neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
  2. JamiiForums Tanzania Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
  3. JamiiForums Tanzania HILA SISI!; Sitii Neno Katika Hii, Hebu Soma Kwanza!.

    Alafu sema hitimisho lako linakuwaje katika mchezo huo ili huyu mama aendelee kuwa nawe?.
  4. JamiiForums Tanzania Neno Moja kwa Mwasibu

    Kati ya watu ambao wanaumia sana na matokea ya Jana basi Mwasibu ni no 1 , sasa huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kumtia moyo ndugu yetu Mwasibu. Uzi Tayar Updates: Inatia Uchungu kwa Mwasibu Kukosa Kikombe
  5. JamiiForums Tanzania Angalia na Useme neno ( Symbolism ).

    Mkitoka kuswali ndugu zangu mje mtueleze Mola gani anayemuomba kijana wenu
  6. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno "drone" kuwa "ndegenyuki"

    Kulikuwa na ubaya gani kama tungetohoa neno drone la kiingereza liwe droni kwenye kiswahili? Hii kuiita ndegenyuki ni direct translation ya kijinga. Mbona wale nyuki wanaoitwa drones kwa kiingereza wanaitwa nyuki tu kwa kiswahili? Sasa hii ndegenyuki inatokea wapi?
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu amewai kujua kilefu cha neno HB?

  8. JamiiForums Tanzania Neno la Mungu

    Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21
  9. J

    JamiiForums Tanzania Neno Yesu na neno Kristo Inamaanisha Nini

    Neno Yesu na neno Kristo Inamaanisha Nini Neno Yesu YESU ni jina la kiuanadamu la Bwana, alilopewa na Mariamu na malaika Gabrieli (Luka 1:31). “Yesu” maana yake ni “Mungu anaokoa”. Hili ndilo neno la Kigiriki linalofanana na neno la Kiebrania “Mashiak”au "Masihi." Kuna vifungu vingi vya...
  10. JamiiForums Tanzania Mabinti bwana, ukianza nae mahusiano meseji anakujibu neno moja moja, sasa ngoja muanze kukaa nae ndani inakuwa vice versa 😂😂

    KABLA YA KUISHI PAMOJA: WEWE: "unajua baby xxxxxxxxxxxxxxxxxx xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxccc" YEYE: "k" MKIANZA...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je Nchi haina wazee wakushauri na neno lao likaogopwa na watawala? Tumechoka na Karma

    Nawaza sana Nawaza sana nawaza nasipati majibu. Nani alimtonya Mh Mpango abwage manyanga na akamsikia mapema nakung'atuka? Alafu akakosekana Mzee wakukishauri kiti badala yake akasogeza kiti kweli? Ina maana Mzee wangu Kikwete na weŵe ukatoa ushauri ambao umetuacha na giza nene kuliko mwanga...
  12. JamiiForums Tanzania Weka neno la Faraja kwa wapalestina

    Ukiwa kwako hata kama unalala chini, ni kwako.
  13. JamiiForums Tanzania ASKOFU Mwamakula atia neno kuhusu kuchaguliwa kwa Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Mhe. Stephen Wasira anaanza kuiongoza CCM kama Makamu Mwenyekiti akiwa na umri wa miaka 80. Pengine, huu ni umri mkubwa sana kwa mtu yeyote kupewa uongozi wa juu katika chama cha siasa. Inawezekana kabisa kuwa Wasira atakuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kushika nafasi ya juu ndani...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye macho na masikio haambiwi tazama na sikia. Sitii neno hapa, tafakari mwenyewe

    Soma kichwa cha habari cha video, halafu tazama na sikiliza wanachokiongea hao jamaa. Halafu, tafakari kwa kina. https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=XxVL8cS2tKG4IkHv Kama muda wako hautoshi au MB chache anzia hapa. https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=SGqFhc3PLBRo94Gi&t=788
  15. JamiiForums Tanzania Asili ya Msemo "Underdog"

    Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya kila siku. Miongoni mwa misemo maarufu inayotumiwa na mashabiki, wachambuzi wa soka, wataalamu, na...
  16. JamiiForums Tanzania Jumapili yako.. Tuandikie neno moja la Biblia likupendezalo

    Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.Katika habari ya upendano, hamna haja niwaandikie; maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana. 1 Wathesalonike 4:7-9
  17. JamiiForums Tanzania Ipo siku Chalamila litamtoka neno zito, Hata mwenyewe hataamini!

    Huyu Mheshimiwa apunguze maneno ya ovyo. Ipo siku litamtoka neno. Hata mwenyewe hataamini!
  18. R

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya neno 'exhaust fan" kwa Kiswahili

    Google na chatGTP naona hazinipi majibu yanayoridhisha.
  19. JamiiForums Tanzania Neno CHAWA linavyowatafuna CHADEMA

    Sasa hivi wanachama wa CHADEMA wamegawanyika makundi mawili, kundi la Mbowe na Kundi la Tundu Lissu. Kundi la Mbowe wanaitwa CHAWA wa Mbowe. Nakumbuka neno hili lilitumika sana kuwatusi wafuasi wa CCM wanao muunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Sasa ni zamu ya waasisi wa neno CHAWA kunywa...
  20. JamiiForums Tanzania Cosmas Chidumule - Libarikiwe Neno Hili

    Habari za muda huu kwa wanajamiiForums, ninasikiliza wimbo wa Cosmas Chidumule unaofahamika kwa jina la "Libarikiwe Neno Hili" Muimbaji Cosmas Chidumule Bonyeza hapo chini uushushe kwenye kifaa chako (📀📲🎶).
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…