New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,045
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.

Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.

Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
 
Watu weusi wana roho mbaya sana, kupata maendeleo ya kweli kunahitajika kwanza kubadili mfumo wa fikra zetu la sivyo tutaendelea kusubiri wazungu tu watuletee wanavyotengeneza.
Watu wanakatishana tamaa, kuna kipindi kilikuwa ETV walikuwa wanaonyesha wafumbuzi huko mkoani watu wanafanya mambo lakini hakuna taasisi hata moja ya serikali inawekeza, niliona mzee katengeneza trekta zuri yani katumia engine ya pikipiki linalima, linapukuchua mahindi linazalishha umeme akawa anaomba serikali imsaidie waungane na veta na wataalam wengine wayazalishhe mengi akasema coast haifiki hata milion nane.
 
Sijaona popote kwenye maada panapoonyesha ubilionea. Dogo tatizo kazaliwa bongo hapo wanaweza kumpa milioni 2 tu awape hio teknolojia.
Huo uvumbuzi wake lazima ale ela ya maana na anaweza kuuza hata india ambako hizi mita zetu zinatoka waiimpliment. Kama wa meter ya gas miezi miwili iliyopita kauza ugunduzi wake uingereza kala bils 50 za kibongo na bado ana asilimia kadhaa kwenye uvumbuzi wake why not huyu. Na kumbuka ni mbogo aliona hapa wanazingua akaipeleka Uingereza.
 
Huo uvumbuzi wake lazima ale ela ya maana na anaweza kuuza hata india ambako hizi mita zetu zinatoka waiimpliment. Kama wa meter ya gas miezi miwili iliyopita kauza ugunduzi wake uingereza kala bils 50 za kibongo na bado ana asilimia kadhaa kwenye uvumbuzi wake why not huyu. Na kumbuka ni mbogo aliona hapa wanazingua akaipeleka Uingereza
Yule mwengine alikuwa mzoefu sana na alikuwa yupo TRA, ila dogo ajipange na team ya umenijimenti lasivyo atajuta.
 
Duh hii nchi hii... Niliwahi kwenda BUN lab aisee kuna vipaji vya kutosha
Kuna watu huwaga wanatutukana sana humu mainjinia lakini na kwambia siku nenda UDSM,UDOM,DIT ktk final year project presentation ndio utagundua watu wanafanya vitu vingi vizuri sana ,ila ndio vile hapromotiwi wala kuendelezwa.

Hata hizo project wanazifanya kwa kutumia hela zao za mifukoni mwao hawana support na ndio maana mimi humu JF nikimwona mtu anatuponda huwaga najua ni kilaza asiyejua madogo wengi wabunifu wanapitia vikwazo vingi sana mpaka wengine wanakata tamaa japokuwa uwezo wanao.

Ila si shangai Tanesco kutompa ushirikiano dogo,si unajua nchi yetu tushazoea 10% hizi alafu wanaona kama ikifanywa na wa TZ hawatopiga hela ndefu.
 
Aisee ni kweli sana watu bila support wanafanya vitu eke yao. Wakati uko wenzetu unakuta tu application watu wasainject millions of dollars kama pivot
 
Aisee ni kweli sana watu bila support wanafanya vitu eke yao. Wakati uko wenzetu unakuta tu application watu wasainject millions of dollars kama pivot
Hivi vitu bila support kuna point utafika utakwama tu.
 
Back
Top Bottom