new

  1. JamiiForums Tanzania Whatsapp New Feature

    Naomba kujua waliofanikiwa ku update whatsapp ikaja na feature mpya ya ku edit meseji uliyotuma ikiwa na makosa atusaidie tusipata hiyo kitu ikiwa inafanya kazi
  2. JamiiForums Tanzania Je, Kuna mpango wowote wa kuibadilisha Dar es salaam kuwa New City?

    UTANGULIZI Kwa sasa dunia inabadilika sana, kila nchi inaweka mipango ya kuibadili miji mikokwe na kuwa miji ya kisasa. Kwa upande wa Dar es salaam, mji huu umekuwa ni wa zamani zana lakini miundombinu iliyo mingi bado ni ya kizamani kama mji ulivyo. Tukianza na mfumo wa maji taka, tangu mji...
  3. JamiiForums Tanzania Hello, New Member

    Mgeni kutokea +254, love you all jamii members
  4. JamiiForums Tanzania Segmentation and Profiling When Finding New Donors for Nonprofit

    Connecting with new donors is crucial to growing your nonprofit’s supporter base and ultimately raising more for your cause. New donors invigorate your nonprofit with a fresh wave of funding and engagement. And, when you properly steward and build relationships with these new donors, they can...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Chaki (Jaffar Kasmali) mchezaji wa Cosmopolitan na timu ya taifa amefariki leo New York

    CHAKI (JAFFAR KASMALI) MCHEZAJI WA COSMOPOLITAN NA TIMU YA TAIFA AMEFARIKI LEO NEW YORK Chaki alikuwa golikipa hodari wa Cosmo katika miaka ya 1960 wakati huo wachezaji wenzake ninaowakumbuka walikuwa Msuba, Mansur Magram, Mustafa Mabuge, Emil Kondo, Kitwana Popat (Kitwana Manara) ni miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Mmeona emperor's new clothes?

    Kwa hii karne wanawake wameibuka Kama watawala wapya. Hawa watawala wana nguvu sana, wanalindwa sana. Nguvu zao ni kubwa sana mpaka wanaume wameanza kufanana nao. Lakini jee? mmeona emperor's new clothes. Nguo zao are very special, ni wale tu watu wenye taste nzuri ya nguo wanaweza tambua...
  7. JamiiForums Tanzania The growth of BRICS by inviting new members is welcome, but the block needs to be careful

    The growth of BRICS by inviting new members is a welcome development,but the block needs to be carefully because the West may use members to sabotage it. 24 Aug, 2023 The 15th BRICS Summit in South Africa has finally concluded but a lot of murmurs are making their way through the media. Most...
  8. V

    JamiiForums Tanzania New Member

    Hello JF members, happy to join you.
  9. JamiiForums Tanzania New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?

    Golden Deer 🦌 imelala chali. Ndani ya miezi mitatu mna zaidi ya ajali kumi. Achaneni na Sauli hamumuwezi, thaminini uhai, usalama na maisha ya abiria wenu. Jifunzeni kutoka kwa Scandinavia
  10. JamiiForums Tanzania Basi la Golden Deer lapata ajali maeneo ya Iyovi, leo Agosti 7, 2023. Mmoja ajeruhiwa

    Mpaka sasa taarifa zilizopo zinasema basi la Golden Deer T 618 DMG kutoka Kyela kuelekea Dar es Salaam imepata ajali. Taarifa zaidi zitakujia baadae. --- Morogoro. Mtu mmoja amelazwa katika Hospitali ya Mtakatifu Kizito wilayani Mikumi na wengine wametibiwa na kuruhusiwa baada ya basi la...
  11. JamiiForums Tanzania Africa should neither shift to the new colonial masters nor stay with the old ones. (A Russian move case study)

    By Bondpost, Africa imekuwa na watu wenye fikra tegemezi miaka yote hata hii move ya Waafrika kushabikia China, Russia na North Korea ni sehemu ya muendelezo wa fikra temegemzi. Africans wamefikia sehemu hawawezi kuwa na fikra zao huru na wakajiongoza wenyewe kisiasa, kijamii, kiteknolojia...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nape: Utilize new innovation for advancement purposes

    Serve for Data, Correspondence and Data Innovation Mr Nape Nnauye has asked Tanzanians to involve web-based entertainment for their own and public turn of events.<br><br> Mr Nape gave the exhortation yesterday here during an occasion to compliment partners who worked with the establishment of...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania government to pay new compensations from August

    The public authority has affirmed that the hotly anticipated yearly compensation increment will start to be paid next month.The Clergyman of State in the President's Office (Public Assistance The executives and Great Administration), George Simbachawene tended to the matter yesterday, in light...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dili la Mahop kwenda Yanga lashindikana

    Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda Yanga limeshindikana baada ya Yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya Yanga kushindwa kufikia jambo hili. Naona Yanga ikifunga goli below 40 next season maana hamna mshambuliaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Nikki Mbishi - Katiba Mpya New Song

    Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.
  16. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  17. JamiiForums Tanzania Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  18. JamiiForums Tanzania New member

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi friji, nafurahi kujiunga nanyi. Natumaini kujifunza mengi.
  19. JamiiForums Tanzania Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

    Hello comrades, Brand new howo tipper available with 0 kilometer, for lower price of only 160m plus registration. Come and grab it quickly. Only one unit left.
  20. JamiiForums Tanzania Uchawa kwa DP World umemlipa Maulid Kitenge? Naona kavuta ndinga

    Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii. Je, uchawa umewalipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…