi na mabwana hii ni habari njema na kumbe kweli inawezekana. New Zealand kafanikiwa kumgaragaza kirusi Corona vilivyo.
Hii leo kwa siku ya 17 hawana mgonjwa hata 1 wala maambukizi yoyote. Yote hii si kwa nyungu, maombezi wala mitishamba. Si kwa ubabarishaji wala kwa takwimu magumashi bali...
Ujenzi wa Daraja la New Selander linalokatisha juu ya bahari jijini Dar es Salaam wafikia asilimia 35. Ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa kilomita 6.5 utagharimu $126.6M (TZS 293B), litakamilika mwaka 2021 na litapitisha magari 55,000 kwa siku.
Ulaya wanayo mkakati kufikia 2025 wawe wameachana kabisa na sarafu na waende kwenye Cashless Society. Moja ya vitu ambavyo janga hili litafanikisha ni kuongeza kasi ya kusambaa kwa Cashless Society kwenye uwigo mpana, na wakati ambapo tutakuwa tunaandika historia ya janga hili dunia nayo itakuwa...
Kwa miongo kadhaa sasa kumekuwa na juhudi za makusudi za kutoa chanjo zinazo lenga kupambana na aina Fulani ya maradhi na mahusisi kwa makundi tofauti ya watu, rika, maeneo na hata nchi. Pamoja na kwamba chanjo hizi zimekuwa zikipokea upinzani mkubwa, tena wakitafiti, wenye hadidi rejea za...
Athari ya 9/11 na kukamilisha malengo yake imekwenda kwa takribani miongo miwili, kutoka kwa movie na kanda zilizo okotwa Torabora, kuja kwenye video za Osama zilizo kuwa zikizundiliwa na Al Jazeera mpaka kuja ‘kuuwawa’ kwa Al-Baghadad. Zote hizo zilikuwa ni movie zinachezwa kutufikisha hapa...
Problem + Reaction = Solution. (P+R=S)
Formula hii imetumika sana kwenye majukwaa ya kisiasa, kitaifa na kimataifa, toka enzi za WWI na hata kurudi nyuma mpaka hivi karibuni kwenye 9/11 na yaliyo fuata baada ya hapo. Ukionganisha nukta za maelezo ya wana Globalist kabla ya janga hili, na sasa...
Kuna kile kilichoitwa ‘Event 201’, Bill Gates kama kawaida alikuwepo kama mdhamini, mara hii akishirikiana na World Economic Forum, ‘event’ hiyo ilijikita kwenye kuzungumzia uwezekano wa kuibuka baa la maradhi ya kuambukiza litakalo weza kuuwa watu kwa idadi kubwa na kwa muda mfupi. Mpaka jina...
TANBIHI: MADA HII SI KWA WATU WOTE. MAHUSUSI KWA WALE WENYE FIKRA PANA, WENYE UWEZO WA KUPOKEA MAWAZO KIZANI NA ELIMU NA IMANI YAO NA KUYACHANGANUA NA KUJENGA HOJA, DHANA SAWA AU TOFAUTI BILA KUKWAZIKA AU KUMKWAZA YOYOTE. KWA NAMNA YOYOTE IKIWA UNAFAHAMU UWEZO WAKO WA KUCHANGANUA NA KUTOFAUTISHA...
- Brand New Samsung A10s
- Boxed with 2 years warrant
Specifications
Display6.20-inch (720x1520)
Processor1.5GHz octa-core
Front Camera 8MP
Rear Camera13MP + 2MP
RAM 2GB
Storage32GB
Battery Capacity4000mAh
OS Android 9 Pie
Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.
Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget...
Congratulations to Kakamega Governor Oparanya for working for your people.
Mere governors in Kenya are building bigger and better projects than the entire national government of Tanzania.
Hii ndio hospitali mpya Kakamega nearing completion.
In 2018.
By the same governor. Kakamega Stadium...
Kenya on Friday recorded 23 new cases of Covid-19, raising the country's total number to 781, Health CAS Rashid Aman has said.
This is out of the 2,100 samples that were tested in the last 24 hours.
11 of the cases were from Nairobi, Mombasa (5), Kajiado (3) with Kiambu and Wajir with two...
*A nurse at a New York hospital treating coronavirus patients has called out the “negligent doctors” who she claims are “literally murdering” Black people.
In a shocking video shared on Facebook, the healthcare worker, identified by various media outlets as Nicole Sirotek, alleges patients are...
Wana bodi ? naomba ushauri nataka kuwanunulia ndugu zangu wasio na ajira na tegemezi kifaa cha kazi ambacho watafanyia biashara wajikimu na kirudishe hela yangu mapema with minimum risk, nimewaza kuhusu tractor cause nina access na tractor john deer ku nilipo zipo nyingi na nzuri ila sijui kama...
Sifa
1. Rangi ni gold
2. Namba za usajili ni T244 DPS
3. Ukubwa wa injini ni 1490cc
4. Idadi ya km ilizotembea ni 77,000 kms mpaka Sasa
5. Inamwaka mmoja tokea imenunuliwa
6. Inabima kubwa iliyokatiwa mwaka huu
7. Hutumika kwenda kazini na kurudi tokea imenunuliwa
8. Haijafunguliwa popote tokea...
IN SUMMARY
Ms Kioko has also been promoted to full colonel, becoming among the few senior military officers in that rank and above.
Women troops have continued to make progress in ranks and in being given duties that have traditionally been regarded as for men. Zipporah Kioko is the new Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.