new

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Virusi vipya ambavyo vinaweza kusababisha mlipuko duniani vyagunduliwa China

    Aina mpya ya mafua ambayo inaweza kuwa janga kubwa la kiafya imegunduliwa na Wanasayansi nchini humo. Mafua hayo ni aina mpya ya virusi na kutokana na hilo, inawezekana binadamu wana kinga mwili ndogo ya kupambana nayo au hawana kabisa. Imeelezwa kuwa mafua hayo yapo kwa nguruwe lakini binadamu...
  2. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Meli ya New Victoria yawasili salama Bukoba baada ya ukarabati mkubwa

    SOMA PIA>>>Live: Majaribio ya meli kubwa ya kisasa (New Victoria) fuatana nasi kupitia TBC1
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania New Mexico: Watatu wafariki kwa kunywa vitakasa mikono ‘sanitizers’

    Watu watatu wamefariki, watatu wengine wana hali mbaya na mmoja awa kipofu baada ya kunywa sumu ya methanol. Madaktari wamesema walikunywa vitakasa mikono vyenye sumu hiyo Matukio hayo yaliwahi kuripotiwa Idara ya kuthibiti sumu New Mexico, kwa zaidi ya wiki, lakini walikuwa wanasema...
  4. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Blackstone 32 inch tv brand new

    Tv ni mpya One year warranty pamoja na EFD receipt Free HDMI wire and wall Bracket Bei:275,000Tsh piga/whatsapp 0788622610 tupo kkoo mtaa wa masasi/ndanda
  5. mwathadan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KenGen targets new income with Sh60m detergent factory

    KenGen targets new income with Sh60m detergent factory FRIDAY, JUNE 26, 2020 0:01 BY PATRICK ALUSHULA Kenya Electricity Generating Company (KenGen) has started constructing a Sh60 million factory for manufacturing detergents, expanding its revenue streams beyond power production. The firm...
  6. U

    JamiiForums Tanzania NEW Video: Rosa Ree - Kupoa {Official Video}

    Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree Ameachia Video ya nyimbo mpya inayoitwa - Kupoa Nimekuwekea hapa chini uitazame mtu wangu.
  7. eli_dealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Redmi Note 7 Blue *Brand New*

    Nauza Redmi Note 7 Blue. Brand New and straight From Xiaomi Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage) ROM ni 64GB RAM 6 GB 6.3'' inch display Snapdragon 660 Processor 48 MP Camera Line mbili na inasupport 4G mitandao yote Bongo Battrey kubwa 4000 Mah (It...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania New Zealand: Sanamu la Hamilton laondolewa

    Sanamu ya Kapten John Fane Charles Hamilton, imeondolewa katika mji wa Hamilton, New Zealand, mji uliopewa jina lake kwa heshima aliyopewa Wanaopinga ubaguzi wa rangi na Maori waliomba sanamu hiyo iondolewe kwa kuwa ni kielelezo cha utamaduni mbaya uliowahi kuwepo duniani Hamilton alikuwa ni...
  9. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abbas: Matukio mawili tu yaliyotokea Dodoma mnatangaza Dodoma sio salama? Hivi mmefika New york na London kweli nyinyi?

    Akizungumza kwa njia ya simu kupitia Global TV msemaji wa serikali,Dr. Abbas amewashangaa wote wanàodai kuwa Dodoma sio salama kisa eti kumetokea vitukio viwili Tena vya kawaida tu. Amesema watu hawa wanaosema Dodoma sio sehemu salama hawajawahi kufika London na New York na kujionea matukio...
  10. Cordy bnei shirk

    JamiiForums Tanzania INAUZWA New electric oven kwa 195,000 tu

    Call/whatsapp 0788622610 Offer offer bei 195,000 tu Oven mpya ya umeme ya kisasa Ina plates 2 juu za kupikia chochote Ina ujazo lita 48 Ina grill pamoja na kuchoma mikate, cake, nyama, kuku etc Ina timer Ina warranty mwaka mmoja Location: DSM
  11. B

    JamiiForums Tanzania Corona: New Zealand siku ya 17 leo bila ya kirusi Corona nchini

    Mabibi na mabwana hii ni habari njema na kumbe kweli inawezekana. New Zealand kafanikiwa kumgaragaza kirusi Corona vilivyo. Hii leo kwa siku ya 17 hawana mgonjwa hata 1 wala maambukizi yoyote. Yote hii si kwa nyungu, maombezi wala mitishamba. Si kwa ubabarishaji wala kwa takwimu magumashi bali...
  12. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Daraja la New Selander litapunguza adha ya foleni katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi

    Ujenzi wa Daraja la New Selander linalokatisha juu ya bahari jijini Dar es Salaam wafikia asilimia 35. Ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa kilomita 6.5 utagharimu $126.6M (TZS 293B), litakamilika mwaka 2021 na litapitisha magari 55,000 kwa siku.
  13. Salim A. Msangi

    JamiiForums Tanzania Corona Virus; New 9/11 (Welcome to a New Normal)Prt 6

    Ulaya wanayo mkakati kufikia 2025 wawe wameachana kabisa na sarafu na waende kwenye Cashless Society. Moja ya vitu ambavyo janga hili litafanikisha ni kuongeza kasi ya kusambaa kwa Cashless Society kwenye uwigo mpana, na wakati ambapo tutakuwa tunaandika historia ya janga hili dunia nayo itakuwa...
  14. Salim A. Msangi

    JamiiForums Tanzania Corona Virus; New 9/11 (Global ID)Prt 5

    Kwa miongo kadhaa sasa kumekuwa na juhudi za makusudi za kutoa chanjo zinazo lenga kupambana na aina Fulani ya maradhi na mahusisi kwa makundi tofauti ya watu, rika, maeneo na hata nchi. Pamoja na kwamba chanjo hizi zimekuwa zikipokea upinzani mkubwa, tena wakitafiti, wenye hadidi rejea za...
  15. Salim A. Msangi

    JamiiForums Tanzania Corona Virus; New 9/11 (Gates Man of the Show)Prt 4

    Athari ya 9/11 na kukamilisha malengo yake imekwenda kwa takribani miongo miwili, kutoka kwa movie na kanda zilizo okotwa Torabora, kuja kwenye video za Osama zilizo kuwa zikizundiliwa na Al Jazeera mpaka kuja ‘kuuwawa’ kwa Al-Baghadad. Zote hizo zilikuwa ni movie zinachezwa kutufikisha hapa...
  16. Salim A. Msangi

    JamiiForums Tanzania Corona Virus; New 9/11 (P+R=S)Prt 3

    Problem + Reaction = Solution. (P+R=S) Formula hii imetumika sana kwenye majukwaa ya kisiasa, kitaifa na kimataifa, toka enzi za WWI na hata kurudi nyuma mpaka hivi karibuni kwenye 9/11 na yaliyo fuata baada ya hapo. Ukionganisha nukta za maelezo ya wana Globalist kabla ya janga hili, na sasa...
  17. Salim A. Msangi

    JamiiForums Tanzania Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Kuna kile kilichoitwa ‘Event 201’, Bill Gates kama kawaida alikuwepo kama mdhamini, mara hii akishirikiana na World Economic Forum, ‘event’ hiyo ilijikita kwenye kuzungumzia uwezekano wa kuibuka baa la maradhi ya kuambukiza litakalo weza kuuwa watu kwa idadi kubwa na kwa muda mfupi. Mpaka jina...
  18. Salim A. Msangi

    JamiiForums Tanzania Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1

    TANBIHI: MADA HII SI KWA WATU WOTE. MAHUSUSI KWA WALE WENYE FIKRA PANA, WENYE UWEZO WA KUPOKEA MAWAZO KIZANI NA ELIMU NA IMANI YAO NA KUYACHANGANUA NA KUJENGA HOJA, DHANA SAWA AU TOFAUTI BILA KUKWAZIKA AU KUMKWAZA YOYOTE. KWA NAMNA YOYOTE IKIWA UNAFAHAMU UWEZO WAKO WA KUCHANGANUA NA KUTOFAUTISHA...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Brand New Samsung A10s for 295,000 TShs

    - Brand New Samsung A10s - Boxed with 2 years warrant Specifications Display6.20-inch (720x1520) Processor1.5GHz octa-core Front Camera 8MP Rear Camera13MP + 2MP RAM 2GB Storage32GB Battery Capacity4000mAh OS Android 9 Pie
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania is Constructing $100 Millions New Stadium in Dodoma...

    Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people. Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget...
Back
Top Bottom