neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Neno Amina linatofautisha matamko ya Yesu na wengine

    Neno Amina linatofautisha matamko ya Yesu na wengine Maandiko, katika kitabu cha Ufunuo 3:14, yanasema, kama ifuatavyo: “Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye ‘ALIYE AMINA’, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli, mwanzo wa kuumba kwa Mungu”. Neno Amina maana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sammy Awami: Vyombo vya kusimamia Serikali vikikosa nguvu, kikundi kidogo cha Watu kitafanya maamuzi kwa maslahi yake chenyewe

    Ukisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya kupewa heshima ya umakamo mwenyekiti. Nitakua mchoyo wa fadhira nisipotia neno kuhusu KATAA NDOA

    Katika kizazi tulichopo ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kwanza original deal of marriage ilikua ni mwanamke bikira na mtiifu kwa mabadilishano ya lifetime protection na provision kutoka kwa mwanaume. Wanawake wa leo sio bikira, sio watiifu. Kwahiyo tuelewane hapa wanawake ndio...
  4. JamiiForums Tanzania UONGO WA KARNE: "Pesa Haiwezi Kununua Furaha" Neno la Kujifariji La Masikini na Kukaririwa na Wasomi

    Leo naomba tushuke kwenye majukwaa yetu ya usomi na falsafa za akina Socrates, tuingie kwenye hesabu halisi za maisha. Kuna utapeli wa kisaikolojia ambao tumekuwa tukiimba kila siku: "Pesa haileti furaha, utu ni bora kuliko mali." Hii ni kauli mbiu ya kujifariji iliyotengenezwa ili kuwafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

    Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:- Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu: 1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa” 2.“Tutapata...
  6. JamiiForums Tanzania Yani mtu anadhani akikuita kafir eti ndio amekuweza😁, no bro, kwanza hata hatujui neno linamaanisha plus ni compliment maana umenitofautisha na wewe

    "Tatizo wanadamu wa siku hizi ni wabishi sana" by smart 911
  7. JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi chini ya Tamisemi (Halmashauri), sema neno lolote kwenye uzi huu

    Weka neno, pita zako Twende kazi…
  8. R

    JamiiForums Tanzania Neno Mh Rais alilotumia Jaji Mkuu ni kumhusu Rais wa TLS Mwabukusi na si vinginevyo

    Salaam! Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais. Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi . Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi. Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa. Nj hayo tu.
  9. JamiiForums Tanzania Asili ya neno "Bodaboda"

    Unajua watanzania wengi wakisikia neno Bodaboda wanajua ni neno lenye chimbuko la Kiswahili au lililoanzishwa Tanzania. Lakini si kweli Neno “bodaboda” halikuzaliwa Tanzania —lilizaliwa mpakani. Hapo zamani kidogo, miaka ya 1960–70, mpakani mwa Kenya na Uganda, kulikuwa na usafiri wa baiskeli...
  10. JamiiForums Tanzania Kuitwa hili neno sio tusi. Dini zetu zote tupendani tunamuabudu Mungu mmoja tofauti ni njia za kuabudu

    Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua. Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na yeye mwenyewe ni mkristo. Akaniambia hata Iraq kwenyewe kuna wakristo hata Tariq Azizi aliyekuwa waziri...
  11. JamiiForums Tanzania Dudu Baya hapati utamu kwenye kauli zake pasipokutamka neno shoga

    Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna neno CCM Mtasema kwa sasa Watanzania Tukawaelewa

    GT maCCM mnapoteza mda kujinadi kwa.maneno ya kwenye kanga watz wana hasira sana na ninyi. Hakuna neno mtakalosema mkaeleweka matendo yenu ndiyo yatakayoamua hatima yenu. Tuna.hasira sana hii M029 imetuachia majonzi makubwa hayatasahaurika kamwe mioyoni mwetu na hatutawasemehe kamwe.
  13. JamiiForums Tanzania Nalo neno

  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!!

    Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!! Mapolisi sasa wa juu wanajiona wanamzidi mpaka waziri!! wameshanusa damu sasa wanajiona kama Simba
  15. JamiiForums Tanzania Ni neno gani la Kiingereza linalokupa shida kulitaja?

    Wakuu, kama tunavyojua kila mtu anatoka katika mazingira tofauti na amejifunza Kiingereza kwa namna yake. Je, ni neno gani la Kiingereza ambalo mara nyingi linakupa ugumu kulitaja au kulitamka kwa usahihi? 😊 Mimi neno linalonipa shida ni “entrepreneur”.
  16. JamiiForums Tanzania Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike

    Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii kabisa? Teremka hapo chini kwa meneno mengine unayoyajua
  17. JamiiForums Tanzania Neno guys, si heshima kutumiwa na kiongozi mkubwa anayejiheshimu

    Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba ashauriwe, sio VIZURI, tumevumilia Sasa basi.
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye neno lolote tupia hapa kuniponya

    Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya. Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo. Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Neno la Mwaka 2026 kutoka kwa Asofu Gwajima

    Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
  20. JamiiForums Tanzania Je wajua asili ya neno Punyeto?

    Asili ya neno punyeto Neno punyeto katika Kiswahili linamaanisha kujichua / kujichezea sehemu za siri. Asili yake Punyeto limetokana na Kireno (Portuguese) Neno la asili ni punheta, ambalo pia linamaanisha masturbation kwa Kireno. Jinsi lilivyoingia Kiswahilini Wareno walifika na kutawala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…